Kalemani: Mwenge haujawahi kuzimiwa kwenye wilaya hii ni mara ya kwanza Chato

Huwashwa Mkoani na kuzimwa mkoani. Amesema Kalemani na kudai kuwa hii ni fursa kubwa kwa Chato.

Hivyo Chato kama wilaya imepata fursa kubwa sana kwa mwenge kuzimwa hapa wilayani chato.
Labda fursa ya kusambaza Ukimwi na Corona tu hakuna lolote la maendeleo endelevu!
 
Kama mpaka karne hii mwenge kuzimau/kuwashwa mkoani au wilayani ni big deal - tuna kazi kubwa sana na tunahitaji muda mrefu sana!!
 
Nipe faida tano za mwenge
mimba za utotoni kupatikana kwenye mikesha
mikesha watu kurudi nyumbani asubuhi
matumizi mabaya ya fedha za umma
usambazaji wa uviko kwa hiyo mikusanyiko ilsiyo rasmi
uchawi (Refer maandiko kwenye torati).
 
Back
Top Bottom