Kali 3 za leo: Mapenzi, Siasa, Habari zilizovuma JamiiForums, Ijumaa 22 Julai, 2016 (Video)

JamiiForums

JF Official Account
Nov 9, 2006
6,202
4,993
Watangazaji mahiri, Khadija Mzee na Ramadhan Ngoda wanakusomea Habari motomoto na Mkasa wa Mapenzi kutoka JamiiForums kwenye kipindi cha Jamii Leo.

Ungana nao upate kufahamu yaliyojadaliwa kwenye;

1. UHAKIKI WA VYETI: WATUMISHI 3,600 HATIHATI KUKOSA MISHAHARA PWANI

2. VYUO VIKUU SITA VYAZUIWA KUDAHILI WANAFUNZI KWA MWAKA 2016/2017

3. NIMEMSOMESHA, NIMEGHARAMIKA, LEO KANIACHA ANAOLEWA NA MTU MWINGINE (By Palesa26).

MwanaJF, nawe unaweza kupendekeza story ambayo ungependa isomwe kwenye kipindi cha kesho. Tuandikie comment yako tafadhali.

Tufuatilie zaidi kwenye Youtube Channel ya @ JamiiForums
 
Back
Top Bottom