PureView zeiss
JF-Expert Member
- Sep 5, 2016
- 9,076
- 29,807
Huyu mzee atakuwa ANARUKA usiku
Hata kama lakini huyo mzee akae pembeni awapishe damu changa ishike uwakilishi,amekuwa mbumge waziri miaka mingi leo unakuja kukomaa kutaka ubunge tena kwenya uchaguzi mdogo NI FEDHEHA KWAKE!Ccm wanawaogopa vijana maana wanajua wengi wao wamejitambua na hawapo tayari kuwa mbunge ndiyo ndiyo
Kama ameshindwa kufahamu kanuni rahisi ya Muumba wake kwamba kadri umri unavyosogea nguvu ya akili na mwili inapungua pia hata huo uzee wa kanisa hakupaswa kuwa nao..kazi ya ubunge kwa sasa inahitaji vijana, lakini pia hana shukurani hata kwa Muumba wake..wakati alipewa nafasi kuwatumikia wanachi hadi kuwa waziri yeye anaona haikutosha tu? nini ambacho hakufanya wakati huo na anataka afanye sasa..ni vzr sana kuridhika na kufahamu kwamba Mungu hajaumba superman..ajue wapo wenye uwezo kuzidi yeye awape nafasi hao..Naona Mnamshambulia sana Huyu Mzee.. ila Pamoja na Kuwa Yupo CCM ni Mcha Mungu kweli na Mimi binafsi nafahamiana nae kwa Zaidi ya Miaka 20 Akiwa Moshi,Pasua na Cheo cha Mzee wa Kanisa "HANA NJAA"..Tatizo amechagua Kuwatumikia Wananchi kupitia CCM ambayo hata Mimi Binafsi siipendi..
CCM ni genge baya sana Linachafua sana Majina na Heshima za Watu..
Umri sidhani kama umewahi kuwa kikwazo cha Maendeleo Tz..Hata hao Vijana Kama Makonda na Mwenzake Wa Arusha Sijaona utendaji zaidi ya Kujikomba kwa Aliyewateua..Inawezekana Alipata Vikwazo awamu ya nne kutokana na Mfumo..Kama ameshindwa kufahamu kanuni rahisi ya Muumba wake kwamba kadri umri unavyosogea nguvu ya akili na mwili inapungua pia hata huo uzee wa kanisa hakupaswa kuwa nao..kazi ya ubunge kwa sasa inahitaji vijana, lakini pia hana shukurani hata kwa Muumba wake..wakati alipewa nafasi kuwatumikia wanachi hadi kuwa waziri yeye anaona haikutosha tu? nini ambacho hakufanya wakati huo na anataka afanye sasa..ni vzr sana kuridhika na kufahamu kwamba Mungu hajaumba superman..ajue wapo wenye uwezo kuzidi yeye awape nafasi hao..
Kweli kabisa kama mtaji anao kwann asionyeshe mfano kwa kujiajiri kwanza anakimbilia siasa.na itakuwa ni moja ya sera yake, pumbavu sana mtu alisha kuwa waziri, ni injinia ana connection kibao kamw mtaji anao ila kujiajili hawezi anatutaka vijana ndo tujiajili
Mfumo hauwezi kuwa tatizo kwa mtu mwenye akili..hata kama ni hivyo ilitosha fursa aliyoipata kufanya yale Mungu alimpa kutumikia watu, sasa hivi aachie wengine nao pia watoe kile wanacho kwa manufaa ya watu, na si kweli kwamba kutoa mchango wako ni hadi uwe mbunge..afanye vitu vingine akitumia uzoefu alioupata wakati akiwa kiongozi.Umri sidhani kama umewahi kuwa kikwazo cha Maendeleo Tz..Hata hao Vijana Kama Makonda na Mwenzake Wa Arusha Sijaona utendaji zaidi ya Kujikomba kwa Aliyewateua..Inawezekana Alipata Vikwazo awamu ya nne kutokana na Mfumo..
Ilkua Lazima Ashindwe awamu ile..