Kakobe: "Mimi ni mbishi lakini Rais Magufuli nimemkubali kuwa anaweza" Hizi ni salamu za mwaka mpya kwa Chadema!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,598
141,415
Daudi Mchambuzi ( Injinia) soma hiyooooooo!

Kama Askofu Kakobe amemkubali rasmi Rais Magufuli, na kwa kuwa Kakobe huwa anashiriki vikao vya kamati kuu ya Chadema kama mjumbe " mualikwa" .......nyie kina Daudi Mchambuzi ni nani hata muendelee kubisha bisha.?!!

Niishie hapo
Maendeleo hayana vyama!
 
Who is Kakobe anyway! Huyu ni victim wa URAIA, he is under terror, full of fear, (kama alivyosema Mdee kuwa magufuli amefanikiwa kuwajaza watu hofu-kwa kuwaua, kuwatishia uraia, kuwateka , TRA na kodi hasi, etc, Kakobe is saling in the same boat of fear, ( and already has been intimidated), intimidation and the like, what do you expect of him?
 
Hahahaa......salamu zimewafikia!
 
Daudi Mchambuzi ( Injinia) soma hiyooooooo!

Kama Askofu Kakobe amemkubali rasmi Rais Magufuli, na kwa kuwa Kakobe huwa anashiriki vikao vya kamati kuu ya Chadema kama mjumbe " mualikwa" .......nyie kina Daudi Mchambuzi ni nani hata muendelee kubisha bisha.?!!

Niishie hapo
Maendeleo hayana vyama!
MBINU NZURI YA KUMSHINDA MPINZANI WAKO NI KUMPA SIFA AMBAZO HANA
 
Kwa hiyo leo kakobe amekuwa raia? au bado mna mashaka na uraia wake?
 
Maendeleo hayana chama mdomoni vitendo hakuna. Unahubiri amani mkono wa kushoto umeshika kitabu kitakatifu kulia umeshika panga halafu unatudanganya maendeleo hayana chama. Njoo uone huku kwetu umeme umeishia njiani kisa kijiji cha chetu hatukumpijia kura mheshimiwa sana
Daudi Mchambuzi ( Injinia) soma hiyooooooo!

Kama Askofu Kakobe amemkubali rasmi Rais Magufuli, na kwa kuwa Kakobe huwa anashiriki vikao vya kamati kuu ya Chadema kama mjumbe " mualikwa" .......nyie kina Daudi Mchambuzi ni nani hata muendelee kubisha bisha.?!!

Niishie hapo
Maendeleo hayana vyama!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ufipa vibishi sana.. Kwa CHADEMA maendeleo yana chama..!! Yaani sasa hivi watasema Kakobe kahongwa hawachelewi hawa wa support ufirauni ( ushoga ).. 2020 nasikia tetesi eti CDM hawataweka mgombea urais kwa kuhofia kugaragazwa vibaya sana na Mh. Rais JPM..!! Eti kikarume kina nia nia.. Ha haaaa kifirauni kitanaka kugombea? 👵🖕😜😂
 
Maendeleo hayana chama mdomoni vitendo hakuna. Unahubiri amani mkono wa kushoto umeshika kitabu kitakatifu kulia umeshika panga halafu unatudanganya maendeleo hayana chama. Njoo uone huku kwetu umeme umeishia njiani kisa kijiji cha chetu hatukumpijia kura mheshimiwa sana

Sent using Jamii Forums mobile app
Baada ya Biblia kutekwa na Warumi ndugu zetu waislamu hawakutaka kurudia makosa yetu wao wanakilinda Kitabu chao kwa upanga nami Johnthebaptist nawapongeza sana kwa hilo!
 
Back
Top Bottom