Kali Zilizobuma"

Director D

Senior Member
Feb 24, 2016
192
229
Habari Wakuu
.
Hivi umewahi kusikia nyimbo nzuri sanaa lakini kwa bahati mbaya nyimbo hiyo haibambi au haisikiki sana.
.
Binafsi Nimekutana na nyimbo hizi ambazo ni kali sana ila zilibuma

1. Sijiwezi-- Nay wa mitego.
huyu jamaa pamoja na vurugu zake zote lakini kwenye ngoma hii alifanya kweli
alisound kihisia na ngoma ni kali mno kwa mchango wa Mr T Touch ambaye alitisha sanaa.
bahati mbaya ngoma hii ilibuma kizembe sanaa.

2. Imebaki Story-- Hemed PHD
Jamaa aliitendea haki hii ngoma ingawa ilibuma bila kutarajia

3. Kizubaneta-- Pah One
kwa wale wanaopenda ngoma za kuchezeka watakuwa wanaijua hii
ni ngoma yenye beat kali mno la kuchezeka ila ilibuma yaan daah

4. n.k
.
Je wewe uliwahi kupenda nyimbo gani iliyobuma??
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom