Kakobe: Hatuchagui malaika bali Rais; afuta Ibada za FGBF siku ya uchaguzi

nilisikia pia habari za huyu mtume venon wa atn alipokuwa bukoba just two weeks ago akiendesha semina, aliishukia serikali wazi wazi mbele ya mkuu wa wilaya ya bukoba ambaye alikuwa amekaribishwa kufungua semina hiyo, kuwa ufisadi na ubinafsi wa viongozi wote wa kiserikali umesababisha ufukara na umaskini mkubwa kwa watanzania, maana kote alikopita ameona kwa masikitiko watanzania walivyo katika ufukara mkubwa na wa ajabu.

Hata yeye hakusita kutoa rai kwa wachungaji na wakristo waliokuwa wamehudhuria semina hiyo kuwa, waiadhibu serikali hii ya ccm kwa kumchagua dr slaa maana ameonyesha anahitaji kusaidia wanyonge. Alitetea sana hoja ya kutoa elimu na afya bure akichambua uchumi wa nchi unavyopotea kifisadi katika mali asili n.k. Aliwashangaa ccm kwa kusema kuwa haiwezekani wakati mapato yanayopotea katika maliasili zetu ni makubwa sana.

Alieleza jinsi nchi ambavyo pia imeanza kuonyesha ubaguzi wa wazi hata katika masuala ya dini kwa kuwanyima wakristo viwanja vya kujengea makanisa na shughuli nyingine za kijamii huku wakipewa waarabu na wahindi viwanja hivyo hivyo. Alitoa mifano mingi jinsi anavyokutana na vikwazo vingi katika kupata viwanja lakini baada ya muda mfupi ukuta viwanja hivyo hivyo vikiwa katika umiliki wa waarabu.

Aliwashangaa viongozi wengine wa kikristo kwa uoga wa kutoweza kusema ukweli hadharani wakati ni haki yao kusema ukweli wanapoona nchi inakwenda kombo. Aliwashauri waseme wazi wazi mbele ya waumini wao yale wanayoona hayafai, na kusisitiza kuwa hata ikiwezekana wawashauri jinsi ya kupata viongozi bora badala ya kuwa waoga. Yeye binafsi alisema haogopi chochote wala mtu yeyote maana ni haki yake ya kikatiba. Kumbuka alikuwa akisema hivyo mbele ya mkuu wa wilaya.

Ilibidi mkuu wa wilaya aondoke kimya kimya bila hata kuaga maana aliona amewekwa kiti moto.

Napenda sana viongozi wa dini wa sampuli hii ya venon na kakobe. Tukiwa na viongozi wa aina hii mungu wetu atasimama kupigana kwa ajili ya nchi hii iliyobakwa na wezi.

Wito wangu kwa malaria sugu a.k.a njiwa a.k.a tandale one, ni huu, chagua dr wa kweli, dr slaa kuwa rais wa tano wa nchi hii.

uozo mtupu!!!!!!!!!!!!!
 
''Ngoja nikukague kama na wewe utarudi mjengoni au vipi.......''

03_10_74pyaf.jpg
 
nimesoma kwenye magazeti na sijaona sehemu yeyote palipoandikwa kwamba kakobe amemtaja dr slaa kama chaguo la kanisa lake, zaidi ya kusema suala la maisha binafsi lisichukuliwe kama msingi wa kumchagua rais.
 
Ningekuwa karibu ningemnong'oneza baba askofu awaambie pia.."kura zote na za vitegemezi vyenu kwa Daktari wa ukweli SILAHA"..
 
Amuunga mkono Dr Slaa kwa afya na elimu. Endorsement hizi mhimu sana

jaji mfalili
mch kakobe
polls zote ikiwemo ya synovate
marando
wengine waoga tu ila wame endorse kimya kimya list continues

Kakobe na Marando walimu-endorse Mrema mwaka 1995. Tena huyu mtume wa Mungu anayefanya miujiza ya Mungu pale Mwenge kila siku aliwaambiwa watu mwaka 1995 kuwa Mungu kamwambia kuwa Mrema ndiyo chaguo la Mungu. Kilichotokea 1995 hata wendawazimu wanafahamu sembuse hii nyumba ya "great thinkers"? Teh teh teh :becky:
 
Ningekuwa karibu ningemnong'oneza baba askofu awaambie pia.."kura zote na za vitegemezi vyenu kwa Daktari wa ukweli SILAHA"..

Matatizo ya kutokuingia kanisa muda mrefu. Mbona hayo yashasemwa siku nyingi sana sasa? :becky:
 
tunashuru sana mtumishi wa Mungu Askofu Kakobe. tunajua unaipenda Tanzania na unaiombea tunakuhakikishia kuwa kura zetu za urais in kwa Dr. slaa
 
Inashangaza sana kuona kuwa wapo vinara wa CHADEMA ambao wanashabikia kitendo cha kiongozi wa dhehebu lenye kufuata hisia kali za kidini kama Kakobe kumpigia debe mgombea wao.

• Hivi hamuoni kuwa watu kama hawa na ushabiki kama uliokuwepo hapa JF na kwengineko unawasukuma watanzania wa imani tofauti mikononi mwa CCM?
• Hivi hamuoni kuwa siasa kama hizi ndizo zinawafanya chama chenu kionekane kama ngome ya maslahi ya dini fulani katika mpambano dhidi ya maslahi ya dini fulani?
• Hivi mnadhani kuwa kura atakazozileta Kakobe kwa mgombea wenu zina thamani zaidi ya mustakabali wa Tanzania?
• Hivi mmeshawahi kukaa na kufikiria aina ya Tanzania tutakayokuwa nayo baada ya uchaguzi huu ambao mtakuwa mmehusika katika kukuza hisia za chuki na hofu za kidini zitumike mtaji wa ushindi wenu?
• Lakini zaidi mmejaribu kuangalia athari za kukumbatia siasa za aina hii hapo mbeleni endapo chama chenu kitashindwa kuchukua madaraka ya dola na kuendelea kuwa chama cha upinzani?
• Je, mko tayari kuishi na brand ya udini kama ya wenzenu CUF ambao nao pia walifanya makosa kama yenu hapo mwanzo na kujikuta hapo walipo hivi sasa?
• Hivi mnadhani kuwa Tanzania iliyogawanyika katika misingi ya udini ama ukabila ina manufaa yoyote kwa mtanzania mnayejaribu kumpigania???
• Hivi mnadhani kuwa Tanzania itakayotokana na siasa hizi itakuwa salama kwenu hata kama mtaweza kupata hicho mnachokipigania sasa hivi hata kwa gharama ya kuruhusu mgawanyiko wa kijamii na zaidi wa kitaifa???

Na maswali haya pia yanawahusu wale wa vyama vingine pia ambavyo navyo vinaendeleza ama kukumbatia siasa mufilisi kama hizi.....

omarilyas
 
• Hivi hamuaoni kuwa watu kama hawa na ushabiki kama uliokuwepo hapa JF na kwengineko unawasukuma watanzania wa imani tofauti mikononi mwa CCM?
• Hivi hamuoni kuwa siasa kama hizi ndizo zinawafanya chama chenu kionekane kama ngome ya maslahi ya dini fulani katika mpambano dhidi ya maslahi ya dini fulani?
• Hivi mnadhani kuwa kura atakazozileta Kakobe kwa mgombea wenu zina thamani zaidi ya mustakabali wa Tanzania?
• Hivi mmeshawahi kukaa na kufikiria aina ya Tanzania tutakayokuwa nayo baada ya uchaguzi huu ambao mtakuwa mmehusika katika kukuza hisia za chuki na hofu za kidini zitumike mtaji wa ushindi wenu?
• Lakini zaidi mmejaribu kuangalia athari za kukumbatia siasa za aina hii hapo mbeleni endapo chama chenu kitashindwa kuchukua madaraka ya dola na kuendelea kuwa chama cha upinzani?
• Je, mko tayari kuishi na brand ya udini kama ya wenzenu CUF ambao nao pia walifanya makosa kama yenu hapo mwanzo na kujikuta hapo walipo hivi sasa?
• Hivi mnadhani kuwa Tanzania iliyogawanyika katika misingi ya udini ama ukabila ina manufaa yoyote kwa mtanzania mnayejaribu kumpigania???
• Hivi mnadhani kuwa Tanzania itakayotokana na siasa hizi takuwa salama kwenu hata kama mtaweza kupata hicho mnachokipigania sasa hivi hata kwa gharama ya kuruhusu mgawanyiko wa kijamii na zaidi wa kitaifa???

Na maswali haya pia yanawahusu wale wa vyama vingine pia ambavyo navyo vinaendeleza ama kukumbatia siasa mufilisi kama hizi.....

omarilyas
Shukrani Mkuu. Unajua unaweza kupita JF ukasoma comments kisha ukimaliza unaweza kuishia na kusema bora CCM. Kiuhalisia watu wengi hawaweki analysis ya maana. Kinachofanyika watu wamejijenga kwenye makundi ya kidini zaidi na wachache ndio wanaoweza kuanalyse issues. Hawa wengi wao ndio wanaojiita wasomi na wanachoweza kuchambua ni dini au kushabikia dini na si kukata issues.
Ukifikiria zaidi unaweza kujiaminisha kuwa labda ndio akili ya majoriy ipo hivyo. Na ukienda mbali zaidi, unaweza kuconclude kwamba inamaana baada ya uchaguzi huu akibadilishwa mgombea wa CCM nguvu ya CCM inerejea kwa baadhi ya watu na kwa wengine inaondoka. Hii inatokana na tathmini ya vitu basic saana.
Kwa ujumla safari ni ndefu saana. Tunahitaji kufika sehem tutakapokuwa na chama kinachoonekana kina itikadi huru kwa watu wa dini na kwa bahati mbaya zaidi CHADEMA wameshindwa ktk hili km wenzao CUF. Ndio maana kwa baadhi ya watu kuvote ni upuuzi.
 
Inashangaza sana kuona kuwa wapo vinara wa CHADEMA ambao wanashabikia kitendo cha kiongozi wa dhehebu lenye kufuata hisia kali za kidini kama Kakobe kumpigia debe mgombea wao.

• Hivi hamuoni kuwa watu kama hawa na ushabiki kama uliokuwepo hapa JF na kwengineko unawasukuma watanzania wa imani tofauti mikononi mwa CCM?
• Hivi hamuoni kuwa siasa kama hizi ndizo zinawafanya chama chenu kionekane kama ngome ya maslahi ya dini fulani katika mpambano dhidi ya maslahi ya dini fulani?
• Hivi mnadhani kuwa kura atakazozileta Kakobe kwa mgombea wenu zina thamani zaidi ya mustakabali wa Tanzania?
• Hivi mmeshawahi kukaa na kufikiria aina ya Tanzania tutakayokuwa nayo baada ya uchaguzi huu ambao mtakuwa mmehusika katika kukuza hisia za chuki na hofu za kidini zitumike mtaji wa ushindi wenu?
• Lakini zaidi mmejaribu kuangalia athari za kukumbatia siasa za aina hii hapo mbeleni endapo chama chenu kitashindwa kuchukua madaraka ya dola na kuendelea kuwa chama cha upinzani?
• Je, mko tayari kuishi na brand ya udini kama ya wenzenu CUF ambao nao pia walifanya makosa kama yenu hapo mwanzo na kujikuta hapo walipo hivi sasa?
• Hivi mnadhani kuwa Tanzania iliyogawanyika katika misingi ya udini ama ukabila ina manufaa yoyote kwa mtanzania mnayejaribu kumpigania???
• Hivi mnadhani kuwa Tanzania itakayotokana na siasa hizi itakuwa salama kwenu hata kama mtaweza kupata hicho mnachokipigania sasa hivi hata kwa gharama ya kuruhusu mgawanyiko wa kijamii na zaidi wa kitaifa???

Na maswali haya pia yanawahusu wale wa vyama vingine pia ambavyo navyo vinaendeleza ama kukumbatia siasa mufilisi kama hizi.....

omarilyas
The answer is very simple, watanzania wamechoka hawadanganyiki tena.
 
Shukrani Mkuu. Unajua unaweza kupita JF ukasoma comments kisha ukimaliza unaweza kuishia na kusema bora CCM. Kiuhalisia watu wengi hawaweki analysis ya maana. Kinachofanyika watu wamejijenga kwenye makundi ya kidini zaidi na wachache ndio wanaoweza kuanalyse issues. Hawa wengi wao ndio wanaojiita wasomi na wanachoweza kuchambua ni dini au kushabikia dini na si kukata issues.
Ukifikiria zaidi unaweza kujiaminisha kuwa labda ndio akili ya majoriy ipo hivyo. Na ukienda mbali zaidi, unaweza kuconclude kwamba inamaana baada ya uchaguzi huu akibadilishwa mgombea wa CCM nguvu ya CCM inerejea kwa baadhi ya watu na kwa wengine inaondoka. Hii inatokana na tathmini ya vitu basic saana.
Kwa ujumla safari ni ndefu saana. Tunahitaji kufika sehem tutakapokuwa na chama kinachoonekana kina itikadi huru kwa watu wa dini na kwa bahati mbaya zaidi CHADEMA wameshindwa ktk hili km wenzao CUF. Ndio maana kwa baadhi ya watu kuvote ni upuuzi.
Wewe unachekesha ina maana nyie mashabiki wa CCM ndio mnaweza kuanalyse issues zipi hizo za UFISADI au......
 
Na huko wanakofakamia nako hawadanganyiki pia????
Be precise pls ni wapi huko, hivi ni kosa gani Kakobe kafanya kuwapa uhuru waumini wake ku practice democracy au, the problem ya CCM wanafurahia kuona watu wakiendelea kubaki gizani kiasi kwamba mtu mmoja akijitokeza kuwaonyesha njia anakuwa kama adui yao.
 
Kawadanganye wengine huko kaka...mwenye akili kama wewe anajua nini Kakobe anaamuru na nani mgombea anayempendelea na kuasa wafuasi wake wampigie kura...No wonder nawe unashabikia hili ingawa wajua athari zake kwa mustakabali wa Taifa letu ambao unajaribu kuupigania....

Kakobe kama walivyo wenzake wengine wa upande mwengine wote ni sumu katika siasa za Tanzania.....Hakuna cha kuwaamsha watu ambao daima ana indoctrinate na kuwatumia atakavyo...

If he was for salvation of this country he wouldn't dare condoning and even justifying mambo ya ajabu ambayo ndio kiini cha viongozi hovyohovyo wasio na maadili na wala kuaminika...
 
Jamaa anamatatizo yule, akisahaulika anatafuta popularity faster, amekaa kibiashara zaidi....

Jaribu kumfahamu Kakobe zaidi kama Mtumishi, Kama binadamu atakuwa kama binadamu yeyote, Mwisho wa siku katika madhaifu yake muombee tu, Kuna mambo amabyo huwezi kuyajua katika ulimwengu wa Mwili(Halisi),Katika ulimwengu wa roho kuna mambo makubwa ambayo wachache wamebarikiwa kuyaona. Embu chunguza matamshi ya watumishi walioitwa kweli katika utumishi utapita kitu kidogo.
 
kawadanganye wengine huko kaka...mwenye akili kama wewe anajua nini kakobe anaamuru na nani mgombea anayempendelea na kuasa wafuasi wake wampigie kura...no wonder nawe unashabikia hili ingawa wajua athari zake kwa mustakabali wa taifa letu ambao unajaribu kuupigania....

Kakobe kama walivyo wenzake wengine wa upande mwengine wote ni sumu katika siasa za tanzania.....hakuna cha kuwaamsha watu ambao daima ana indoctrinate na kuwatumia atakavyo...

If he was for salvation of this country he wouldn't dare condoning and even justifying mambo ya ajabu ambayo ndio kiini cha viongozi hovyohovyo wasio na maadili na wala kuaminika...
2010 hatudanganyiki
 
Back
Top Bottom