Kakobe: Siku tatu za kuburudishwa

JPN

Senior Member
Jul 28, 2013
119
42
Siku Tatu za Kuburudishwa
attachment.php

attachment.php
 

Attachments

  • 1435501152629.jpg
    1435501152629.jpg
    40.5 KB · Views: 3,139
  • 1435501167076.jpg
    1435501167076.jpg
    43.9 KB · Views: 3,079
ijumaa,jmosi na jpili kunywa beer za kutosha then utakuwa umeburudika
 
Kakobe halinganishwi na shehe au padri yoyote laiti ungekaa ktk mafundisho ungeshuhudia ukuu wa Mungu kupitia mtumishi wake
 
....I wish/planning to be there aisee ngoja nijipange nije ......
 
Kakobe halinganishwi na shehe au padri yoyote laiti ungekaa ktk mafundisho ungeshuhudia ukuu wa Mungu kupitia mtumishi wake

Mwanadamu hawezi kutwaa utukufu wa mungu. Aweza kuwa na maarifa tuu.lakini mungu ni yuleyule kila mahali.achaneni na ibada za kuabudu wanadamu.
 
Kama siyo kwamba sijakuelewa, basi hujielewi.

Kama ndivyo, naomba useme:-

Ni wapi Kakobe amechukua au amesema anahitaji kupewa Utukufu badala ya Mungu??

Pili, wapi umeona Kakobe anaabudiwa au anaonyesha hitaji la kuabudiwa? Kwanza aabudiwe ili apate nini au awe nini?

Tatu, ninakushauri ujifunze Maandiko Matakatifu ili upate Maarifa kuliko hivi unavokwenda na mapokeo ya kusikia na kudaka daka tafsiri kwa utashi unaoongozwa na kukosa ufahamu wa Kimungu ambao haukupeleki mwisho salama.

Unahitaji kumjua Mungu kuliko kupigana na watu wakati huna nguvu wala ufahamu sahihi kiasi kwamba mwisho wa siku utajikuta wewe unakuwa adui wa Mungu na watu, au ukajikuta unaangamia pasipo msaada.

Mwanadamu hawezi kutwaa utukufu wa mungu. Aweza kuwa na maarifa tuu.lakini mungu ni yuleyule kila mahali.achaneni na ibada za kuabudu wanadamu.
 
kiongozi wa kanisa la FULL GOSPEL BIBLE FELLOWSHIP (FGBF) KAKOBE anakukaribisha katika siku tatu za kuburudishwa kwa matendo makuu ya miujiza kuanzia tarehe 3/07/2015 mpaka 5/07/2015. Kama unasumbuliwa na magonjwa mbalimbali au matatizo ya aina yeyote njoo utapokea. PIA KAMA UNAKATA KUOKOKA UNAKARIBISHWA SANA. MAHALI ni kanisani barabara ya Sum njoma karibu na mlimani city kwa upande wa pili wa barabara, pia KAMA ULISIKIA KATOROKA HUU NI MUDA SASA WA KUJIDHIBITISHIA WEWE MWENYEWE. KARIBUNI SANA UJE UONE KWA MACHO YAKO MATENDO MAKUU YA MUNGU
 
Back
Top Bottom