Kaliba ya Sheria inavyozinyoosha Siasa za CCM Tanzania

Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
269,633
697,782
Kuna kanuni kwenye hisabati inaitwa MAGAZIJUTO..Tafsiri yake hii hapa
MA - mabano ()
GA - gawanya ÷
ZI - zidisha ×
JU - jumlisha +
TO - toa -

Hii kanuni japo ni ya hisabati lakini ina muingiliano mkubwa na maisha yetu ya kila siku kuanzia kwenye mahusiano mpaka kazini ,siasani stareheni nknk..ni kanuni isiyo na kinyume yaani TOJUZIGAMA..utatoa boko....chochote kwenye maisha lazima kwanza ukiweke kwenye target (lengo/MABANO) kisha ukifanyie MGAWANYO wa mchakato wa utekelezaji...kishapo UKIZIDISHE kwa kukiwekea malengo ya juu...ndipo UJUMLISHE vitendea na muda kazi mwishowe UTOE risk/ yale yasiyofaa..
Jaribu kufuata hii kanuni uone kama kuna mahali utafeli

Sheria ndio msingi mama wa miongozo yote ya kibinadamu...na ndani yake sheria kuna nduguze kanuni na taratibu ...hapo mwanzo kaliba zilizoheshimika sana zilikuwa SHERIA na TIBA

Mageuzi Tanzania yaliingia rasmi mwaka 1991 na kufikia 1995 tayari tulikuwa na vyama vya upinzani vyenye nguvu Tanganyika na Zanzibar (NCCR-MAGEUZI na KAMAHURU).

Uchaguzi wa bara ulikuwa kitisho kikubwa kwa chama dola cha CCM ..Umaarufu wa chama hiki kipya cha kwanza upinzani Tanganyika ukichagizwa na kuwa ndani yake kulikuwa na wanasheria wengi waliotumia vema kanuni ya magazijuto na hatimaye kupata mbunge wa kwanza wa upinzani kupitia jimbo la Ubungo hayati Dr. masumbuko Lamwai mwanasheria msomi wa aina yake kuwahi kutokea Tanzania kwa wakati ule.

Usomi wa Dr. Masumbuko Lamwai na matumizi sahihi ya kanuni ya MAGAZIJUTO kwenye siasa vikiwa mwiba mchungu mno kwa chama tawala na kitisho cha wazi kikaonekana mbeleni kama kundi la akina Dr Lamwai kwenye upinzani lisingedhibitiwa vilivyo

Kwa jinsi Dr. Lamwai alivyokuwa amajipanga KIMAGAZIJUTO na kisheria ndani ya upinzani isiwekuwa rahisi ama la isingewezekana kumdhibiti kwa namna ypyote ile kwa kutumia makundi mengine ya kisiasa ama kijamii..Na ndio ikaasisiwa mbinu mpya ya kutumia majasusi na maafisa vipenyo ndani ya usalama...Hawa walifanikiwa kwa kiwango kikubwa mno kukisambaratisha chama cha NCCR- MAGEUZI na kuudhibiti upinzani tangu wakati huo

Miaka takriban 30 ya mageuzi Tanzania...umeufunza upinzani mambo mengi muhimu sana hasa nyakati za uchaguzi mkuu...Matumizi sahihi ya sheria kanuni na taratibu ndio fyekeo pekee la kubadili siasa za nchi hii...

Kama 1995 mbunge wa kwanza wa upinzani alikuwa mwanasheria .....kuna kila dalili za asilimia 99 kuwa mwaka huu wa 2020 rais wa kwanza wa upinzani atakayekiondosha CHAMA CHA MAPINDUZI madarakani atakuwa mwanasheria....Mtu mwingine nje ya hapo ni vigumu mno kutoboa.

Kadiri siku zinavyosonga kuelekea uchaguzi mkuu kaliba ya sheria kwenye majukwaa ya chama kikuu cha upinzani kupitia mgombea wake ambaye ni mwanasheria nguli mbobezi wa sheria...inatamalaki kwa kutoa masomo muhimu kwa wananchi juu ya haki zao kujitambua wajibu na kujiamini.

Kuna mahali nyakati fulani wananchi waliaswa kutembea kifua mbele lakini kauli husika haikuwa na mashiko kwakuwa haikuwa na nyenzo zozote...lakini leo hii bila hata kuambiwa wananchi wanatembea kifua mbele kwa kutambua sheria haki na wajibu wao katika uhalisia wake.

Kama kuna kitu CCM haitakaa isahau huko itakakokuwa basi ni kuwa na wagombea wa upinzani ambao ni wanasheria wasomi na nguli
Lwamwai alifungua njia na mguu mzuri.
 
Na

Naunga mkono hoja Mimi siwezi kukupinga mbobezi wa uchawi na Nyota.
Screenshot_20200915-195753.jpg
 
ukitumia kanuni hiyo kwenye siasa lazima utaangukia pua na mwishowe utabaki unag'aa macho!!
kanuni ya siasa ni hii;
mtaji wa wanachama + wafuasi+kampeni ya kisayansi=Ushindi usio na chenga
 
Mshana unamaanisha upinzani waanze kupabga safu ya nawaziri?
 
Magufuli amefeli muda mrefu, wewe huoni kila Mwaka wale waliofikia hatua Ya kumwiiita YESU walikuwa wanapungua? Na wale vijana wa book Saba walipungua had wameisha kabisaaaa
 
ukitumia kanuni hiyo kwenye siasa lazima utaangukia pua na mwishowe utabaki unag'aa macho!!
kanuni ya siasa ni hii;
mtaji wa wanachama + wafuasi+kampeni ya kisayansi=Ushindi usio na chenga
Ndio maaana umeelezwa kuwa magufuli hana wanachama, Au unasahau kuwa yeye yupo Ccm Mpya? Isiyo na wanachama? Magufuli Hana wafuasi wamebaki kwake wachumia tumbo tu? Magufuli Hana kampeni za kisayans anafoka foka tu na kumjibu lisu, kiukweli watu tutakaompigia lisu kura wengi ni Ccm Kwa taarifa yako
 
Back
Top Bottom