Kama anayosema Gambo yanatoka moyoni, basi anapaswa kuonesha njia na kuwaomba msamaha CHADEMA kwa aliyowafanyia

Ujinga wa siasa na watega masikio kusikia kile wanasiasa, hutegemea kusikia uwongouwongo huku wanasiasa wengi nao wakipenda kusema uwongo

Ikitokea mwanasiasa mkweli hubashiliwa vitu vingi visivyotokana na ukweli wa moyo wake, Kwa hiyo yeyote mkweli ndani ya CCM hastahili kuwa CCM?

Mbona kina apostle Msigwa ni waongo wakubwa wale walimsingizia Katibu mkuu Kinana?

Kina Mbowe, badala ya kusema alikunywa gongo akaanguka na kuvunjika mguu, badala yake akasema katekwa😛, Kwa mtazamo huo, Mbowe na Msigwa hawastahili kuwa Chadema ila CCM??

Jinga kabisa
pumba
 
Wanafiki huwa hawana guts za kuomba msamaha. Gambo akiomba msamaha basi kumbe hata lisu anaweza kuomba msamaha
 
Aanze kwa kumuimba radhi Lema mzee wa maono maana alimzingua sana kipindi yeye ni RC na Lema ni MP wa Arusha.
 
Gambo hata CCM yupo kwa maslahi yake binafsi na siyo mwanaCCM
"Opotunist" hapo anapiga hizo kelele Ili apewe uwaziri. Alipokua mkuu wa mkoa Gambo aliumiza wananchi wa aina zote, sio CHADEMA tu hadi CCM aliwaumiza. Ni selfish hatari, Ana kiburi na majivuno. Popote unapomwona anafanya kitu ujue ana maslah yake pale. Tulimuunga mkono Gambo Ili chama kisianguke tukidhani atajirekebisha lakini wapi.
Yeye KILA kiongozi anaekuja hapa Arusha hamtaki. Amejisahau sasa hivi yeye ni mbunge nwakilishi wa wananchi, na Rc na Dc ni wawakilishi wa Raisi. Yeye anataka afanye yote.
Majuzi kaandaa kikao Ili tu kumuharibia kijana huyo Dc kids na mkasa ni mkuu wa wilaya kaandaa ziara ya kuskiza changamoto za wananchi kata kwa kata, eti ye hapendi. Ajirekebishe
 
CCM wote ndivyo walivyo mkuu hakuna hata mmoja mwenye tone la unafuu. Wapo kwa ajili ya maslahi tu na wazuri wa kusoma upepo unavyokwenda.
IMG-20210617-WA0242.jpg
IMG-20210617-WA0241.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nashindwa kuelewa tumlaumu nani aliyetuletea Mwendazake katika awamu iliyopita! Kwa kweli kama Mungu asingeingilia kati sijui Taifa lingekuwa katika hali gani sasa hivi.
Dictator angeiuza nchi kwa mabeberu
 
"Opotunist" hapo anapiga hizo kelele Ili apewe uwaziri. Alipokua mkuu wa mkoa Gambo aliumiza wananchi wa aina zote, sio CHADEMA tu hadi CCM aliwaumiza. Ni selfish hatari, Ana kiburi na majivuno. Popote unapomwona anafanya kitu ujue ana maslah yake pale. Tulimuunga mkono Gambo Ili chama kisianguke tukidhani atajirekebisha lakini wapi.
Yeye KILA kiongozi anaekuja hapa Arusha hamtaki. Amejisahau sasa hivi yeye ni mbunge nwakilishi wa wananchi, na Rc na Dc ni wawakilishi wa Raisi. Yeye anataka afanye yote.
Majuzi kaandaa kikao Ili tu kumuharibia kijana huyo Dc kids na mkasa ni mkuu wa wilaya kaandaa ziara ya kuskiza changamoto za wananchi kata kwa kata, eti ye hapendi. Ajirekebishe
Namfahamu ni mjinga sn
 
Nimekuwa nikimsikiliza sana Gambo kwa mengi anayosema. Ukweli nimetokea kuwa mtu ambaye namfurahia sana, kwa kuwa amekuwa mtu anaetoa kauli makini zenye kujenga bila hofu katika kuielekeza na hata kuikosoa serikali ambayo inaongozwa na chama chake.

Mtazamo niliokuwa nao juu ya Gambo akiwa RC Arusha na nilionao juu yake leo hii ni tofauti sana. Ameni-impress sana, hata nahofia CCM huenda muda wowote wakampa uwaziri ili kujaribu kumnyamazisha, kama ilivyo kawaida yao. Weka siasa pembeni, Gambo ni mtu anaongea vitu very constructive Bungeni. Sikumtegemea hilo kabisa.

Pamoja na kauli nzuri, zenye mantiki anazotoa Gambo, bado nakumbuka mitafaruku na kwa kiasi fulani unyanyasaji aliofanya kwa Chadema akiwa RC Arusha. Hata kama hakufanya hayo maovu yeye, alikuwa na na jukumu la kuwalinda watu wa Arusha kama RC pale. Nimemuelewa sana, kwamba alikuwa katika mazingira magumu na ilibidi tu afanye aliyofanya, au asifanye aliyotakiwa kufanya kama RC. Wengi wanasema kwa nini hakujiuzuru, lakini ni wazi kwamba angefanya hivyo ingekuwa kutangaza vita hadharani dhidi ya raisi wa wakati huo, kwa hiyo isngekuwa vema kwake kujiuzuru.

Hata hivyo, namshauri Gambo, kama kweli anayosema leo yanatoka moyoni, basi awaombe radhi Chadema hadharani, hata ndani ya vikao vya Bunge. Na wapo wengi walikuwa katika mazingira ya Gambo, nao wanaweza kufanya hivyo.

Kuomba radhi ni uungwana, na tunajua ni kweli awamu iliyopita ilifanya unyanyasaji wa juu dhidi ya Chadema kama Chama na viongozi wake mmoja mmoja. Basi Gambo fungua njia, omba radhi yaishe, na itakufanya uzidi kuwa na watu wengi wanaofurahia sana pointi zako za makini ukiwa Bungeni.
Alitenda kwa niaba ya serikali na chama chake. Haina maana kumwajibisha mtu binafsi pekee

Sent from my G80 using JamiiForums mobile app
 
Alitenda kwa niaba ya serikali na chama chake. Haina maana kumwajibisha mtu binafsi pekee

Sent from my G80 using JamiiForums mobile app
Serikali na Chama watakuambia hatukuwahi kumtuma kufanya vitendo vya unyanyasaji na hilo halipo katika job description yake hivyo ashitakiwe kama mtu binafsi. Ukisema hivyo Ole Sabaya atasema alifanya aliyofanya akiwa Mkuu wa Wilaya kwa hiyo alitumwa na seikali na chama chake.
 
Kwa taarifa yako gambo ni mnafki mkubwa na mshenzi Sana fuatilia mambo yake tokea akiwa Dc KOROGWE.
Kiufupi gambo anatafuta huruma ya watu wa Arusha mjini kwani anajua wanamchukia kwasababu hawakumchagua kuwa mbunge wao.
Alitangazwa tu na NEC
Gambo anatapatapa na unafki wake.
Yote ya ovyo yaliyofanyika arusha alipokuwa RC aliyamastermind yeye akishirikiana na mwendazake.
Asilete upumbavu wake ni kheri akae kimya manake anajiaibisha tu pumbavu zake
Mkuu ndio maana nikasema kama anayosema yanatoka moyoni basi aombe msamaha hadharani. Lasivyo wengi watamwona kuwa mnafiki tu
 
Back
Top Bottom