Kalemani alikuwa analeta ukabila TANESCO ndo maana akapigwa chini

Shetemba

JF-Expert Member
Jan 20, 2018
713
1,000
Chatoo
JamiiForums-1750342927.jpg
 
Francis fares Maro

JF-Expert Member
Jun 20, 2021
926
1,000
Broo usihangaike nao hata mwanza wameshabakia wale wakongwe! Kahama geita,katoro hakuna mtu anahangaika nao!
Yani wamebaki wakongwe kwahiyo hawa sio Wachagga!!!....Nenda Bugando hospital kaangalie madaktari na nurses wapo wangapi?!..Wewe unadhani Hadi usikie katokea Kilimanjaro!!..Tuna wajua Kwa Majina Yao ya Mwisho (Koo)
 
love life live life

JF-Expert Member
Sep 12, 2021
372
250
Mkuu bado uko ulaya?
Haya mambo ya ukabila na upendeleo yako wazi sana.
Una mfahamu Doti James-mpwa wa Magufuli aliyekuwa katibu mkuu Fedha na Paymaster General?
Unahitsji uthibitisho gani uamini uozo wa kundi hilo la Chato?
Mbona hamkusema kikwete alipomfanya mtoto wake awe mbunge..
Enzi za nyerere maaskari wengi walikuw wanatoka wap?
Wasukuma ni wengi kivyotevyote vile wakiteuliwa wengi inaonekana ukabila.
wakisema wateue kwa uwiano wasukuma wangap watateuliwa?
Context ya ukabila ni kwamba kufanya kitu kunufaisha kabila lako
Magufuli kafanya nin ambacho wasukuma wamenufaika nacho kuzid makabila mengine
Wasukuma wako zaidi ya mil 10 walioteuliwa hawazidi hata 100 acheni siasa na propaganda mfu,
Hazina faida kwa ccm wala kwenu ispokuw hasara.
 
Niza doyi

JF-Expert Member
Dec 10, 2019
1,438
2,000
Hii Nchi Ina wapumbavu wengi sana mchakato wa ajira ulivyo ukiweka watu wako Nchi nzima sizani Kama wanaweza kufika hata 100 maana kazi nyingi hasa tanesco Ni zile za kupanda tu vyeo ..

Mambo ya sijui unaweka watu wako kwa miaka 4 huu Ni uzushi labda Kama aliweka weka mafundi maana ndio ajira nyingi za tanesco.

Ila kusema eti unaweka watu wako kwenye engineer au wafanyakazi walio kwenye payroll ya utumishi huu Ni uposhoji mkubwa Sana!!

Vijana tunachuki Sana za ukabila zisizo na maana hasa Wasukuma na Wachaga wamekuwa na shida Sana nowdays ya kupenda kushindana sijui why!
Historia ya wachaga waliopewa vyeo jinsi walivyofanya ufisadi Mwendazake hakupenda akawaweka kando.
 
sambulugu

JF-Expert Member
Jun 1, 2021
571
1,000
Yani wamebaki wakongwe kwahiyo hawa sio Wachagga!!!....Nenda Bugando hospital kaangalie madaktari na nurses wapo wangapi?!..Wewe unadhani Hadi usikie katokea Kilimanjaro!!..Tuna wajua Kwa Majina Yao ya Mwisho (Koo)
Bugando usidanganye watu hapo ni mchanganyiko tena kwa taarifa yako wengi staff ni kanda ya ziwa hata dr Masaga mkurugenzi ni wa huko hata msaidizi wake ni wa huko mwanza! Aliyekuwa mkurugenzi ni Dr Makubi naye ni wa mwanza! Hizo stori nakwambia zilipendwa kubali yaishe!
 
Niza doyi

JF-Expert Member
Dec 10, 2019
1,438
2,000
Mbona hamkusema kikwete alipomfanya mtoto wake awe mbunge..
Enzi za nyerere maaskari wengi walikuw wanatoka wap?
Wasukuma ni wengi kivyotevyote vile wakiteuliwa wengi inaonekana ukabila.
wakisema wateue kwa uwiano wasukuma wangap watateuliwa?
Context ya ukabila ni kwamba kufanya kitu kunufaisha kabila lako
Magufuli kafanya nin ambacho wasukuma wamenufaka nacho kuzid makabila mengine
Wasukuma wako zaidi ya mil 10 walioteuliwa hawazidi hata 100 acheni siasa na propaganda mfu,
Hazina faida kwa ccm wala kwenu ispokuw hasara.
Umemaliza kila kitu hakuna nyongeza.
 
Francis fares Maro

JF-Expert Member
Jun 20, 2021
926
1,000
Bugando usidanganye watu hapo ni mchanganyiko tena kwa taarifa yako wengi staff ni kanda ya ziwa hata dr Masaga mkurugenzi ni wa huko hata msaidizi wake ni wa huko mwanza! Aliyekuwa mkurugenzi ni Dr Makubi naye ni wa mwanza! Hizo stori nakwambia zilipendwa kubali yaishe!
Mimi najua wapo wengi hapo na sio hapo tu hospital zote kwanzia za vijijini huko!!..Ndio maana nimesema Sekta zote ndio wapo wengi kwasababu wao waliikumbatia Elimu Kwanza wakaacha mambo yenu ya kubagua Kazi na jinsia
 
Opportunity Cost

JF-Expert Member
Dec 10, 2020
8,201
2,000
Hili genge sijui ina lina laana gani mungu wangu!

Kwa kweli mnawafanya wanachato wote wasiaminike

Huyu bwana pamoja na kuwa rekodi nzuri ya utendaji alivyotolewa nilisikitika sana lakini kumbe alikua analeta ukabila na uchato huko Wizarani na Tanesco

Alikua analeta upendeleo wa kikabila na wa kieneo kwenye wizara yake pamoja na Tanesco

Waziri nzima unajaza watu wa chato tu Tanesco unapeleka mafavour yote yaende kwenu chato japo nyumbani ni nyumbani sio kwa ukabila huu wa kupendelea tu kwenu hii ni aibu na hasara kubwa kwa taifa

Huko Tanesco uliwajaza ndugu zako, kabila lako wachato wenzako!!! Halafu hao hata wakifanya makosa ulikua huwagusi na bado hukuridhika ukapeleka jengo la mabilioni huko Chato la tanesco

Yaani ni kusema kwamba chato ina wateja wengi wa umeme kuliko dsm au?Hivi mnatuonaje nyie Push gang?Hamtaki kuamini kwamba zama zenu zimekwisha?

Halafu kuna wajinga waliohoji mama kamtumbua bila kumwambia kosa lake eti magu alikua anamtumbua mtu anamwambia kosa...We msitufanye mazuzu mwendazake alivyomtoa makamba kipindi ile kwani makamba alifanya kosa gani?

Si hakufanya lolote baya?Sasa tulieni dawa iwaingie msimpangie mheshimiwa rais cha kufanya kwamba afanye km alivyokua anatenda huyo marehemu wenu.Halafu ni bora mkae kimya tu hivi mnajua tunajua hadi utambulisho wa huyo mtu wenu alotolewa kwamba ni damu moja na marehemu nasubiri ni suala la muda tu i will expose everything soon

Hili genge inabidi iwepo list kabisa watolewe wote, huyu kalemani nilimwamini sana na ni mchapakazi sana ila ukabila na uchato ulimpenda zaidi....
Eti Rais akutumbue afu akwambie kosa, wewe ni nani hasa? Unaweza tumbuliwa bila hata kosa,kwani lazima wewe tuu?
 
sambulugu

JF-Expert Member
Jun 1, 2021
571
1,000
Mimi najua wapo wengi hapo na sio hapo tu hospital zote kwanzia za vijijini huko!!..Ndio maana nimesema Sekta zote ndio wapo wengi kwasababu wao waliikumbatia Elimu Kwanza wakaacha mambo yenu ya kubagua Kazi na jinsia
Ulitaka wasiwepo niambie hospital gani kubwa nchi hii haina doctor msukuma? Hata hapo Lutheran hospital arusha kuna madoctor bingwa wasukuma! Best saizi wasukuma sio wakubezakama miaka ya nyuma sio level unayodhani!
 
LUS0MYA

JF-Expert Member
Aug 4, 2011
273
250
Haya maneno yanaendelea kwa sababu Kalemani alifanya vizuri kazi yake kwa ujumla.Kutolewa kwake hakuhusiani na kazi yake lakini Rais hawajibiki kueleza sababu za kumtoa mtu.Tushirikiane na huyu aliyeteuliwa sasa ili kazi iendelee.Tuachane na siasa za kimtandao.
 
Francis fares Maro

JF-Expert Member
Jun 20, 2021
926
1,000
Ulitaka wasiwepo niamb8ehospital gani kubwa nchihii haina doctor msukuma? Hata hapo Lutheran hospital arusha kuna madoctor bingwa wasukuma! Best saizi wasukuma sio wakubezakama miaka ya nyuma sio level unayodhani!
Wasukuma sijasema hawapo lakini ni wachache sana!!..Tunaongelea kwanzia chini kabisa hapa!!..Ukienda vyuo vikuu utajua nini naongelea
 
love life live life

JF-Expert Member
Sep 12, 2021
372
250
Wasukuma sijasema hawapo lakini ni wachache sana!!..Tunaongelea kwanzia chini kabisa hapa!!..Ukienda vyuo vikuu utajua nini naongelea
Nyie ndio wakabila na kama ajenda yenu itafanikiwa
ya kuwafanya wasukuma wawe wakabila nyie ndio mtavuna mlichopanda.
Kuna office ukikuta mkuu wake ni kabila flan tegemea mpaka mfagizi
Na wasukuma soon itakuwa ivo kwa sababu mnawaombea sana wawe wakabila,
Tuone hasara atapat nan hao wassukuma au ninyi.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom