GAZETI
JF-Expert Member
- Feb 24, 2011
- 5,277
- 6,673
Ni kalenda ya ajabu sana, sisi leo ni Tar 30/09/1438 wakati wenzetu wengine
ni Tarehe 01/10/1438, Niulize tu kwa wajuzi wa mambo hasa wale wa dini,
1.Kuna upande Mungu alianza kuumba kabla ya mwingine?
2.Tunaambiwa mashetani wanafungiwa na kufunguliwa Ramadhani
inapoisha, Je huko kwingine wamefunguliwa na huku kwetu bado
wamefungiwa?
3. Pia inasadikika LailatulQadri ipo kumi la mwisho katika masiku ya Witri
Je, inakuwa siku moja au kila watu wana usiku wao wa Lailatulqadr?
4.Jaribu kuvuta fikra kuwa Mtume (S.A.W) yupo hai ndani ya jiji La Maka au
Madina na leo anawatangazia Idi ungesubiri Ruksa ya mtu mwengingine?