Kalamu ya Mwigamba: Salamu za CHADEMA kwa watanzania

Makala yamekaa vizuri sana na unaonyesha jinsi gani ulivyo na upeo wa kuchambua mambo hongera sana,
Nakushauri mwaka 2015 uchukue fomu ya kugombea
 
Bado tunataka UTULIVU wetu japo twalala njaa tuwaambie watu ukweli kuwa hata chadema wakiwa madarakani hawana miujiza! ila fanyeni subira kidogo tujipange kusimamia kura zetu kwa nguvu zote umoja wetu ndio ushindi wetu people’s
 
Maelezo marefu kuelezea vitu visivyoeleweka.

Mwita25, as a Kurya, you are expected to show braveness and not practice cowardice - as in your case. You've been scared by the knowledge that people were ready to take to the streets to start what people in North Africa are doing now! But remember "bhitta ni bhitta Murra" you'll even be caught in the crossfire if you don't brace for it (the war).
Tanzania's police force with poorly trained carders armed with meager / cheap and light
weaponry, could be counterattacked and contained with catapults.
Shauri yako...
 
Hongera sana! imetulia. Halina kuremba. Tunasubiri alarm tu tulisukumizie gamba gizani huko! kudadeki!!!
 
Mwandishi nimekukubali sana sana unauelewa mkubwa wa mambo,ushauri wangu gombea ubunge kwa kupitia chama cha CDM,
nafikiri kwa ufahamu wako ulivyompana utasaidia sana hasa kwa upande wa habari.
ushauri tu.
 
Huyu jamaa ni kichwa!!Kila mstari ni FACTS,No objection at all.Binafsi sijui CV yake,lakini anaonekana ni makini,na vizuri akawa mmoja wa Wabunge ili kazi ifanyike kwa dhati mjengoni.Dalii ya mvua ni mawingu.
 
Big up Mwigamba! Ujumbe umeenda shule na wasiotaka kuelewa hatuwezi kuwasaidia inawezekana wako kwenye pay roll ya papa fulani, CDM ndio mkombozi wa kweli wa watanzania
 
Back
Top Bottom