Kalogeresi M/kiti CCM mkoa wa Morogoro amefanya udalali kufikisha rushwa ya Abood na Shabiby kwa wajumbe Kamati ya Siasa Mkoa na kwa Polepole

Ndugu Ndelamio, acha uongo na uzushi. Mbona mambo ya vyama huko majuu yapo mitandaoni tu. Akina Trump tunasoma Twitter zao wakisema siasa za vyama vyao mara nyingi tu. Acha uongo.

Ndelamio, ukiona wanachama wa chama fulani cha siasa wanatoka na kusema issues za chama chao mitandaoni, wala usiumize kichwa chako ni kwa nini! Jua demokrasia na uhuru wa kueleza haipo ndani ya Chama. Demokrasia inaminywa.

Ujue Chama kinaongozwa na kimeshikwa na kakikundi ka watu wenye ubinafsi mkubwa. Wananeemeka kifisadi kwa kuwemo ndani ya Chama. Ndugu Mwesigwa ukimsikia iwapo wewe ni mtu mwenye hekima utagundua mtu huyu ni mzalendo kwa Chama Cha Mapinduzi CCM na Nchi.

Wewe unawasiliana na viongozi wako kwa kutumia means zote, but with no positive response from your party leaders. Ni haki kweli?
Sasa, ndugu Mwesigwa anapumulia wapi angalau kupunguza pressure na msongo wa mawazo kama siyo mitandaoni. Je, asungefanya hivi, nani angalijua uovu huu unaofanyika ndani ya Chama ambacho kimejijengea heshima kubwa ndani na nje ya Nchi?

Nachojua, viongozi wengi wa Chama cha Mapinduzi hawapo pamoja na visions nzuri za Rais JPM. Ndiyo maana waona mbali wanahofu kubwa mambo yatakavyokuwa baada ya 2025.

Sasa mpaka tuhuma hizi dhidi ya akina Polepole; kijana ninayemwamini kwelikweli. Jamani!
Mimi ni mwanaCCM tangu TYL.

Taifa letu limejipambanua kuwa linamtumaini Mungu wa kweli na aliye hai; i.e. Mungu wa Ibrahim, Isaka, na Yakobo. Taifa ktk hali yoyote linaliitia Jina la Mungu. Lakini tukumbuke, Neno la Mungu linasema, ... Kila aliitiaye Jina la BWANA na auache uovu.

Tukiendelea na unafiki, kikombe cha hasira ya Mungu kitakapojaa, Mungu atakiadhibu Chama na Nchi bila shaka.

Tujifunze kwa iliyokuwa KANU kwa jirani zetu. Mungu ibariki Tanzania. Mungu mbariki JPM.
 
Pamoja na basi la kubebea waombolezaji wakati wa misiba,unapewa kura zote!
Wewe ni mkazi wa Mor, hakiyanani, yaani wapogoro miaka yote mbunge wao anatumia kigezo cha kuwazika tu, baas, anachuma mali na kuwatumikisha sana. Hawa watu wapo kama watumwa fulani
 
Tr
Niliwahi kusema, na sasa narudia tena Polepole hana usafi wowote.. Hata kwa Arusha huwa ana chukua pesa kwa mmoja wa wagombea walio tia nia ya ubunge Arusha mjini.. Hilo liko wazi!!! Ukimsikia ana ropoka utamuona ni mtu kumbe ni mtu nataka. Mh. Mwenyekiti asipo mwangalia vyema huyu jamaa ana kwenda kukipasua chama.. Sijui yuko wapi Nape..
Kabisa mkuu ! NAANDIKA KWA HERUFI KUBWA KUONESHA MSISITIZO. POLEPOLE H SI MSAFI HATA CHEMBE. NI MLA RUSHWA ZOTE YA NGONO NA FEDHA. KIPOCHI CHAKE NI MAGOTI, YULE MWENYE KILEMA CHA NUNDU YA MGONGO; MSAIDIZI WAKE NA NDIO MKUSANYAJI NA MTENGENEZAJI WA MAPATO YA H POLEPOLE. KIJIWE CHAO NI HARARE RESTAURANY NA FALCON LUMUMBA. WATU WANALIA
 
Niliwahi kusema, na sasa narudia tena Polepole hana usafi wowote.. Hata kwa Arusha huwa ana chukua pesa kwa mmoja wa wagombea walio tia nia ya ubunge Arusha mjini.. Hilo liko wazi!!! Ukimsikia ana ropoka utamuona ni mtu kumbe ni mtu nataka. Mh. Mwenyekiti asipo mwangalia vyema huyu jamaa ana kwenda kukipasua chama.. Sijui yuko wapi Nape..


Ka PolePole kale kenye jicho kavu kanapoongea unafiki? Yes, kale ni kajizi kakubwa na CCM wengi wanakajua.
Sasa kama Jiwe mwenyewe anapiga kupitia miradi mingi ya barabara mnataka wenzake watoke kapa?
 
Pole poe huyu huyu haiwezekani.
Pale wasafi in DR. Bashiru katibu mkuu na mweka hazina wake Dr. jina limenitoka aliyekuwa mkuu wa chuo cha Mipango kabla ya uteuzi. Polepole in kama akina Nape, Mwigulu na Amosi Makala enzi za JK.
 
9 Reactions
Reply
Back
Top Bottom