Kali ya weekend: Emergency landing...

Huwa nawaza ile friction force due to viscosity ya air hawapatagi umeme tuli kwenye miili yao, pindi wanapokuja kusaidiwa na kushikwa ningeshauri wasaidiaji kuvaa grove kuzuia kupatwa na shot.:)
Betri zinakuwa zimeshachomolewa waya... hivyo hakuna connection tena
 
Kama haya matukio yana ukweli ndani yake, basi imefika wakati muafaka wa serikali kuwabana watoe elimu hii iwe faida kwa nchi. Yaani upande ungo kutoka upande mmoja wa nchi mpaka mwingine? Kuna la kujifunza hapa ili tuokoe gharama...
 
Kama haya matukio yana ukweli ndani yake, basi imefika wakati muafaka wa serikali kuwabana watoe elimu hii iwe faida kwa nchi. Yaani upande ungo kutoka upande mmoja wa nchi mpaka mwingine? Kuna la kujifunza hapa ili tuokoe gharama...
Tatizo serikali haiamini katika ushirikina, uchawi wala ulozi... (Japo sio kweli)
 
Ndege aina ya UNGO237-8 ya shirika la ndege la WANGA AIRLINE imetua kwa dharula juu ya pa la nyumba mkoani Iringa kufuatia hitilafu kwenye injini.Hakuna majeruhi.View attachment 1184941View attachment 1184942View attachment 1184943View attachment 1184944
Tatizo hizi teknolojia zina gharama sana; kafala, kutokulala usiku na maisha mafupi kulingana na makubaliano (kutaja chache tu)

Heri kwenda shule rasmi kupata teknolojia isiyokua na masharti na vigezo; just brains.
 
Mbona marubani wa hizi ndege wengi ni wanawake!
Hilo nalo wazo pevu. Wanaume tunaachwaje ndani ya nyumba usiku huku wenzetu wanasafiri safari ndefu! Pia mshana jr tusaidie kwa kutumia vyombo vyako vya kiintelijenzia, Je, mhusika ni wa Iringa hapo hapo au ni mgeni kutoka sayari nyingine?? Fuatilia utujuvye isijekuwa alitoroka Msamvu kwani naona ka walioungua pale msamvu
 
Mshana bwana.. 🤣 🤣 🤣 🤣 .. Nkajua unaongelea ile ya URUSI walotua kwenye mashamba ya mahindi, na watu wote kupona, anyway huyo bi dada alisahau kanuni .. na KUPARAMIA ANGA La wakubwa ambalo haruhusiwi pita
 
9 Reactions
Reply
Back
Top Bottom