Fafanua kidogo, ni kwa jinsi gani ni uongo ikiwa kuna pichaMbona kama uongo huo
Pengine alidhani ni pichadukaFafanua kidogo, ni kwa jinsi gani ni uongo ikiwa kuna picha
View attachment 1184955
Shida bongo tunadharau sana teknolojia ya nyumbani.Ndege aina ya UNGO237-8 ya shirika la ndege la WANGA AIRLINE imetua kwa dharula juu ya pa la nyumba mkoani Iringa kufuatia hitilafu kwenye injini.Hakuna majeruhi.View attachment 1184941View attachment 1184942View attachment 1184943View attachment 1184944
Tatizo wanaweka mafuta kidogo