Kala Jeremiah: Pigana kijana wimbo bora wa kufungia mwaka huu

Da'Vinci

JF-Expert Member
Dec 1, 2016
29,498
2,000
Salamareko..!

Its true kama umeusikiliza huu wimbo wa Kala Jeremiah basi utakubaliana na mm kua ndo wimbo bora wa mwisho wa mwaka..!

Production ya Beat ipo vizuri sana pia Melody iko nzuri sana
Kubwa zaidi ni ujumbe uliomo kwenye huu wimbo, ni Very Inspirational kwa vijana sie makapuku tusie na mbele wala nyuma.

Tupigane vijana bila kuchoka, Tufanye mishe yoyote bila kuogopa one Day Tutatusua..!

Aksanteni
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom