Chakaza
JF-Expert Member
- Mar 10, 2007
- 39,679
- 70,979
Kwa nini serikali ya awamu hii inatumia nguvu kubwa na propaganda inapotaka kuaminisha uongo kuwa ukweli?
Kama uchumi unakuwa kwa 7% tofauti na IMF isemayo 4% shida ya nini matangazo huku na kule wakati uchumi unaokuwa ungeweza onekana bila propaganda?
Haya mambo ya kulazimisha uongo mwisho itakuwa kama yale ya kampuni ya Indo power ya kununua korosho tuliyoaminishwa inaweza nunua korosho kumbe fix tuu