Ndege aina ya UNGO237-8 ya shirika la ndege la WANGA AIRLINE imetua kwa dharula juu ya pa la nyumba mkoani Iringa kufuatia hitilafu kwenye injini.Hakuna majeruhi.View attachment 1184941View attachment 1184942View attachment 1184943View attachment 1184944

Hakuna kitu Kama hicho Kama ni mdondoko angepiga kichwa hapo au tumbo si kulala kwa pozi hilo.
Ni rahisi sana kupinga ukiwa nyuma ya keyboard bila kutoa ithibati za kupinga...Hakuna hivi vitu...
Shetani hayupo,majini hayapo!
Mungu hayupo!
Labda uniambie kuna some physical phenomenon unayofanya mechanically ungo kua na aerofoil behaviour kupaa,otherwise ni mmama alikua anajaribu kupaa na ungo which laws of physics can not be suspended!
Hakuna kitu kama hicho!
Ni mtu alijaribu kufanya upaaji ambao mechanically ni impossible.Kaanguka kaumia then mkamkuta hapo!
Mkubwa, nimefunguka ki aina....!! Mchepuko wangu ni dili..!!!
Ila chief huyu mtoto ni mkali balaa, yaani angedondokea kwenye paa langu, ningevuta ndaniNdege aina ya UNGO237-8 ya shirika la ndege la WANGA AIRLINE imetua kwa dharula juu ya pa la nyumba mkoani Iringa kufuatia hitilafu kwenye injini.Hakuna majeruhi.View attachment 1184941View attachment 1184942View attachment 1184943View attachment 1184944
Ni rahisi sana kupinga ukiwa nyuma ya keyboard bila kutoa ithibati za kupinga...
Ndege aina ya UNGO237-8 ya shirika la ndege la WANGA AIRLINE imetua kwa dharula juu ya pa la nyumba mkoani Iringa kufuatia hitilafu kwenye injini.Hakuna majeruhi.View attachment 1184941View attachment 1184942View attachment 1184943View attachment 1184944
Ndiyo wabobevu.Mbona marubani wa hizi ndege wengi ni wanawake!