Kali 3 za leo kutoka JamiiForums: Walimu waonywa na Rais, Amkata mkewe mikono Kenya, LHRC mko wapi?

JamiiForums

JF Official Account
Nov 9, 2006
6,202
5,012
Watangazaji wa JamiiForums, Khadija Mzee na Ramadhani Ngoda wanakuletea habari kali zilizovuta hisia za wengi kutoka JamiiForums Agosti 2, 2016.

Leo wakiangazia mjadala uliozuka kufuatia Kauli ya Rais Magufuli kuwaonya Walimu kuhusu fedha za serikali, Mwanaume aliyemkata mkewe mikono miwili nchini Kenya, na Hoja ya mdau wetu Babeli inayouliza; Kwanini watu wa kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) hawazungumzii haki za wezi wanaochomwa Moto?

Tazama video hii kuweza kujua mitazamo ya wananchi..


Je, wewe una maoni gani kuhusu mada yoyote hapo juu? Tafadhali shiriki mijadala husika uache mtazamo wako.

Pia unaweza kupendekeza Hoja, Habari au Mada yoyote ambayo ungependa isomwe kwenye vipindi vyetu vijavyo.

Usikose kutazama kipindi cha JAMII LEO Kila Siku ili upate muhtasari wa maoni ya wanaJF kama yalivyotokeza kwenye mijadala mbalimbali ya siku nzima.
 
Back
Top Bottom