Kalamu Aina ya Vintage Rare Carandash AK-45 zinazotumiwa na Mashushushu duniani zinafanya nini kwa vijana wa CCM wenye Kutafuta Teuzi za Serikali?

Mwanahabari Huru

JF-Expert Member
Mar 9, 2015
14,243
34,899
kalamu.jpg
 
kweli hii nchi ni ya kikomunisti na ya chama kimoja, sio kwa rundo la makada huko TISS, polisi na hata ngazi za juu JWTZ (walio ingia kwa kigezo cha kadi ya chama). Tuna safari ndefu sana. Aliyeanzisha huu mfumo wa kifalme alikuja kupata akili ikiwa too late, katuachia hili shetani la kimfumo liendelee kutuburuza.
 
Halafu ndio unategemea kuwe na fairness na maamuzi ya kuweka mbele Taifa,never and ever.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom