Kakobe mtumishi wa mungu au tapeli;waumini kuandikisha malizao ,mishahara,

Kwani hao waumini ,wamelazimishwa kujiunga na huyo kakobe au?
Wao ni binadam ambao bongo zao bado hazijaathirika...
Kama wanaona longolongo ,basi wajichenge....
 
Ila hata mimi nadoubt juu ya Askofu Kakobe,kwa nini haruhusu mtu mwingine yeyote kusumama madhebaun kwenye lile kanisa lake?coz utakuka akisafiri waumini wanahubiriwa na recorded kwenye tv?

mmmmmhhhhhh uko sure na hilo.????...au ndo story za street...... unajua kanisa lake lina matawi sehem nyingi bongo....na huko anacmama altare kila sunday mwenyewe.....
 
mbona mmemuandama baba wa watu kiasi hiki. Tusiwaongelee vibaya watumishi wa Mungu.
 
Huyo kakobe kajipa uaskofu, mie namuona ni kama nabii wa uongo tu, haya ndo haya makanisa yalianzia uko USA na kuzagaa Afrika, na hUko TZ sasa kuwa na kanisa kushakuwa deal lakuwaibia watu na kujisafisha kwa kujiita mchungaji.
 
....Hapana hayakuanzia USA, Tafuta Biblia soma matendo ya mitume yote utaona, na pia utaona ni jinsi gani mapokeo na dini vilivyobadili mwelekeo wa kanisa la kristo.Kanisa ni ushirika katika roho na mwili, ni zaidi ya jengo.Sikatai wako watumishi ambao wanaanzisha makanisa kwa ajili ya kujipatia riziki(kipato), lakini ili kanisa liweze kusimama unahitaji sana mungu afanye kazi.Kuna watu wengi wameanzisha makanisa, lakini yale yaliyo na uchaji wa mungu usimama, na mengineyo yanapotea kiaina, maana mungu yuko kazini kusimamia kazi yake.
Unahitaji kuwa kanisani ili ujue nini kinafanyika katika makanisa yetu.
Nimekuwa katika makanisa haya ya Kiroho kwa muda mrefu sasa, na nimekuwa Mhasibu wa kanisa tena katika moja ya makanisa makubwa yaliyoko mwenge pale. Ukweli ni kwamba kuna uwazi sana katika matumizi ya pesa.Sadaka zinatoka kanisani, kamati ya fedha inasimamia kwa kuzihesabu.Baada ya kuhesabu tunapanga matumizi,ya watenda kazi ,nauli ,posho na matumizi ya wachungaji na watendakazi, matumizi ya chakula kanisani kwa watendakazi na watu wanaokuja kwa ushauri. Kinachobaki kinaenda Benki.
Inapofika wakati wa kujenga ,iko kamati ya ujenzi.Inapanga na kusimamia kazi zote za ujenzi.
 
Kakobe ni design ya Kibwetere katika enzi hizi.Ni vigumu kakobe kuuona ufalme wa Mungu..ametumia imani za watu kujitajirisha isivyo kawaida...na kupta utajiri ambao utampa kisago siku ile ikifika.Mfano wa ngamia na tundu la sindano ndiyo huu.mfano mwimgine ni ule ambao bwana altamka kuwa kuwa watu watakaokuja kwa jina langu .............na watadanganya wengi.ole wao!
 
Dhehebu la kweli ni lipi mkuu, ebu tusaidie, maana yote yaliletwa kwa nyakati tofauti!
 
BAADA YA KUPITIA MAKALA NYINGI AGAINST THE KAKOBE & FULL GOSPEL NIMEKUJA NG'AMUA KUWA WALE WOTE WAFANYAYO HAYO NI......!
1.BACKSLIDERS.....! (waliorudi nyuma kiimani)
2.WALIOKIMBIWA NA WASHIRIKA WAO.....!
3.WATUMISHI WASIO NA UPAKO WALA NGUVU YA MUNGU...(hivyo ku-claim kuwa the guy is using DEMONIC POWERS TOWARDS MIRACLES
4.WAANDISHI WATAFUTAO UMAARUFU
5.WALIOOKOKA SABABU YA MASLAHI NA KUKUTA SIVYO....!
6.MAGAZETI YANAYOMILIKIWA NA MAFISADI

7 ET AL....!
 
Last edited:
Huyo kakobe kajipa uaskofu, mie namuona ni kama nabii wa uongo tu, haya ndo haya makanisa yalianzia uko USA na kuzagaa Afrika, na hUko TZ sasa kuwa na kanisa kushakuwa deal lakuwaibia watu na kujisafisha kwa kujiita mchungaji.
Nipe mstari wa biblia unaoelekeza namna askofu anavyopatikana....
Inaelekea umemezwa na itikadi za vatican ambapo wapo ktk kivuli cha ukristo lakini wanaabudu na kusujudia sanamu peupeeeee.
Ikomboe nafsi yako kwa kuisoma na kuielewa bibilia
 
sijui kwakweli,ila kakobe gets a lot of bad press.wanaojua ukweli watuambie. halafu mbona tukipita pale wanawake na watoto wamevaa viremba na suti za kijani ndefu mpaka chini.suspicious
 
sijui kwakweli,ila kakobe gets a lot of bad press.wanaojua ukweli watuambie. halafu mbona tukipita pale wanawake na watoto wamevaa viremba na suti za kijani ndefu mpaka chini.suspicious

kutokana na walivyohubiriwa mwanamke hatakiwi kuvaanguo za kuonyesha maungo yake wala mitindo ya dunia maana watakuwa wanamtukuza shetani ndo maana wanavaa suti, halafu wale ni wasimammizi wa kanisa au watenda kazi.
Halafu ukisoma kitabu cha Timotheo sikumbuki mstari nikikumbuka nitauleta wanawake wametakiwa wafunike vichwa vyao wakati wa kuabudu na wameambiwa wasisuke nywele. ndo maana huko kwa kakobe unaona hivyo.
 
mmmmmhhhh una hakika. haya. sitobishana kwani sifahamu
 
leo tunaambiwa kuorodhesha, kesho tutaambiwa kuzisalimisha. yaleyale ya DECI kama si Mr. kibwetere!!!
 
sijui kwakweli,ila kakobe gets a lot of bad press.wanaojua ukweli watuambie. halafu mbona tukipita pale wanawake na watoto wamevaa viremba na suti za kijani ndefu mpaka chini.suspicious
hayo mengine ushajibiwa mkuu
ila kuhusu suti za kijani inawezekana jamaa anapromoti mazingira ndo maana anawashawishi waumini wake wapige kitu rangi ya majani hivi! lol
 
SIO NA SISEMI AMINA.....!
BISHOP KAKOBE anabaki mtumishi wa MUNGU aliye juu.....! anaweza kuwa na mtazamo tofauti juu ya jambo fulani lakini bado anabaki GOD'S SERVANT.....!
kuorodhesha mali ni utapeli...? Mbona serikali inahitaji watumishi wake waorodheshe mali zao? je na huo ni utapeli au UTAWALA BORA...?
Anachofanya mtumishi wa MUNGU aliye hai ni KUWAEPUSHA WAUMINI NA DHAMBI YA ANANIA NA SA****....! au mimi ndo nasoma BIBLIA TOFAUTI NA YA WENGINE....?
WATU HAWA KATIKA BIBLIA WALIFICHA TAARIFA MUHIMU NA WOTE MAUTI ILIWAKUTA.....!
HALAFU BIBLIA KATIKA WARAKA WA YAKOBO INATUELEZA TUSIWE WEPESI WA KUNENA BALI TUWE WEPESI WA KUSIKIA.....!
TUANGALIE TUSIJEINGIA UPOTEVUNI KWA KUWA WASEMAJI.....!

SASA NASEMA BWANA YESU APEWE SIFAAAA.!
Msitumie Bible kufanya mambo Mungu anayashangaa...
Ndani mule kuna kikundi cha baba na hawa ndio wanafanya vitu hatuvielewi....
Hofu yawatu kupiga mzigo ni siri nyuma ya hii form najiuliza why wasijaze wale wapo karibu na Mh Askofu?
Pili kama kuandikisha mali ni Utaratibu Yesu angeanzisha ila Mungu hajawahi kufanya jambo kama hili....
Anania walificha kitu ambacho kwa wakati ule walibidi kufa na nikwasababu palikuwa na shughuli maalum na haijatokea tena...
 
kuna mijitu mizuzu *****.... MTU anapgwa noti bado anakomaa kutetea tu.

asharogwa uyo dadek.
pesa zenu watu wanalia bakta tu
 
Back
Top Bottom