Kalamu ya Mwigamba: Salamu za CHADEMA kwa watanzania

Zitto anampoteza Mwigamba na Kitila... wanatumika bila kujijua
 
Nusura mumuue kwenye ajali juzi

- Naona unajifariji haibu kuu maneno yake haya ni sumu kwake sana anaona haibu hata kuyasoma utabiri wake ni sawa tu CHADEMA ni mpango wa MUNGU sasa hamuoni haibu kuendelea kuvuruga mpango huo sasa mnahaha kuivuruga nyie kajampe mlale MUNGU ana makusudi na CHADEMA umenisikia au kama mnapambana na MUNGU siku si nyingi mtakufa wote hama mtubu dhambi yenu nasema mtakufa Mungu haishivyo lazima mkutane naye kwenye kona nyie endelea kupambana na MUNGU hamtashinda ng'o kazi kwenu.
 
Kupitia makala zake kadhaa nilikuja kujua Mwigamba ni msomaji mzuri sana Biblia (aliwahi kutwambia jinsi alivyo acha kazi ya uaskari magereza kwasababu ya kulinda imani yake ya Kisabato, refer ile makala iliyomletea shida yeye na Absalom Kibanda). Naomba nimkumshe story 1 kwenye hicho kitabu, Yesu alichagua wanafunzi aliyowaita mitume, idadi yao iliku 12, mara baada ya Yesu kujiridhisha kwamba hawa mitume/wanafunzi wake wameiva kiasi fulani aliwatuma waende maeneo tofauti wakiwa kwenye makundi ya watu 2 kila kundi, ujumbe ulikua hu, hubirini habari njema, ponyeni wagonjwa na wawafungue watu waliopagawa na mapepo/majini. Wanafunzi hawa waliporudi walimwambia Yesu (report walioitoa kwa aliyewatuma), "Bwana Bwana, tumeona mapepo yakitutii kwa jina lako" Yesu aliwajibu hivi, "....., lakini msifurahi mapepo kutii kwa jina langu, fuarahi kwasababu majina yenu yameandikwa kwenye kitabu cha uzima/mbingu"

My take kwa ujumbe huo wa kwenye hicho kitabu (wengine mtaingilia bure, mwenyewe anaijua vizuri sana hi story) sio kila ahubirie habari njema jina lake lipo kwenye kitabu cha uzima, kumbuka kwenye huo msafara wa wanafunzi na Yuda Iskarioti alikuwepo lakini huyu ndiye aliyekuja kumsaliti Yesu na Yesu alimwambia before hajamsaliti, "Ni heri mtu yule atakaye msaliti Yesu asingelizaliwa" Ndugu yangu Mwigamba, ukombozi uko karibu sana, rudi omba msamaha, hata kama hutapewa cheo chochote lakini ni vizuri kuishi ukiwa na dhamiri isiyo na unafiki, hicho unachokihubiri sasa hivi ndani ya act nina hakika hata wewe hukiamini.
 
Back
Top Bottom