Elections 2015 Kama atasoma hapa Mh. Magufuli ahailishe kugombea ubunge jimbo la Chato

Watu hawamtaki, sisa za ubinafsi na kauli mbovu, wakati anautubia mkutano wa hadhara ktk jimbo lake la chato mwanamke mmoja alimuuliza" mh, ktk jimbo letu tunashida na maji unatusaidiaje?" mh akamwambia kojoeni mikojo yenu na muikinge mpate maji. Akiwa buziku ktk jimbo lake wananchi wakamuuliza, "mh kwetu lami itapita lini?" akajibu tafuteni mavi ya ng'ombe myapake barabarani yawe lami. Magufuli kwa heri 2015 huna chako tena.
Amka ww, upo usingizini! Haya majibu yake ya utani walengwa hawakuelewa kwa muono wako! Ww tu ndio humtaki!
 
Watu hawamtaki, sisa za ubinafsi na kauli mbovu, wakati anautubia mkutano wa hadhara ktk jimbo lake la chato mwanamke mmoja alimuuliza" mh, ktk jimbo letu tunashida na maji unatusaidiaje?" mh akamwambia kojoeni mikojo yenu na muikinge mpate maji. Akiwa buziku ktk jimbo lake wananchi wakamuuliza, "mh kwetu lami itapita lini?" akajibu tafuteni mavi ya ng'ombe myapake barabarani yawe lami. Magufuli kwa heri 2015 huna chako tena.
Laiti tungefata ushauri wako
 
Back
Top Bottom