Kalemani alikuwa analeta ukabila TANESCO ndo maana akapigwa chini

TRA walipo wachaga asilimi 79 ni kalemani aliwaweka?
Kiwizara TRA na TANESCO inahusianaje? Umeambiwa Kalemani alijaza ukabila wizadaninkwake na TANESCO, acha kukurupuka mgambo, ruka taratibu msikanyagane!!!
 
HILI BANDIKO LAKO NI ZITO ZAIDI.........ILA KUHUSU ISHU YA KALEMANI WEWE HUJAFAHAMU ZAIDI HUYO NA MAGUFULI WANA UNDUGU WA DAMU KWENYE UKOO KABISA

ISHU YA KALEMANI KUJAZA WATU WAKE NI KWELI KABISA KUANZIA WIZARANI KAJAZA NDUGU ZAKE WENGINE NI WATOTO WA NDUGU ZAKE KABISA WALA SIONGEI KWA KUBAHATISHA

KUHUSU MWENDAZAKE WALA SITII NENO ZAIDI YA KUKUELEWA NA KUAPRECIATE ULICHOKIANDIKA MIMI HADI LEO NAJIULIZA ILIKUAJE AKAWA RAIS.....NISHAWAHI KULETA UZI KABISA HUMU KUHOJI KWAMBA KWANINI ALIKUA RAIS ILIWEZEKANA VIPI....JAMAA ALIKUA MTU WA VISASI SANA KWA KWELI YULE SIJUI KAMA YULE BABA ALIKUA BINADAMU AISEE MHHH SIO KAWAIDA KABISA MHHH HADI NAJIULIZA NI MTANZANIA KWELI?KUNA MAMBO HUWA NAREASONING HADI NAHOFIA KUMKUFURU MUNGU KUHUSU YULE JAMAA AISEE
Kuna haja ya kufanya uchunguzi juu ya Magu na madhila aliyoyaacha, ili tusonge mbele kwa pamoja!
 
Hili genge sijui ina lina laana gani mungu wangu!

Kwa kweli mnawafanya wanachato wote wasiaminike

Huyu bwana pamoja na kuwa rekodi nzuri ya utendaji alivyotolewa nilisikitika sana lakini kumbe alikua analeta ukabila na uchato huko Wizarani na Tanesco

Alikua analeta upendeleo wa kikabila na wa kieneo kwenye wizara yake pamoja na Tanesco

Waziri nzima unajaza watu wa chato tu Tanesco unapeleka mafavour yote yaende kwenu chato japo nyumbani ni nyumbani sio kwa ukabila huu wa kupendelea tu kwenu hii ni aibu na hasara kubwa kwa taifa

Huko Tanesco uliwajaza ndugu zako, kabila lako wachato wenzako!!! Halafu hao hata wakifanya makosa ulikua huwagusi na bado hukuridhika ukapeleka jengo la mabilioni huko Chato la tanesco

Yaani ni kusema kwamba chato ina wateja wengi wa umeme kuliko dsm au?Hivi mnatuonaje nyie Push gang?Hamtaki kuamini kwamba zama zenu zimekwisha?

Halafu kuna wajinga waliohoji mama kamtumbua bila kumwambia kosa lake eti magu alikua anamtumbua mtu anamwambia kosa...We msitufanye mazuzu mwendazake alivyomtoa makamba kipindi ile kwani makamba alifanya kosa gani?

Si hakufanya lolote baya?Sasa tulieni dawa iwaingie msimpangie mheshimiwa rais cha kufanya kwamba afanye km alivyokua anatenda huyo marehemu wenu.Halafu ni bora mkae kimya tu hivi mnajua tunajua hadi utambulisho wa huyo mtu wenu alotolewa kwamba ni damu moja na marehemu nasubiri ni suala la muda tu i will expose everything soon

Hili genge inabidi iwepo list kabisa watolewe wote, huyu kalemani nilimwamini sana na ni mchapakazi sana ila ukabila na uchato ulimpenda zaidi....
Acheni ujinga, mmekosa hojha za msingi mnaleta tuhuma zisizo na kichwa wala miguu
 
Wakati mwingine nashangaa sana idara ya usalama kuruhusu mtu kama Jiwe kufika pale alipo... Mambo aliyofanya yatazungumzwa hata kwa miaka 10 Mbele ..
Kuna mambo alifanya tukaogopa kupost humu kwakuwa ilikuwa hatari sana kwa usalama wako mwenyewe..
Hivi mtu mwenye cheo cha alichokuwa nacho Jiwe.. Unaweza kukaa na wahuni usiku tena wengine wateule wako.. Mnapanga kumkamata Mfanyabiashara na mnafremu kesi ya uhujumu uchumi?
Mi mpaka sasa bado nashangaa sana.. Yaani unakaa na baadhi ya wateule tena wenye mawazo negative na unaona hawa wanafaa kabisa kwenda na vision yangu kichwani...
Kuna mtu alipotea nyumbani kwao mkazi wa Kibaha kwa miaka miwili na nusu.. Alitafutwa sanaaa na ndugu zake.. Kumbe alikuwa gerezani kwa uhujumu na walikuwa wanalazimisha plea bargain.. Katoka gerezani mwezi wa tano amechoka vibaya sana.. Ule ulikuwa sio utawala
Mkuu wala usipate tabu kutaja, matajiri wengi waarabu,wahindi na wachaga waliipata fresh, hata bureau de changes zililenga watu fulani.
Yule mchaga wa bureau moshi lasway hadi alipata stroke kisa shetani mwendazake.mbona hakufunga za mwanza,
Mfyuuuuu
 
Jamaa aliweza kazi hayo mengine hatujui .

Shida za umeme kukatika hovyo tulisahau
 
Hili genge sijui ina lina laana gani mungu wangu!

Kwa kweli mnawafanya wanachato wote wasiaminike

Huyu bwana pamoja na kuwa rekodi nzuri ya utendaji alivyotolewa nilisikitika sana lakini kumbe alikua analeta ukabila na uchato huko Wizarani na Tanesco

Alikua analeta upendeleo wa kikabila na wa kieneo kwenye wizara yake pamoja na Tanesco

Waziri nzima unajaza watu wa chato tu Tanesco unapeleka mafavour yote yaende kwenu chato japo nyumbani ni nyumbani sio kwa ukabila huu wa kupendelea tu kwenu hii ni aibu na hasara kubwa kwa taifa

Huko Tanesco uliwajaza ndugu zako, kabila lako wachato wenzako!!! Halafu hao hata wakifanya makosa ulikua huwagusi na bado hukuridhika ukapeleka jengo la mabilioni huko Chato la tanesco

Yaani ni kusema kwamba chato ina wateja wengi wa umeme kuliko dsm au?Hivi mnatuonaje nyie Push gang?Hamtaki kuamini kwamba zama zenu zimekwisha?

Halafu kuna wajinga waliohoji mama kamtumbua bila kumwambia kosa lake eti magu alikua anamtumbua mtu anamwambia kosa...We msitufanye mazuzu mwendazake alivyomtoa makamba kipindi ile kwani makamba alifanya kosa gani?

Si hakufanya lolote baya?Sasa tulieni dawa iwaingie msimpangie mheshimiwa rais cha kufanya kwamba afanye km alivyokua anatenda huyo marehemu wenu.Halafu ni bora mkae kimya tu hivi mnajua tunajua hadi utambulisho wa huyo mtu wenu alotolewa kwamba ni damu moja na marehemu nasubiri ni suala la muda tu i will expose everything soon

Hili genge inabidi iwepo list kabisa watolewe wote, huyu kalemani nilimwamini sana na ni mchapakazi sana ila ukabila na uchato ulimpenda zaidi....
Hata Magufuli aliwahi kuhoji, namnukuu 'Huko TRA mbona wamejaa Wachaga tu,kwani makabila mengine hayana uwezo wa hizo kazi'? mwisho wa kunukuu
 
Back
Top Bottom