Kalanga hoi Monduli, Malori ya kusafirisha mifugo yatumika kusomba watu

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,349
217,388
Maandiko matakatifu yameutaja ukubwa wa LAANA YA USALITI kama jambo lisilopimika wala kusameheka , yanayompata ndugu Kalanga BAADA YA KUNYWEA POMBE MKOPO WA BENKI yanaweza kuwa ndio majibu ya Mungu kwa usaliti aliofanya .
Chama Mfu kikitengeneza Mkutano Monduli..jpg

Hali yake ndio kama mnavyoioa .
 
Kwa mujibu wa gazeti dada na TANZANITE, Uhuru litolewalo kila siku ni kuwa wazee wa kimasai na jamii nzima ya kimasai imemsusia Mzee Lowassa na mgombea wa Chadema kwa vile wazee hao wenye mapenzi makubwa na CCM walimshauri ajitoe Chadema au aache siasa.
MY TAKE:
Hii ni njama ya Chadema kupeleka maroli ya kubebea mizigo na kuwaomba washabiki wa CCM baada ya mkutano kupanda kupigia picha kama zile za Dreamliner kasha kuzileta hapa kutupotosha kuwa hao walisafirishwa wakati hiyo ilikuwa picha ya pozi tuu.
TCRA tunaomba wachukue hatua kwa kudhalilisha ccm na Mpganaji mkuu asiyeujua usaliti Kalanga
 
Hii inaonuesha jinsi gani viongozi wa CCM wanavyowaona wanachama wao kama mbuzi na kondoo tu.

Na hao wanachama nao ni mbuzi kweli....
 
Maandiko matakatifu yameutaja ukubwa wa LAANA YA USALITI kama jambo lisilopimika wala kusameheka , yanayompata ndugu Kalanga BAADA YA KUNYWEA POMBE MKOPO WA BENKI yanaweza kuwa ndio majibu ya Mungu kwa usaliti aliofanya .View attachment 863968

Hali yake ndio kama mnavyoioa .
Sasa hapo Uhoi wa Kalanga uko wapi ? Ina maana wamechukua wapiga kura kutoka vijiji vya mbali kuja kwenye mkutano. Nyie endelea kupiga Demo, mtashangaa Msimamizi wa Uchaguzi atakapmtangaza Kalanga kuwa Mbunge Mteule.
 
Kwa mujibu wa gazeti dada na TANZANITE, Uhuru litolewalo kila siku ni kuwa wazee wa kimasai na jamii nzima ya kimasai imemsusia Mzee Lowassa na mgombea wa Chadema kwa vile wazee hao wenye mapenzi makubwa na CCM walimshauri ajitoe Chadema au aache siasa.
MY TAKE:
Hii ni njama ya Chadema kupeleka maroli ya kubebea mizigo na kuwaomba washabiki wa CCM baada ya mkutano kupanda kupigia picha kama zile za Dreamliner kasha kuzileta hapa kutupotosha kuwa hao walisafirishwa wakati hiyo ilikuwa picha ya pozi tuu.
TCRA tunaomba wachukue hatua kwa kudhalilisha ccm na Mpganaji mkuu asiyeujua usaliti Kalanga
Kabisa mkuu
 
Sasa hapo Uhoi wa Kalanga uko wapi ? Ina maana wamechukua wapiga kura kutoka vijiji vya mbali kuja kwenye mkutano. Nyie endelea kupiga Demo, mtashangaa Msimamizi wa Uchaguzi atakapmtangaza Kalanga kuwa Mbunge Mteule.
Wala hatuna ugomvi na hilo mkuu , sisi lengo letu ni kuifahamisha dunia hali halisi .
 
Back
Top Bottom