Kakobe yuko wapi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kakobe yuko wapi?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Kadogoo, Nov 7, 2010.

 1. K

  Kadogoo JF-Expert Member

  #1
  Nov 7, 2010
  Joined: Feb 26, 2007
  Messages: 2,072
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Huyu mchungaji kabla ya uchaguzi alikuwa mpiga debe mkubwa wa mgombea mmoja wa upinzani sasa sijui ameishia wapi!!
  Uchaguzi wa mwaka 2000 alimpigia debe lyatonga mrema, 2010 ni slaa, sasa sijui uchaguzi wa 2015 anajiandaa kumpigia nani!!!
   
 2. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #2
  Nov 7, 2010
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 26,827
  Likes Received: 10,128
  Trophy Points: 280
  Lini alisema anampigia kampeni mmoja wa wagombea??? wapi alitaja??? nilisikiliza hotuba zote mbili hakukua na sehemu yoyote aliyotaja fulani achaguliwe ni hisia mgando zenu tu!!! Kwanini tusiitaje radio Kheri gazeti la alhuda na vyombo vingine ambavyo viliandika na kutaja kwa wazi kabisa? Why Kakobe tu??? kwa hio hao wengine walikua na haki ya kuwapigia kampeni hao wagombea waliowataka wao??? hatutafika kwa mawazo mufilisi namna hii? afteraw, who is KAKOBE?
   
 3. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #3
  Nov 7, 2010
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 26,827
  Likes Received: 10,128
  Trophy Points: 280
  Lini alisema kua alikua msemaji mkuu?? kama ndo unaanza kujifunza kutuma post zako hebu kaa ufikirie before
   
 4. pmwasyoke

  pmwasyoke JF-Expert Member

  #4
  Nov 7, 2010
  Joined: May 27, 2010
  Messages: 3,584
  Likes Received: 189
  Trophy Points: 160
  Mtafute Mwenge kwenye kanisa lake
   
 5. K

  Kadogoo JF-Expert Member

  #5
  Nov 7, 2010
  Joined: Feb 26, 2007
  Messages: 2,072
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  mbona umekasirika? mimi ninauliza tu, bila jazba na hasira ungenijibu au kunyamaza! sasa sijui nini kimekukasirisha au ni majeraha ya uchaguzi? sio mimi ni wa tz ndio walioamua! sasa tusahau yaliyopita tujenge nchi yetu!!
   
 6. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #6
  Nov 7, 2010
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,296
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Alipokuwa anatoa elimu ya uraia na kuanika ukweli ndo mnataka mumuassociate na mmoja wa wagombea as if aliwai mtaja
   
 7. AcinonyxJubatus

  AcinonyxJubatus Senior Member

  #7
  Nov 7, 2010
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 126
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Tanzania Kwanza acha kuleta hoja thaifu hapa. Mch. Kakobe ni mtu wa kuelimisha jamii na ana haki ya kuwaonyesha njia waumini wake kwa yale yote yanayowahusu hata hili la kisiasa. upo hapo?
   
 8. JIULIZE KWANZA

  JIULIZE KWANZA JF-Expert Member

  #8
  Nov 7, 2010
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 2,573
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mamuluki wewe wacha kusumbua PHD za watu kisa tumbo lako Mtaliwa hata rasa mwaka huu ili mjulikane mko mrengo wake...fisi wa ahadi nyie
   
 9. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #9
  Nov 7, 2010
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 26,827
  Likes Received: 10,128
  Trophy Points: 280
  Lini alisema kua alikua msemaji mkuu?? kama ndo unaanza kujifunza kutuma post zako hebu kaa ufikirie before
   
 10. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #10
  Nov 7, 2010
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 26,827
  Likes Received: 10,128
  Trophy Points: 280
  TZ kwanza, samahani mpwa kama unaona nimejibu kwa jazba, nadhani ilikua nature ya topic yenyewe, tuko pamoja sana mpwa lazma jamvi lichangamke, asante kwa hoja nzuri isiyo na mashiko lakini mpwa unazionaje ahadi za huyu jamaa yako, zinatekelezeka kweli? nakumbuka aliuliza ahadi ngapi kaahidi akajibu kuwa hakumbuki, sasa atatekelezaje ahadi asizozijua ba kuzikumbuka?
   
 11. Kiby

  Kiby JF-Expert Member

  #11
  Nov 7, 2010
  Joined: Nov 16, 2009
  Messages: 5,209
  Likes Received: 1,010
  Trophy Points: 280
  Leo hii kasalisha kanisani kwake mwenge. Umeenda pale ukamkosa? Au labda humfahamu.
   
 12. K

  Kadogoo JF-Expert Member

  #12
  Nov 7, 2010
  Joined: Feb 26, 2007
  Messages: 2,072
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  nadhani atakumbushwa na wale walioahidiwa ikiwa atasahau hizo ahadi ila sina uhakika kama chama chenu kitaweza kuwasomesha bure watoto na kupunguza bei ya cementi ktk miji ambayo chama chenu kitaongoza serikali za mitaa maana mtakusanya kodi ktk manispaa zenu!
   
 13. Kaa la Moto

  Kaa la Moto JF-Expert Member

  #13
  Nov 7, 2010
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 7,666
  Likes Received: 166
  Trophy Points: 160
  Pumba, next?
   
 14. Kaa la Moto

  Kaa la Moto JF-Expert Member

  #14
  Nov 7, 2010
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 7,666
  Likes Received: 166
  Trophy Points: 160
  filthy
   
 15. K

  Kadogoo JF-Expert Member

  #15
  Nov 7, 2010
  Joined: Feb 26, 2007
  Messages: 2,072
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  mimi nilikuwa nangojea tahmini yake baada ya uchaguzi kwani aliwaelimisha waumini wake ni nani anaefaa kuchaguliwa na kufanya ibada maalum ya uchaguzi, sasa angetufanyia haki kutathmini huu uchaguzi aidha atuambie kama huyu aliechaguliwa ni kiongozi bora au sio mteule wa mungu? Lakini akinyamaza na kuanza ibada zake kimya kimya atatuchanganya!!!
   
 16. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #16
  Nov 7, 2010
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 26,827
  Likes Received: 10,128
  Trophy Points: 280
  Hebu tumuache KAKOBE tuangalie yale magazeti na radio zenu zilizompigia debe huyo alilazimisha ushindi, wao watapata nini?
   
 17. Anyisile Obheli

  Anyisile Obheli JF-Expert Member

  #17
  Nov 7, 2010
  Joined: Dec 13, 2009
  Messages: 3,304
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  wewe sasa ni mzushi au ndiyo ile umbea sunnah ya mtume?
   
 18. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #18
  Nov 7, 2010
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 26,827
  Likes Received: 10,128
  Trophy Points: 280
  Hebu tumuache KAKOBE tuangalie yale magazeti na radio zenu zilizompigia debe huyo alilazimisha ushindi, wao watapata nini?

  wee TZ KWANZA, hatuwezi kutoa elimu bure kwa nini? hakuna kisichowezekana ila tulifundishwa na kulazimishwa kuamini kuwa HAIWEZEKANI kuwa hivyo!! kama wewe ni msomaji wa literature ungekubaliana nami kuwa muda una maamuzi yake, ukifika hakuna wa kuupinga!!!
   
 19. K

  Kadogoo JF-Expert Member

  #19
  Nov 7, 2010
  Joined: Feb 26, 2007
  Messages: 2,072
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
   
 20. m

  matawi JF-Expert Member

  #20
  Nov 7, 2010
  Joined: Mar 29, 2010
  Messages: 2,055
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Kwani bei cement haimuumizi Kakobe wanapojenga kanisa??? kwani Kakobe hasomeshi watoto? waumini wake hawaumii na hali ngumu ya maisha?
   
Loading...