Kama atafanikiwa kwenye hili basi atakuwa ndio Rais bora katika historia ya Tanzania na huenda akakumbukwa kwa vizazi hata vizazi

We utakuwa huna akili kabisa,,unadhani magufuli angekubalika na tume ya uchaguzi bila kuwepo samia!!!? Yani iko hivi hakuna Magufuli bila samia na hakuna samia bila magufuli.Chuki haitakusaidia na Samoa bado tunae sana tu mpaka 2030 utakoma.Anachonikera ni kimoja tu Kushindwa kujua Kwamba mzee Mbowe anasingiziwa ugaidi na wapumbavu akina Sirro
Mama is here to stay
 
Hiyo gesi ilikuwa inapigwa kimya kimya na mchina wakati wa serikali ya awamu ya 4; usitegemee jipya hapo.

Watu walioko karibu na mradi pamoja na wanajeshi walipokuwa wanalinda eneo husika wanalijua hili
Mkuu gesi ipo,

Ndio maana watu wabajadili hizo HGA,
 
We utakuwa huna akili kabisa,,unadhani magufuli angekubalika na tume ya uchaguzi bila kuwepo samia!!!? Yani iko hivi hakuna Magufuli bila samia na hakuna samia bila magufuli.Chuki haitakusaidia na Samoa bado tunae sana tu mpaka 2030 utakoma.Anachonikera ni kimoja tu Kushindwa kujua Kwamba mzee Mbowe anasingiziwa ugaidi na wapumbavu akina Sirro
 
We utakuwa huna akili kabisa,,unadhani magufuli angekubalika na tume ya uchaguzi bila kuwepo samia!!!? Yani iko hivi hakuna Magufuli bila samia na hakuna samia bila magufuli.Chuki haitakusaidia na Samoa bado tunae sana tu mpaka 2030 utakoma.Anachonikera ni kimoja tu Kushindwa kujua Kwamba mzee Mbowe anasingiziwa ugaidi na wapumbavu akina Sirro
"Anachonikera ni kimoja tu Kushindwa kujua Kwamba mzee Mbowe anasingiziwa ugaidi na wapumbavu akina Sirro"

Hii nukuu yako ni ushahidi tosha asiye na akili ni wewe! Maana kama huyo Rais wako anashindwa kutambua jambo jepesi kama hili, sasa ana sifa gani ya kuchaguliwa siku za usoni kukikalia hicho kiti kihalali?
 
Kwani Rais Samia ndio Mahakama mkuu?

Tuiache mahakama ifanye kazi yake iliyopewa kikatiba,
 
"Anachonikera ni kimoja tu Kushindwa kujua Kwamba mzee Mbowe anasingiziwa ugaidi na wapumbavu akina Sirro"

Hii nukuu yako ni ushahidi tosha asiye na akili ni wewe! Maana kama huyo Rais wako anashindwa kutambua jambo jepesi kama hili, sasa ana sifa gani ya kuchaguliwa siku za usoni kukikalia hicho kiti kihalali?
Hii kesi ilitungwa na mrundi Magufuli,,,Pamoja na kuchukia yanayompata Mbowe kwa sasa ila nina Imani Samia ashajua cha kufanya
 
Uko sahihi mkuu,
Namuona Rais Samia akitikisa ndani na nje ya Tanzania,

Ipo siku tutanunua gesi kwa buku ten tu Kg 30.

Kazi iendelee
Mnaaminishaga watu upuuzi kwa propaganda zenu za lishamba!! Mnashika mazuzu lkn
Embu tupeni kwanza zile Noah zetu.... jinga sana
 
Back
Top Bottom