XaviMessIniesta
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 2,066
- 2,510
- Thread starter
- #21
Ila walikuambia siku fulani solar Eclipse inatokea kweli
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ila walikuambia siku fulani solar Eclipse inatokea kweli
Ila story za uwepo wa Mungu ni kweli na unaziamini sio?Story za kusadikika za aliens ni kama story za majini/mashetani/uchawi hazina ushahidi wowote zaidi ya porojo tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Nazan kuna Race flan inatuchukulia kama sisi tunavyowachukulia sisimiziActually ni ujinga na upunguani kudhani eti sisi ni intelligent race pekee kwenye universe..! Kama solar system yetu pekee ni sawa na punje ya mchanga ivunjwe zaidi ya mara 1000, kwann kusiwezekane kukawa na ET kwenye kona nyengine ya galaxy yetu?
Sent using Jamii Forums mobile app
Why we should trust you?Trust me there is nothing called Aliens is fabricated Agenda to cover up spiritual darkness, do not buy this kind of lie.....
Wewe mwenyewe.Naomba ushaidi wa kuwepo kwa Aliens
Ndio maana nimesema watakuwa na technology iliyo beyond human comprehensionKwamba kama wanaweza kutuona basi wanaona prehistoric times!. Sasa kama wanatuona kwanini usiassume they are more advanced kuweza tumia Warp techonology!?..Hii post yako iko na problem ujue!.
Au ng'ombe. Pengine wanasubiri tuongezeke waje watuvune wale nyama. Unaweza kuta hii dunia ni shamba la Tajiri mmoja ETNazan kuna Race flan inatuchukulia kama sisi tunavyowachukulia sisimizi
Sent using Jamii Forums mobile app
Hujanielewa!..Ndio maana nimesema watakuwa na technology iliyo beyond human comprehension
Au umenisoma juu juu tu
hahaaAu ng'ombe. Pengine wanasubiri tuongezeke waje watuvune wale nyama. Unaweza kuta hii dunia ni shamba la Tajiri mmoja ET
Spiritually kuna twosides dark side na light side....the dark side works on deception the light side works on Truth.....Na agenda kubwa ambayo Dark side imeeneza duniani ni iyo ya Aliens.....ni fallen angels trying to cover alot of Satanic agendas duniani and it works sababu wanadamu hupenda kusikia wanavyopenda kusikia.....Why we should trust you?
Na ni ujinga second class kuamini kwamba aliens hawapo.unatakiwa ujue kwamba .kwenye ulimwengu huu wanaishi viumbe vinavyo onekana na visivyo onekana.
Kufikiri kuzuri kunaanza hivi;1 light year(distance) = 1 year time
Kama umbali kutoka Galaxy moja hadi nyingine ni 65 light years, kwahyo Aliens waliopo kule wakiangalia duniani bado wanaona Dinosaurs walioishi miaka million 65 iliyopita
Ili Aliens waweze kuona Dunia ilivyo kwa wakati huu inabidi technology yao iwe juu zaidi kuzidi upeo wa kibinadamu
View attachment 840212
Sent using Jamii Forums mobile app
Na ni ujinga second class kuamini kwamba aliens hawapo.unatakiwa ujue kwamba .kwenye ulimwengu huu wanaishi viumbe vinavyo onekana na visivyo onekana.
Ila story za uwepo wa Mungu ni kweli na unaziamini sio?
Ila walikuambia siku fulani solar Eclipse inatokea kweli
Actually ni ujinga na upunguani kudhani eti sisi ni intelligent race pekee kwenye universe..! Kama solar system yetu pekee ni sawa na punje ya mchanga ivunjwe zaidi ya mara 1000, kwann kusiwezekane kukawa na ET kwenye kona nyengine ya galaxy yetu?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata bibilia inatambua kuna sayari wanaish watu ambao hawakutenda dhambi