Kakobe: Siku tatu za kuburudishwa

Kakobe halinganishwi na shehe au padri yoyote laiti ungekaa ktk mafundisho ungeshuhudia ukuu wa Mungu kupitia mtumishi wake
 
Mwanadamu hawezi kutwaa utukufu wa mungu. Aweza kuwa na maarifa tuu.lakini mungu ni yuleyule kila mahali.achaneni na ibada za kuabudu wanadamu.

Kaisari uelewa wako ni mdogo sana. Ni wapi Kakobe amelinganishwa na Mungu? Wewe unajua maana ya kumwabudu mwanadamu? Think before you leap.
 
ijumaa,jmosi na jpili kunywa beer za kutosha then utakuwa umeburudika

tangu umeanza unywa bia ni lini unakumbuka uliburudika kama si kupata majeraha yasiyo na sababu. Kumbuka biblia inasema msidanganyike walevi, waongo, waasherati, wazinzi na wenye dhambi wote hawataurithi ufalme wa Mungu. 1kor 6, ufunuo 21.
Tena Mungu kwake pombe ni matapishi na uchafu mbele zake. usifuate mkumbo, kumbuka nyakati za Luttu Sodoma na Gomora ziliangamizwa kwa moto na Mungu akawaacha watu watatu tu hata nyakati za Nuhu watu wote waliangamizwa kwa gharika isipokuwa Nuhu na watu 7.

usipotubu na kuacha uovu wako hakika yake utaangamia kama watu wale wa nyakati za Nuhu/luttu mithali 28.13
 
Back
Top Bottom