Kakuta meseji za msichana mwingine nahisi mapenzi yanakufa

Tatizo liko wapi?

We endelea kutafuta faraja....maana sio mademu wako

Wacha na yeye atafute faraja....maana watakuwa sio mamen wake
 
una umri gani?
Swali gani sasa hilo?

Umri unahusu nininsasa katika mambo ya wanaume?

Au umesahau Bill clinton wakati anamkula monica lewinsky tena ndani ya state white house ya ikulu alikuwa na umri zaidi ya 60yrs?

Acha maswali yako hayo bana hasa kwa wanaume...

ukiwa na jinsia ya kiume umri hauna nafasi...hata utaifa hauna nafasi...hata rangi/ race haina nafasi...

hapa kinachohusika ni dushelele na matimizi yake ya mara kwa mara kwa jinsia mbadala FULL STOP.
 
Mkuu soma thread vizuri hakuna mahali niliposema nalishwa Mimi naishi kwangu na napambana na maisha yangu ila Jana jioni ghafla akanipigia simu niende kwake mtoto anaumwa so nikasafiri kwenda kumchek dogo ndo yakaibuka haya,sasa wapi nimezungumzia kwamba ananilisha au unapayuka payuka ka gari bovu
Mkuu basi msamehe amesahau kuwa una frustration zako huyo.....
 
Usijaribu kumbembeleza kama kampigia huyo demu na akakanusha anataka nini tena, we undoka hapo tena kwa ukali na usijaribu kumpigia kama anakupenda lazima akutafute ..... Katka maisha yko usiwe unalialia kwa demu hata kama unakosa atakudharau
 
Kama mada inavyojieleza

Mimi Niko na mwanamke kwa miaka 5 sasa ,tumezaa mtoto mmoja

Tunaishi mbalimbali kiasi,yani mikoa Jirani
Wiki iliyopita huyu mwenzangu alikuja kwangu siku moja akakuta simu naandika msg nkaiacha nkaenda nje ,akaanza kusoma akakutana na msg flani ya mahaba nliyokua nimemwandikia huyo demu,kiukweli yule demu sio wangu na wala sijawahi kutokana nae ila chating yetu sometimes inakua ya mapenzi mapenzi,mama mtoto akanimind sana nikamwelekeza a-z na kumwomba samahani yakaisha ,na akaenda kunishtakia kwa rafiki angu(Shemeji ake) tukazungumza yakaisha

Nikiri kwamba nna frustration sana juu ya maisha sina mtu wa kunifariji so napendelea kuchat na watu mbalimbali hasa mabinti kiasi flani najiskia amani,sasa huyu mzazi mzazi mwenzangu naona hanaga muda na mm.

Jana kaniita nkamchek mtoto mgonjwa nkasafiri ,Leo nimeacha simu yangu ndogo nakuta kaipekua na kufuma msg ya kadhaa zenye kiashiria cha mapenzi ,kanimind ikabidi nimwambie ampigie huyo Dada wakaongea mbele yangu Dada akakataa kuwa hana mahusiano na Mimi

Lakini mwenzangu hadi sasa kanuna ameniambia kama vipi tushindane eti na yeye atatafuta wanaume,mi nikamwambia siko hivyo anavyonifikiria nachat na watu story hizi kupata faraja tu na si mademu zangu,nahisi hadi sasa hakuna maelewano,nimejaribu kumshika kanikataza na kahama chumba mida hii kaenda kupumzika chumbani kwa housegal
Na asubuhi kaniambia kama vipi niondoke nyumbani kwake .

Nifanyaje aweze nielewa huyu mwanamke jamanii.??

Kama mke wako yupo chini ya miaka 13, na ni mjinga sana ndio ataweza kuelewa huu utetezi wako wa kitoto, ukiamua kuoa umachagua maisha, umechagua ustaarabu, umeamu kuwa na mwanamke mmoja, in good and bad time, kama unapata faraji kwingine na kumsababishia maumivu, unatakata yeye afanyaje? kwa huu utetezi ustahili kuwa na mke
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom