Kakonko, Kigoma: Viongozi wa BAWACHA Taifa Wakamatwa, Wafikishwa Mahakamani

Viongozi hao akiwemo Mwenyekiti wa Bawacha Taifa Sharrifa Suleyman , wamekamatwa kwenye kikao cha ndani kwa tuhuma nzito ZA KUFANYA KIKAO SIKU YA KUMBUKUMBU YA UHURU WA TANGANYIKA , Viongozi hao wapo Mkoani Kigoma kwa ajili ya usajili wa Chadema Digital .

Wamewekwa Selo , na Watafikishwa Mahakamani hivi karibuni , bali bado hatujafahamu sheria waliyoivunja .
Nchi huru yenye watu wasiyo huru. Amazing!
 
Viongozi_na_wafuasi_wa_Chadema_zaidi_ya_50_wa_Jimbo_la_Buyungu_mkoani_Kigoma%2C_wamefikishwa_m...jpg
 
Rule of law !! tupo nyuma saaana - na mbaya zaidi viongozi wetu ni mambumbu wa kujua JD zao mamlaka na mipaka yao ya kazi, sheria za nchi na katiba inasemaje katika vipengele hivyo.
Sasa kufikiri tunaweza kupata maendeleo kwa scenario kama hizi ni ndoto.

Kwa tafasiri ya haraka hapa ni kwamba viongozi wa serikali walitaka sisi watanzania wote mil 60+ tukae kwenye TV zetu tuli jana kuangalia ndege za kivita, gwaride na halaiki.
 
kuna wakati huwa busara tu inahitajika.....ujuaji hauna maana, matokeo yake ni kutafuta huruma.... Katika hali hii unawezaje kuwa mbadala wa CCM sasa...
 
Back
Top Bottom