Sigara Kali
JF-Expert Member
- May 28, 2017
- 3,623
- 8,428
Kama mada inavyojieleza,
Mimi niko na mwanamke kwa miaka 5 sasa, tumezaa mtoto mmoja.Tunaishi mbalimbali kiasi, yani mikoa jirani.
Wiki iliyopita huyu mwenzangu alikuja kwangu siku moja akakuta simu naandika meseji nikaiacha nikaenda nje, akaanza kusoma akakutana na msg flani ya mahaba nliyokua nimemwandikia huyo msichana.
Kiukweli yule msichana sio wangu na wala sijawahi kutokana nae ila chating yetu sometimes inakua ya mapenzi mapenzi, mama mtoto akanimind sana nikamwelekeza a-z na kumwomba samahani yakaisha na akaenda kunishtakia kwa rafiki angu(shemeji ake) tukazungumza yakaisha
Nikiri kwamba nna frustration sana juu ya maisha sina mtu wa kunifariji so napendelea kuchat na watu mbalimbali hasa mabinti kiasi flani najiskia amani, sasa huyu mzazi mwenzangu naona hanaga muda na mimi.
Jana kaniita nikamcheki mtoto mgonjwa nikasafiri, Leo nimeacha simu yangu ndogo nakuta kaipekua na kufuma meseji ya kadhaa zenye kiashiria cha mapenzi, kanimind ikabidi nimwambie ampigie huyo dada wakaongea mbele yangu dada akakataa kuwa hana mahusiano na mimi.
Lakini mwenzangu hadi sasa kanuna ameniambia kama vipi tushindane eti na yeye atatafuta wanaume, mimi nikamwambia siko hivyo anavyonifikiria nachat na watu story hizi kupata faraja tu na si wasichana zangu.
Nahisi hadi sasa hakuna maelewano, nimejaribu kumshika kanikataza na kahama chumba mida hii kaenda kupumzika chumbani kwa housegal na asubuhi kaniambia kama vipi niondoke nyumbani kwake.
Nifanyaje aweze nielewa huyu mwanamke jamani?