Kalonzo Musyoka-"umakamu Wa Rais Mashakani?"

Mtu Mzima

JF-Expert Member
Oct 4, 2007
394
124
Kuna uwezekano mkubwa wa Kalonzo Musyoka kupoteza nafasi yake ya sasa.Hali hii inapata nguvu zaidi kwa vile kwa sasa anaonekana msaliti kwa kambi ya upinzani na iwapo serikali ya sasa itavunjwa kutoa nafasi kwa serikali mpya.Ingawa yeye pia anaweza kupata nafasi katika serikali mpya kutokana na kuwa chama chake kinashika nafasi ya tatu kwa wingi wa wabunge lakini wachambuzi wa mambo wanapata mashaka iwapo atabaki katika nafasi yake ya sasa.
Iwapo atapata 'demotion' kuwa waziri wa kawaida au naibu itamuweka katika wakati mgumu sana kisiasa.Kutokna na kamati ya anani kupewa kila baraka na mataifa makubwa na jamii ya kimataifa.Jambo jingine linalompa wakati mgumu ni uamzi wake wa kujiunga na serikali ya Kibaki,ikimaanisha kwamba chama chake hakina uwakilishi kwenye mazungumzo ya sasa kwa vile yeye pia anawakilishwa na kamati ya PNU na atalazimika kukubali chochote kitakachofikiwa huko kwa kuwa yeye ni sehemu ya serikali.
Kwa vyovyote vile matokeo ya majadiliano ya serikali ya mseto yanaweza kuwa mwiba kwa Kilonzo na kuzima ndoto zake kabisa.
Jambo hili linapata msukumo kwa kuzingatia ukweli kwamba Raila Odinga hawezi kukubali kufanya kazi chini ya Kalonzo.
Tunasubiri kwa shauku matokeo ya mazungumzo yanayoendelea chini ya Anani siku chache zijazo ili tupate sura halisi ya jinamizi linalomnyemelea ndugu Kilonzo.
 
MtuMzima:
Kwanza usichanganye Kalonzo na Kilonzo, ni watu wawili tofauti ingawa wamo wote kwenye hiyo PNU. Kilonzo yumo kwenye kamati ya upatanishi, na huyu ndie mahiri kama mwanasheria, ambaye pengine atasimamia maslahi ya Kalonzo na ODM-Kenya wenzake.

Kalonzo Musyoka ni kupe, ni 'opportunist' asiyejua kusoma nyakati. Matokeo yake ni kuwa huenda atakuwa amejimaliza kisiasa kwa kuungana haraka haraka na wezi PNU kwa tamaa ya kupata huo ukubwa wa U-vice President. Kwa vyovyote itakavyokuwa, hata kama akiachiwa aendelee kuwa VP, heshima yake kisiasa aliyokuwa nayo zamani kama waziri wa mambo ya nje hawezi tena kuipata; na sasa kwa kweli asitegemee tena kupata u-rais tena wa Kenya. Amejimaliza mwenyewe kwa kuwa na tamaa ya fisi.

Wakati huo huo, angalia alivyommaliza yule mama Julia Odhiambo ambaye alikuwa ni makamu wake. Hata kumteua tu katika ubunge kamtupilia mbali. Huyo mama naye alishindwa kusoma nyakati, kama walivyoshindwa kuzisoma kiongozi wa Ford-Kenya na aliyekuwa waziri wa Biashara katika serikali iliyopita.

Kalonzo Musyoka amekwisha kisiasa, amejiua mwenyewe.
 
Wakubwa, kwa kweli hakuna kiumbe ambaye nimemdharau sana kama Kalonzo Musyoka. I used to admire and respect him so much. But as muungwana said hapo juu, the man is so opportunistic and hopeless if I may add.... and Iam sure he cant remain a VP, under which ground?. Now this tells a larger story than what we can easily see. What exactly are opposition parties interests in African politics? are they interested in people`s welfare au for their personal advancement. Sadly, Kalonzo has turnished the left credibility of opposition in Africa as whole! Critics will argue that oppositions are just interested in power politik and not their masses. Poor Kalonzo! And mark my words, ODM will never forgive this guy (though in politics never is a novel word) but he has lost trust, importantly, trust of the voters, what will he tell them?, even a person who will want to work with him, will have a second thought!

You wait soon, he will be consigned to the dustbin of hisory! What if he had denied Kibaki the would be coalition? He would have proved a a politician of his own calibre! Madaraka Africa yatatumaliza (ooohhh yameshatumaliza....need for more evidence?)
 
Masanja,

Hii dhana ya Vyama Vingi walitulazimisha tu.. may be mda ulikuwa bado- au tulihitaji mfumo wa kati ya Vyama vingi na Single Party- yaani hapo katikati!
 
Sidhani kama tatizo ni kutokuwa tayari, bali ni uroho wa madaraka, kukomoana na visasi ndiyo mambo yanayotusumbua. Kila mtu anataka aingie Ikulu kwa njia yoyote ile iwe kwa wizi, utapeli au hata kwa mtutu.

Kutokana na huo uroho wa madaraka ndiyo maana watu wanakurupuka na kuanzisha utitiri wa vyama vya upinzani au kwenye chama wakishindana kwenye uongozi au ugombea basi lazima kuwe na factions ndani ya chama kimoja.
 
Masanja,

Hii dhana ya Vyama Vingi walitulazimisha tu.. may be mda ulikuwa bado- au tulihitaji mfumo wa kati ya Vyama vingi na Single Party- yaani hapo katikati!

Mzalendo
Hili swali huwa naulizwa kila siku, lakini nashindwa kuwa na jibu, huwa nafikia conclussion kama yako. We need something in between, but the question is, is it practical? Is there something like in between? For sure chama kimoja kwa sasa Tanzania ni old idea ambayo hakuna atakayeikubali, labda wenye uchu wa madaraka, vyama vingi tunaona kuwa havijasaidia kama tulivyotarajia, so what is the solution? Military rule? No way!! Au turudi kwenye utawala wa ambao utakuwa na mtu kama chifu mkuu wa Tanzania, sijui atapatikana vipi na system itaendelea vipi. Kweli ni swali linalohitaji utafiti zaidi!
 
One party, two party, bi party, multi party, no party any of these can do, depends on circumtances!
 
Aliyotaka kayapata.

Atakuwa anakuja na plan mpya za kutafuta nafasi nyingine muafaka.
 
Musyoka faces test as allies say they have been shunted aside

Story by BOB ODALO

Soon after he was appointed vice-president by the man he had challenged for the presidency in last year’s General Election, Kalonzo Musyoka’s supporters organised a demonstration in Machakos Town in support of the move.

The organisers had hoped to attract thousands of people during the march, but the turnout was disappointing.

Many of Mr Musyoka’s supporters were not amused by the appointment because they thought the timing was wrong, coming at a time when the country was engulfed in a wave of post-election violence spawned by the disputed presidential poll results.

Until Monday this week, Member of Parliament Charles Kilonzo and his namesake Kiema Kilonzo were considered “loyal” disciples of the Vice-President.

They came in handy for the Mwingi North MP when he contested the presidency and gave him moral support when the Raila Odinga-led side threatened his chances.

Hence when the two legislators, accompanied by Kathiani MP Wavinya Ndeti, called a press conference and rubbished the leadership qualities of Mr Musyoka, many people sat up and took note.

Leaving in “droves”

Mr Musyoka is facing probably his biggest political test. Close allies are leaving in “droves”.

For a leader who almost rallied the entire Kamba community to his side, the developments have put Mr Musyoka in an awkward position.

The Saturday Nation established that the ODM-K MPs, especially the 13 from Ukambani, are divided into two distinct camps.

According to Mr Charles Kilonzo, the Vice-President erred in rushing to join the PNU.

“A day before he took up his position as the V-P, we held a meeting at the Serena Hotel where Mr Musyoka surprised us by announcing that the ODM-K would support the Kibaki administration. Many of us were taken aback. I remember some of us telling him to shelve the move in view of the volatile nature of politics at the time,” said an MP serving his first term in Parliament.

“But he went ahead and took up the position, and honestly, as the ODM-K family we were taken aback,” said Yatta MP Charles Kilonzo.

According to Mr Kilonzo there was no consensus among the ODM-K MPs as to their status in the coalition they were entering.

“When the Cabinet was announced it was only him (Musyoka) and Kacheliba MP Samuel Porgisho who found themselves in it. The rest of us have been kept in the dark,” he said.

What angers Mr Kilonzo most is the fact that Kanu another PNU partner with 10 MPs had the last laugh when the Cabinet appointments were made, landing plum ministerial positions.

“When we asked about the deal we were told to wait. For how long, no one was willing to say,” he said.

What has however brought about the sharp rift between the MPs and their leader is a quiet agreement that Mr Musyoka is alleged to have reached with the PNU leadership on the resettlement of displaced persons, especially from the Rift Valley. The deal was hinted at by Mr Kilonzo during Monday’s press conference.

Resettlement deal

“This is a big fear that is being discussed at all levels of life in Ukambani,” says Mr Kilonzo.

“We know that Kalonzo negotiated for his V-P position on condition that he would help resettle displaced people in Ukambani, and we are strongly opposed to this. It is such a big issue that it does not warrant a decision by one person, but he chose to ignore us by sealing the deal alone,” says Mr Kilonzo.

Already land for the resettlement exercise had been identified, according to the chairman of the recently formed Ukambani Political Leaders Forum, Mr Davies Musau.

“Areas targeted for such resettlement are Kibwezi, Masinga, Kangundo and Machakos,” said Mr Musau when addressing the forum leaders on Friday.

Mr Musau says the government had agreed to purchase the parcels of land on behalf of the displaced persons.

Soon after Mr Kilonzo and his team held the press conference, Mr Musyoka reportedly requested Mbooni MP Mutula Kilonzo and his Kibwezi counterpart Prof Phillip Kaloki to help cool tempers among the MPs.

But rebellion appears to have taken root.

The recent nominations of councillors appears to have angered the Mbooni MP as procedures that he had recommended be followed in conduction the process were ignored by Mr Musyoka.

Despite some of the names having been gazetted on Friday February 22, 2008, Mr Musyoka allegedly influenced Local Government Minister Uhuru Kenyatta to have the gazetted names struck off the list.

And on the mayoral election date — Monday, February 25, 2008 — the names which had been gazetted on Friday had been replaced with others.

It was this move that prompted the MPs, many of whom had submitted their names only for them to be removed, to call a press conference to publicly attack Mr Musyoka. In fact the party secretary general, Mr Mutula Kilonzo, wrote to Mr Kenyatta and alerted him to the fact that there were errors in the final list he gazetted for nominated councillors in respect to Ukambani region.

“The list in your possession has violated the principles agreed on, and if allowed to pass it would create problems in the coalition,” Mr Kilonzo said in the letter.

The Kofi Annan deal which brought about a power-sharing agreement between President Kibaki and Raila Odinga has thrown Mr Musyoka into another dilemma.

“He kept telling us to be patient as we would be accommodated when the rest of the Cabinet was named, but now with this 50-50 Cabinet deal between Kibaki and Raila, where will Kalonzo fit us?” asked another MP serving his first term who requested not to be named.

But Yatta’s Mr Kilonzo says Mr Musyoka should carry his own cross now that reality is dawning on him.

“He is a deceitful leader, a person you cannot trust. It’s time for him to come face to face with the realities of politics,” said the outspoken MP. ODM-K chairman Daniel Maanzo says his party leader could not have landed himself in the current state of affairs had he played by the book.

As Mr Musyoka frantically searches for solutions at home and at the national level, a group of former MPs and councillors who lost in the just ended polls says he has failed to take up his position as the de facto leader of the Kamba community and must be replaced by more able people.

Sent feelers

According to Mr Musau the leaders, under the auspices of the Ukambani Political Forum, have already sent feelers to Kilome MP, John Harun Mwau and Kitui Central legislator, Charity Ngilu to take over the region’s leadership.

“We have met Mwau and he has no problem with the move so has Mrs Ngilu,” says Mr Musau.

Mr Musau says the fact that MPs who were hitherto close to Mr Musyoka were dumping him explains why the Mwingi North MP lacks the credentials to steer the community forward.

“Following the Kibaki-Raila deal, politics in Kenya will be different, only the best and the brightest will survive,” says Mr Musau.
 
Keil,
Ukisikia imetoka basi nd'o hio!
Kalonzo's goose is cooked and thats a fact.
Kwa sasa we are waiting for Raila to form a
Governmetn kisha tuendelee kutoka hapo.Kama
alivyokua akisema wakati wa kampeni zake...kazi
ianze sasa!!
 
Hii habari imenifurahisha mno na ni funzo kwa wasaliti hata hapa kwetu TZ. Huyu jamaa kama mnakumbuka Odinga alimrefer kama ni Yuda Iskariote, Pale Kibaki alipotaka ile tume ya mashauriano iongozwe na kalonzo.

Safi sana, likely ndio mwisho wa political career yake kama Edo.
 
Kalonzo naona huwa anapendeza jukwaani, anaweza kuwa come back kid wa politics za Kenya.

Uzuri wa politics, it's not over until it's over. Kwasababu ni makamu, ataendelea kuwahonga wapenzi wake vyeo hata kama sio uwaziri.

Kitila aliwahi kusema Wakenya wanapenda mno vyeo, nakubaliana naye kabisa maana naona wenzetu wametuzidi kwa kutaka ukubwa.
 
Kalonzo naona huwa anapendeza jukwaani, anaweza kuwa come back kid wa politics za Kenya.

Uzuri wa politics, it's not over until it's over. Kwasababu ni makamu, ataendelea kuwahonga wapenzi wake vyeo hata kama sio uwaziri.

Kitila aliwahi kusema Wakenya wanapenda mno vyeo, nakubaliana naye kabisa maana naona wenzetu wametuzidi kwa kutaka ukubwa.

Mtanzania:
....Wakenya wanapenda mno vyeo.....

Mataizo ya wanasiasa wengi Kenya yanaanzia hapa. Yaani mwanasiasa haingii kwa 'conviction' ya anayoyaamini kisiasa, bali ni kwa manufaa yake atakayoyapata.

Msyoka hakuwa na sababu yoyote ya kwenda kugombea urais wa wakamba kwa kupitia ODM-Kenya. Kama angekuwa ni mwanasiasa wa kuangalia maslahi ya wananchi na nchi yake, na akabaki kujenga nguvu hiyo katika kundi lao la mwanzo (ODM-Kenya (original); hakuna shaka yoyote haya yaliyotokea Kenya baada ya uchaguzi yasingetokea kabisa. Kwa sababu Kibaki asingeambulia chochote hapo.

Pamoja na siasa kuwa ni mchezo wa kutokuwa na 'permanent enemies,' lakini nadhani safari hii Kalonzo itabidi afanye kazi ya ziada sana kurehabilitate image yake iliyochafuka kabisa.
Hata hao wakamba wenzake wameanza kumstukia sasa kuwa ni opportunist mkubwa - (granted kwamba hata hao wanaolalamika sasa ni kwa kunyimwa ulaji - ndio siasa za Kenya hizo).
 
Kalonzo naona huwa anapendeza jukwaani, anaweza kuwa come back kid wa politics za Kenya.

Uzuri wa politics, it's not over until it's over. Kwasababu ni makamu, ataendelea kuwahonga wapenzi wake vyeo hata kama sio uwaziri.

Kitila aliwahi kusema Wakenya wanapenda mno vyeo, nakubaliana naye kabisa maana naona wenzetu wametuzidi kwa kutaka ukubwa.

Mtanzania, heshima yako mkuu,

Politics in Kenya is very brutal.Once ushakua relegated
into the periphery, it take a gigantic effort to be a
come back kid.As a matter of fact it requires a politician
of enormous influence like Raila to ressurect someone's
career.Ka hivyo Kalonzo will hang around in as much as
this parliament lives lakini asahau kabisa the presidency.
Kenyans will never forgive him for this betrayal!
Kuna yule mama aitwaye Julia Ojiambo ambaye aliungana na
Musyoka na kumpiga tafu wakati wa kampeni in the hope that
baada ya kura atafanywa Mbunge wa viti maalum.Kalonzo
alimtolea nje na kuteua watu wengine hivi kwamba huyu
mama kapeleka kesi mahakamani!Kwa hivyo you can see that
the man is driven by a selfish urge that is is not collective.

Soma: http://eastafricayote.com/showthread.php?t=428
 
Kalonzo’s challenges mount

Published on March 8, 2008, 12:00 am


By Oscar Obonyo

Even as a new dawn brightens up the country’s political horizon, following a power-sharing pact between President Kibaki and Orange Democratic Movement (ODM) leader Mr Raila Odinga, trouble is brewing over the office of Vice-Presidency.

Anxiety is mounting over a host of challenges posed by the Kibaki-Raila deal regarding the mandate and authority of office and the ‘rightful cut’ due to ODM-Kenya, whose leader Mr Kalonzo Musyoka is V-P.

But it is the silent revolt from MPs in his own Ukambani backyard that complicates Kalonzo’s political woes. There are a few MPs who have come out in the open alleging that the V-P has sidelined them by making decisions, which include joining the Cabinet without consultation. But the deal signed by Raila and Kibaki in the wake of post-election violence, details a raft of proposals, including the immediate creation of the posts of Prime Minister and two deputies. How the country’s 10th

Vice-President fits into this new political dispensation is a challenge to Raila and Kibaki, especially the latter, who invited the Mwingi North MP to Government in January.


Vice President Kalonzo Musyoka with Sudanese Ambassador to Kenya Mr Majok Guandong. Majok called on the VP on Wednesday at Jogoo House. Picture by VPPS

The grand coalition deal struck under mediation talks headed by former United Nations Secretary General Dr Kofi Annan recognises the Party of National Unity (PNU) and ODM and spells out a power-sharing deal between the two.

Kalonzo’s ODM-Kenya has, however, entered into a coalition partnership with Kibaki’s PNU. This means that ODM-Kenya’s share of ministerial positions is catered for by PNU under the agreed 50-50 arrangement with ODM.

The Mwingi North MP quickly secured Kibaki’s presidency following the announcement of last year’s highly disputed and discredited presidential poll results.

Having acted as a pillar by turning over ODM-Kenya’s parliamentary strength in Kibaki’s favour, it will be interesting to see how the President manages the delicate balance between his links with Kalonzo and the new-found ODM partner.

Unlike the Annan engineered deal, which is to be entrenched in the Constitution, the PNU/ODM-Kenya memorandum of understanding is a gentleman’s agreement — a fact that has heightened speculation.

While Annan clearly indicated that the Grand Coalition Government would entail "the President, Vice-President, Prime Minister and two deputies and the Cabinet", the signed pact is silent on whether the VP’s position will be subjected to "horse-trading" in an exercise by PNU and ODM to strike a "balance in power and ministerial portfolios".

Indeed the speculations have generated reaction from a section of ODM-Kenya MPs.

Speaking yesterday, Kangundo MP Mr Johnson Muthama explained, "MPs allied to the party and Kalonzo are ready to serve in any capacity, in Government or even in the opposition".

The Saturday Standard, however, established that Muthama’s sentiments were triggered by threats by some ODM-Kenya MPs to break ranks with their leader, Kalonzo.

Some of the ODM-Kenya MPs reportedly snubbed the press conference called by Muthama, who is the party’s parliamentary whip.

The occupant of the VP office, who under the new arrangement will not be the President’s principal deputy, is further expected to cede substantial power to the premier, including serving in the crucial capacity of Leader of Government Business.

Political analyst Mr Mutahi Ngunyi says the arrangement takes off virtually all the meat that goes with the Vice-Presidency.

"The deal further implies that if the holder of the office has a ministerial docket then he or she will equally work under the supervision of the Prime Minister," he observes.

But this in itself is not an impediment considering the strong mood of national healing.

As Leader of Government Business in Parliament, the ODM-Kenya leader, who has publicly declared support for the current arrangement, is facilitating the process.

The relevant National Accord and Reconciliation Bill 2008 is expected in Parliament next Tuesday.

"The agreement (we signed) must be translated into a binding Act of Parliament and entrenched in the Constitution. This will pave way for the sharing of responsibility of governance. I urge you to bear in mind that the agreement is in the best interest of country," said the President, in his speech on the opening of the 10th Parliament on Thursday.

As if speaking from the same script, Raila has expressed confidence that the Grand Coalition Government will work for the national interest.

"There is genuine reason to make the pact work. In the past, a clique made it impossible but things have changed. Now, there is need for me to work directly with Kibaki since it is embedded in the pact. I think there is sufficient goodwill," he told The Saturday Standard on Thursday.

Despite the national goodwill, the new political arrangement has raised a few constitutional concerns, key among them the absence of Leader of Official Opposition and party in the 10th Parliament.

While hailing the Kibaki-Raila pact, ODM and ODM-Kenya allied MPs Mr Ababu Namwamba and Mr Mutula Kilonzo, regret that the arrangement will compromise crucial democratic practices.

The two lawyers-turned-politicians are separately at loss as to who will chair the Parliamentary Accounts Committee and the Public Investments Committee.

As per the tradition of the British Parliamentary, which Kenya has heavily borrowed from, the Opposition leads the two crucial watchdog committees.

To ease the confusion, two leading lawyers have appealed Kalonzo to step out of Government and serve as the Leader of the Official Opposition.

The Law Society of Kenya Chairman, Mr Okong’o Omogeni, and East Africa Law Society President, Mr Tom Ojienda, argue that the move would be in the interest of Kenyans and Kalonzo’s own political career.

In a telephone interview with The Saturday Standard, Ojienda urged Kalonzo to team up with other small parties to form a structured opposition to act as a check against PNU and ODM excesses in Government.

Omogeni said the position of the Leader of Opposition is provided for in the Constitution, adding that Kalonzo should not let Kenyans down.

"The position is in the Constitution with its own remuneration, an official car, security, a personal assistant and a functional office besides a seat reserved for him in Parliament," he said.

Incidentally, some political leaders from Kalonzo’s Ukambani backyard share this position. Former assistant minister and Masinga MP Mr Ronald Kiluta opines that this is the best option if Kalonzo hopes to make a serious stab at the presidency again.

But these are not Kalonzo’s only challenges. Ministers Martha Karua, through Narc-Kenya, Uhuru Kenyatta, through Kanu, and Prof George Saitoti are positioning themselves for the Kibaki succession. It is unlikely Kalonzo, a political outsider, stand any chance in that race.

With a ‘betrayal tag’ hanging over him, his perennial Ukambani rival Charity Ngilu gearing up for a national role in ODM/PNU Government, and Kilome MP Harun Mwau getting ready for national networking, Kalonzo could find himself a lonely VP – if he hangs on there.

Ngilu and Mwau won tickets in Ukambani even after Kalonzo and ODM-Kenya campaigned bitterly and personally against them.

"The VP should understand that the new power deal may leave him and his party in a precarious position," Kiluta told The Saturday Standard.

But Muthama maintains that Kalonzo be retained as VP since the party has MoU with PNU.

"The pact between PNU and ODM is not in our favour except for one man — whom we wish every success as VP — otherwise the rest of us should cross over and keep this government in check," says Yatta MP, Mr Charles Kilonzo.

http://www.eastandard.net/news/?id=1143982985
 
Back
Top Bottom