Kalenda Zenye Picha Dr Slaa na Wabunge wa CHADEMA

Hizo kalenda hazina haja na wala Tanznaia haitofaidika kwa chochote na kuwapo kwake kwani CDM si chama tawala. Wasijaribu kuhujumu uchumi wa wanachama wetu. Vinginevyo tutahama chama.

Hujawahi kuwa mwanachama labda pandikizi la CUF
 
Mkuu,

Sasa kweli!!!
CHADEMA wanaifata CCM.... Siasa na biashara... au siasa ni biashara?
CCM kwa mfumo kama huu ndio wametufikisha hapa tulipo...bora tufungue macho na mapema.
Ushauri tu...... CHADEMA kama chama wasijiingize kwenye mkenge huu. Kama ni biashara ya mpenzi , mwanachama, shabiki tu wa CHADEMA ,then its ok.
 
Mvuto wameupata lini? wangekua na mvuto wangeshinda uchaguzi! kupata majimbo 20 kati ya 239 imekua nongwa! kweli masikini akipata ****** hulia mbwata!

Kwangu mimi huo ni mvuto mkubwa ukizingatia tume ya uchaguzi ni ya CCM. Kama kungekuwa na mazingira sawa ya uchaguzi hayo yasingekuwa mafanikio ya kujivunia. Usijadili kishabiki mkuu ongea ukweli.
 
Hizo kalenda hazina haja na wala Tanznaia haitofaidika kwa chochote na kuwapo kwake kwani CDM si chama tawala. Wasijaribu kuhujumu uchumi wa wanachama wetu. Vinginevyo tutahama chama.

Ukihama ni vizuri maana ukitoka huko kwa mafisadi ukaungana nasi ni vuzuri.
 
Kama wanashindwa ku-supply na ku-distribute calenda, JE? wataweza ku-suply na distribute resource za nchi?

Hiki chama pamoja na viongozi wake bado hawajakomaaa, kuwaachia nchi ni kufanya suicide Tanzania, hakuna mtaalam wa aina yoyote na kiongozi mwenye sifa ya aina yoyote pale chadema.

Mbowe na Slaa ni wataalam wa nini ????

Issue hapa ni kuhujumiwa kama magazi ya Raiamwema, Mwanahalisi na Tanzania daima.
 
Mkuu,

Sasa kweli!!!
CHADEMA wanaifata CCM.... Siasa na biashara... au siasa ni biashara?
CCM kwa mfumo kama huu ndio wametufikisha hapa tulipo...bora tufungue macho na mapema.
Ushauri tu...... CHADEMA kama chama wasijiingize kwenye mkenge huu. Kama ni biashara ya mpenzi , mwanachama, shabiki tu wa CHADEMA ,then its ok.

Wewe ni mzito wa kuelewa, wananchi ndio wanataka hizo Kalenda.
 
Hizo kalenda hazina haja na wala Tanznaia haitofaidika kwa chochote na kuwapo kwake kwani CDM si chama tawala. Wasijaribu kuhujumu uchumi wa wanachama wetu. Vinginevyo tutahama chama.

Hv hii ndo sababu ya kukufanya uhame chama? Nenda zako ewe mwanachama hewa!!!!
 
Ndugu Zangu wanaJF, Hii biashara ya kuuzwa kwa Calenda za CHADEMA mbona kama inahijumiwa, kwani zinatolewa chache mno kiasi cha watu wengi wamekuwa wakipanda dau ambalo nimenunua mimi.

Naomba kuwauliza wahusika kama ni CDM waongeze kiasi kwani inapatikana kwa taabu sana kiasi cha unamwelekeza mtu aende akachukue inakopatikana lakini anakosa hadi mara kadhaa.

Tunaomba kufahamu kama CDM wanahusika na Uchapishaji basi waongeze na ziende hadi katika ofisi za wilaya wapo watu kibao wanazihitaji, kama mimi nishatuma kama mbili hivi wilayani watu wanazihitaji.

Vile vile tupeni ambako zinapatikana kwa bei ya jumla tufanye hiyo biashara ya kuziuza maana watu watazinunua hadi mwezi wa nne.

Ahsanteni, Katiba Mpya lazima hadi JK amesalimu amri 2011 mwaka wetu

Katiba mpya ni hoja ya Mch. Mtikila ameisha sema nyie warukiaji wa hoja za watu halafu mnasema za kwenu. CDM kumbe hamna lolote ni watu kukurupuka amesema.
 
Kwangu mimi huo ni mvuto mkubwa ukizingatia tume ya uchaguzi ni ya CCM. Kama kungekuwa na mazingira sawa ya uchaguzi hayo yasingekuwa mafanikio ya kujivunia. Usijadili kishabiki mkuu ongea ukweli.

Tume ya uchaguzi ni ya Taifa, CCM hawahusiki bure, na ingekuwa hivyo hata hayo majimbo msinge yapata, mtafuteni mchawi mwingine CCM hawahusiki kabisa
 
Mvuto wameupata lini? wangekua na mvuto wangeshinda uchaguzi! kupata majimbo 20 kati ya 239 imekua nongwa! kweli masikini akipata ****** hulia mbwata!
Nani aliyekwambia ikulu ni sehemu ya kuuza sura!!Kama mnataka kuuza sura imbeni bongo flava...Sura nzuri na utendaji havihusiani na Tanzania inachohitaji ni utendaji!
 
Back
Top Bottom