Kessy Wa Kilimanjaro
JF-Expert Member
- Jan 23, 2016
- 327
- 208
Huyu mwana chama wa CCM amesema vitendo vya Rais Magufuli ni halali kwasababu katiba inamruhusu udictator. Sawa basi hapa tatizo siyo Magufuli bali ni Katiba ya muungano wa Tanzania iliyoandikwa na Nyerere na wengine waliokuwa ma-communist.
Einstein mwenyewe alisema; "Insanity is doing the same thing over and over again and expecting different results." Sasa kama tumeifuata hiyo katiba miaka 55 na bado hatuoni maendeleo tofauti, hiyo katiba haifai.
#KATIBAMPYATANZANIA