Kalemani alikuwa analeta ukabila TANESCO ndo maana akapigwa chini

Kipangaspecial

JF-Expert Member
Mar 30, 2020
14,025
2,000
Hili genge sijui ina lina laana gani mungu wangu!

Kwa kweli mnawafanya wanachato wote wasiaminike

Huyu bwana pamoja na kuwa rekodi nzuri ya utendaji alivyotolewa nilisikitika sana lakini kumbe alikua analeta ukabila na uchato huko Wizarani na Tanesco

Alikua analeta upendeleo wa kikabila na wa kieneo kwenye wizara yake pamoja na Tanesco

Waziri nzima unajaza watu wa chato tu Tanesco unapeleka mafavour yote yaende kwenu chato japo nyumbani ni nyumbani sio kwa ukabila huu wa kupendelea tu kwenu hii ni aibu na hasara kubwa kwa taifa

Huko Tanesco uliwajaza ndugu zako, kabila lako wachato wenzako!!! Halafu hao hata wakifanya makosa ulikua huwagusi na bado hukuridhika ukapeleka jengo la mabilioni huko Chato la tanesco

Yaani ni kusema kwamba chato ina wateja wengi wa umeme kuliko dsm au?Hivi mnatuonaje nyie Push gang?Hamtaki kuamini kwamba zama zenu zimekwisha?

Halafu kuna wajinga waliohoji mama kamtumbua bila kumwambia kosa lake eti magu alikua anamtumbua mtu anamwambia kosa...We msitufanye mazuzu mwendazake alivyomtoa makamba kipindi ile kwani makamba alifanya kosa gani?

Si hakufanya lolote baya?Sasa tulieni dawa iwaingie msimpangie mheshimiwa rais cha kufanya kwamba afanye km alivyokua anatenda huyo marehemu wenu.Halafu ni bora mkae kimya tu hivi mnajua tunajua hadi utambulisho wa huyo mtu wenu alotolewa kwamba ni damu moja na marehemu nasubiri ni suala la muda tu i will expose everything soon

Hili genge inabidi iwepo list kabisa watolewe wote, huyu kalemani nilimwamini sana na ni mchapakazi sana ila ukabila na uchato ulimpenda zaidi....
Uaneni tuuuu
 
Kichuguu

Platinum Member
Oct 11, 2006
12,040
2,000
Ukitoa madai ya namna hiii unatakiwa utoe mifano hai.. ili watu waipe uzito. Siyo wakubali au wapinge kwa sababu umesema.
Kuna watu walipowekwa msitali sahihi na Magufuli, walimchukia sana kiasi kuwa hutafuta kila mwanya wa kuonyesha hasira zao hata bila ushahidi wowote. Walizowea misheni town sana na Magufuli akazikata indefinitely na hilo hawatalisahau maisha yao yote.
 
Ngarob

Member
Jul 11, 2015
73
150
chato aliweka umeme wapi kama kwao Nyambogo hakuna umeme?

kalemani hajachomeka mtu yeyote tanesco labuda kama alilazimishwa na mwendazake.

kalemani ni ndugu yangu, lakini mbinafsi sana, tena sana.

jaribu kwenda kwao kijiji cha nyambogo, kata ya ilemela.

alifariki mama yake..... aliacha gumzo,
akafa mke wake.... alikuwa gumzo...

hata ubunge alibebwa sana na rafiki yake john, kwani 2012 alijaribu unec akachezea kichapo na 2015 kwenye ubunge kura za maoni alikuwa anapumuliwa kisogoni na kijana mmoja anaitwa Deusdedit Katwale( huyu baada ya uchaguzi walimbambikia kesi ya uhujum uchumi ili asigombee ubunge. mama ashamtoa).

wanufaika wa utawala wa magu hazivuki hata kaya 20 kwa chato.

1. familia yake, magu, wadogo zake, na mpwa wake Martin.
2. alipooa Gordian Magufuli.
3. alipooa Musa magufuli.
4. kwa mugosha...
5. walimu waliokuwa chato primary miaka ya 80 kurudi nyuma
6. familia ya furaha wa kawewengine walikuwa wamebanwa sana na magu hasa alipokuwa waziri.

kuna familia ya Sende aliwanyima umeme wakati walikuwa Jirani na tanesco wilaya. nguzo wanayotumia tanesco ndiyo wanatumia kwa sende, kisa Dr sende alitaka kugombea ubunge.

Jamaa alikuwa na rohoo mbaya sana, ya vusasi na kila aina ya chuki.

huwa sielewi, ilikuwaje idara ya usalama ikaruhusu hadi akawa alipofikia.

huwa sielewi ilikuwaje ametoka kwenye familia yenye historia ya afya ya akili usalama wa taifa ukaruhusu awe alipokuwa

ilikuwaje wakaruhusu mtu aliyekuwa hahudhurii kwenye sherehe za kitaifa, hakuwa anautii kwa viongozi wake akawa alipokuwa?

Tumsgukuruni sana mungu kwa kuruhusu Mtumishi wake apumzike.

wengi hasa mmemfaham alipokuwa top.

tunategemea 2022 na 2025 kwa mara ya kwanza jimbo la chato litakuwa na uchaguzi huru na haki.

wito: idara ya usalama msije mkaruhusu watu wa aina yake kuukarubia hata unaibu waziri.

Wakati mwingine nashangaa sana idara ya usalama kuruhusu mtu kama Jiwe kufika pale alipo... Mambo aliyofanya yatazungumzwa hata kwa miaka 10 Mbele ..
Kuna mambo alifanya tukaogopa kupost humu kwakuwa ilikuwa hatari sana kwa usalama wako mwenyewe..
Hivi mtu mwenye cheo cha alichokuwa nacho Jiwe.. Unaweza kukaa na wahuni usiku tena wengine wateule wako.. Mnapanga kumkamata Mfanyabiashara na mnafremu kesi ya uhujumu uchumi?
Mi mpaka sasa bado nashangaa sana.. Yaani unakaa na baadhi ya wateule tena wenye mawazo negative na unaona hawa wanafaa kabisa kwenda na vision yangu kichwani...
Kuna mtu alipotea nyumbani kwao mkazi wa Kibaha kwa miaka miwili na nusu.. Alitafutwa sanaaa na ndugu zake.. Kumbe alikuwa gerezani kwa uhujumu na walikuwa wanalazimisha plea bargain.. Katoka gerezani mwezi wa tano amechoka vibaya sana.. Ule ulikuwa sio utawala
 
Kipangaspecial

JF-Expert Member
Mar 30, 2020
14,025
2,000
Kalemani ni mtu asiyefaa kuwa kiongozi. Alinishangaza zaidi alipoamua kupeleka umeme kilometer 25 kwenye plant ndogo ya shemeji yake ya kuchenjulia dhahabu, kwa gharama ya TANESCO. Plant ambayo hata kodi inayolipa haizidi shilingi milioni 1 kwa mwezi.

Ni mbinafsi na mnafiki kuoindukia. Alipoondolewa tu, nilipata imani kuwa kumbe mama Samia ana watu wanaompa baadhi ya taarifa ziluzo sahihi kabisa.

Kumwondoa Kalemani kwenye uwaziri, big credit to Samia.
Tangu Makamba Januari amepewa wizara, watz kila kona wanalia kukatika katika hovyo kwa umeme, sasa Kati ya Kaleman na huyu upara wenu nani ana nafuu ?
 
Kipangaspecial

JF-Expert Member
Mar 30, 2020
14,025
2,000
Mimi najua wapo wengi hapo na sio hapo tu hospital zote kwanzia za vijijini huko!!..Ndio maana nimesema Sekta zote ndio wapo wengi kwasababu wao waliikumbatia Elimu Kwanza wakaacha mambo yenu ya kubagua Kazi na jinsia
Wewe kijana una utoto mwingi sana,

Wakati nipo Form 5 kulikuwa na madogo nipo nao darasa moja, wao kwenye stori ilikuwa kushindana kusema mimi nina broo wangu ana PhD, mara sijui Bro wangu Profesa, yaani ni mwendo wa kushindanisha nafasi za ndugu zao. Sasa naona na wewe ni mhanga wa huo utamaduni.
 
Francis fares Maro

JF-Expert Member
Jun 20, 2021
1,098
2,000
Wewe kijana una utoto mwingi sana,

Wakati nipo Form 5 kulikuwa na madogo nipo nao darasa moja, wao kwenye stori ilikuwa kushindana kusema mimi nina broo wangu ana PhD, mara sijui Bro wangu Profesa, yaani ni mwendo wa kushindanisha nafasi za ndugu zao. Sasa naona na wewe ni mhanga wa huo utamaduni.
Asante!!..
 
Wacha1

JF-Expert Member
Dec 21, 2009
16,470
2,000
Huwezi kuidhinisha kosa kwa vile mwingine alishafanya kosa.
For Dotto James thats nepotism, a form of corruption, pure and simple.

Marais wapumbavu wanaenda mbali zaidi, kuteua wake zao kuwa mawaziri, na wanatumia argument hiyo hiyo.
I don't think so, he was qualified to do the job and delivered. If he did not prove me wrong with facts.
 
Ntaghacha

JF-Expert Member
Jul 28, 2020
1,122
2,000
Hili genge sijui ina lina laana gani mungu wangu!

Kwa kweli mnawafanya wanachato wote wasiaminike

Huyu bwana pamoja na kuwa rekodi nzuri ya utendaji alivyotolewa nilisikitika sana lakini kumbe alikua analeta ukabila na uchato huko Wizarani na Tanesco

Alikua analeta upendeleo wa kikabila na wa kieneo kwenye wizara yake pamoja na Tanesco

Waziri nzima unajaza watu wa chato tu Tanesco unapeleka mafavour yote yaende kwenu chato japo nyumbani ni nyumbani sio kwa ukabila huu wa kupendelea tu kwenu hii ni aibu na hasara kubwa kwa taifa

Huko Tanesco uliwajaza ndugu zako, kabila lako wachato wenzako!!! Halafu hao hata wakifanya makosa ulikua huwagusi na bado hukuridhika ukapeleka jengo la mabilioni huko Chato la tanesco

Yaani ni kusema kwamba chato ina wateja wengi wa umeme kuliko dsm au?Hivi mnatuonaje nyie Push gang?Hamtaki kuamini kwamba zama zenu zimekwisha?

Halafu kuna wajinga waliohoji mama kamtumbua bila kumwambia kosa lake eti magu alikua anamtumbua mtu anamwambia kosa...We msitufanye mazuzu mwendazake alivyomtoa makamba kipindi ile kwani makamba alifanya kosa gani?

Si hakufanya lolote baya?Sasa tulieni dawa iwaingie msimpangie mheshimiwa rais cha kufanya kwamba afanye km alivyokua anatenda huyo marehemu wenu.Halafu ni bora mkae kimya tu hivi mnajua tunajua hadi utambulisho wa huyo mtu wenu alotolewa kwamba ni damu moja na marehemu nasubiri ni suala la muda tu i will expose everything soon

Hili genge inabidi iwepo list kabisa watolewe wote, huyu kalemani nilimwamini sana na ni mchapakazi sana ila ukabila na uchato ulimpenda zaidi....
Hata sina mda wakusoma huu upumbavu,toka kalemani ayoke umeme unakatika kila Mara🚮🚮
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom