Korean Air Lines Flight 007: Ndege ya abiria iliyoruka juu ya anga la chuo cha siri cha usalama ikiwa na kamera za upelelezi (Surveillance Cameras)

Urusi akikwambia hataki kitu fulani afu we ukaleta pozi lazima akufumue kumbuka hata ile boeng iliyokuwa ikimilikiwa na uholanzi wakajichanganya wakapita anga la Cremia la haula ilishushwa kama dafu na kuteketeza watu 293 on board.
 
"Inasemekana rubani wa ndege ya Korea alipunguza speed ya ndege kisha akawasha taa za nje za ndege akiashiria ya kwamba alikuwa tayari kufuata maelekezo ya ndege vita ili ende kutua wapi salama salmini bila mikwaruzano wala kugombana "

Chini yake ukasema "Kulingana na taarifa za jeshi inaonekana rubani wa ndege ya raia ya uvamizi alikuwa mbishi sana huku akikataa commands zilizo mtaka aifuate ile ndege ya vita ili imuelekeze wapi ni sehemu anapotakiwa kutua kwa usalama wake ,badala yake yule rubani mvamizi akaongeza speed na kuanza kukimbia kwa kasi ya ajabu kuelekeza ndege kwenda Finland."

Kati ya taarifa hizi mbili zinazo muhusu rubani mmoja wa ndege ya uvamizi ipi ni ipi sasa ?
 
Hate speech. Kama unampenda the bold nenda ukasome jabari zake na sio kumkatisha tamaa mwenzio. Kumbuka hatuwezi kuwa sawa. Kila mtu ana namna yake ya kuwasilisha kitu. Usimlazimishe aige kazi ya mtu. Kumbuka halipwi ila kaona sio vibaya kutupa habari hii. Sina chuki ni ushauriu tu
binadamu hatuna shukrani mada imeeleweka vizuri tupende kupeana moyo kwa kila jambo jema
 
Back
Top Bottom