Kalikuwa kashaija

Che Kalizozele

JF-Expert Member
Jul 20, 2008
777
49
Kuna ndugu yangu mmoja ambaye kabila lake ni lile la watu wale ambao wanaweza kula ndizi kutwa mara tatu kwa siku,kwa siku zote 30 za mwezi na zisiwakifu,alikuwa ametoka mahakamani ambako kesi yake ilikuwa inasikilizwa.Njiani akakutana na ndugu yake ambae alimsimulia kesi yote si ndipo jamaa akamuuliza

"kwani umeukumiwa na hakimu Mkazi wa wapi"

Jamaa akajibu,

"No hakuwa mkazi, kalikuwa ni kashaija"

Waulizeni ndugu zetu wahaya maana ya maneno haya, mkazi na kashaija.

Weekend njema
 
mmh! kakaake wala hakukosea .. na imagine tu mshangao wa yule alouliza swali tu.. maana kabaki hoi ... bila shaka alidhani mwenziwe hakusikia au kumwelewa vizuri
 
Back
Top Bottom