Kama 7% ya kukua uchumi ni kweli kwanini nguvu kubwa inatumika? Uchumi uliokua sio siri

UONGO UKISEMWA KWA MUDA MREFU BILA KUKANUSHWA HUDHANIWA NI KWELI BY. MWL NYERERE.

NGOJA TUWAJIBU WALE WAPUMBAVU NA MALOFA WALIOZOEA KUPIGA MADILI. WANATUMIWA NA MABEBERU NA NI MAKUWADI WA MABEBERU KWANI WALIZOEA KUCHUMA TANZANIA.

AWAMU HII LINI ULIONA SERIKALI INAKOPA MISHAHARA BAKHRESA AU HOME SHOPPING CENTRE??? MIRADI MINGAPI TUNAFANYA KWA PESA ZA NDANI???

AU MNATAKA WATU WAFUNGUKE???? MWACHENI RAIS MAGUFULI AJENGE MISINGI IMARA KWA KUENDELEA KUKUA KWA UCHUMI WA TANZANIA.

HAYA YALITAKIWA YAFANYIKE AWAMU ZILIZOTANGULIA. HATA HIVYO MUNGU HAKUTUACHA NA YEYE NI WA MAJIRA NA NYAKATI.

Queen Esther
Tumekusoma Msiba
 
Jk na mkapa walizidi hii ℅ ila hakukua na huu ujinga dingilai bana
Umeshasema Jk na Mkapa ambao kimsingi hao hawatakuwa JPM, na huyu JPM hatakuwa wao.
Kila mmoja atabaki kuwa na nafsi yake.
 
Inawezekana ni kweli... Ila labda hatujaambiwa tu hii 7% inakua kuelekea wapi
 
Mi najua unakua zaidi ya 7% japo sina hata mia. Kwa sababu hizi
1. Kuelekea Mwezi 5 mvua imeingezeka zaidi ya hizo % kama unabisha uliza kitengo cha majira
2. Bei ya mchele imeshuka zaidi 2019 kuliko 2018 kuonesha uzalishaji wa mpunga uliongezeka
3. ......,...
4. .......,.
Ila hela hapatikani usiombe ukachenji noti
 
8 Reactions
Reply
Back
Top Bottom