Kakobe: Hatuchagui malaika bali Rais; afuta Ibada za FGBF siku ya uchaguzi

Ngoja twende Wizara ya Mambo ya Ndani tu-check kama ame-reniew usajili wa kanisa lake. Mwaka ule alipotishiwa usajili alijirekebisha, sasa anaanza chokochoko, ataipata.

Watu wamekwenda kwa Mungu, itakuwa Wizara ya Mambo ya Ndani. Huyo Masha mwenyewe hana imani na JK wenu.

Kakobe namfananisha na Yohana Mbatizaji.

Bado Masihi mwenyewe hajatoa tamko.

Tulieni. The time is now
 
I like this
 
Siasa kuzungumzwa Makanisani poa kabisa, misikitini ni "kuchanganya dini na siasa" fungeni makanisa yote tarehe 31 Oct lakini huyo Padri wenu Ikulu ataiona paa!

Heri wewe roho amekufunulia, Ikulu ataiona na ataapishwa na kuwa rais wa Tanzania
 
Ukidondosha chini 'karume yako/sarafu ya sh 200' siku ya j'pili, je hautaiokota? Jamani VIONGOZI NA MAMLAKA ANATOA MUNGU...UTATAMBUA KWA MATUNDA YAKE!
 
Wakristo wa kweli hawapigi kura, maana vita yao si ya nyama wala damu, wala si ya dunia hii.

.
Act 1:26 'wakapigia kura, kura ikamwangukia Mathiya naye akahesabiwa kuwa pamoja na mitume kumi na mmoja.
 
Amuunga mkono Dr Slaa kwa afya na elimu. Endorsement hizi mhimu sana

jaji mfalili
mch kakobe
polls zote ikiwemo ya synovate
marando
wengine waoga tu ila wame endorse kimya kimya list continues

Pia Kakobe amewaambia na wazushi hawa.....

Zachary Kakobe jana aliamua kutoa darasa la elimu ya urais kwa waumini wake na kuwataka kutompima mgombea kwa kuangalia matukio kwenye maisha yake ya ndoa. Lakini Kakobe aliwaambia waumini wake kuwa masuala kama hayo yameshawakumba viongozi wengi wa barani Afrika na Ulaya lakini waliongoza mataifa yao kwa ufanisi na kuwa na maendeleo hadi leo, akisema huo ni mfano wa kuigwa kwenye nchi zinazoendelea.
“Rais mstaafu wa Afrika Kusini, Nelson Mandela alikuwa na kashfa ya kuoa na kuacha na hadi sasa mke wake anayeishi naye ni wa tatu, lakini pamoja na kashfa hizo wananchi wake walimkabidhi nchi na amefanya maajabu na kuifanya nchi hiyo kuaminiwa na mataifa makubwa na hata kuwa mwenyeji wa Kombe la Dunia,” alisema Kakobe.
Mbali na huyo pia alimtaja rais wa sasa wa nchi hiyo, Jackobo Zuma kuwa alikumbwa na kashfa ya kumbaka mwanamke aliyekuwa na Ukimwi kabla ya uchaguzi, lakini wananchi hawakuangalia hayo na badala yake waliona kuwa ana kipaji cha uongozi wakamchagua.
Pia alimtaja rais wa Ufaransa, Nicolas Sarkozy aliyedai naye alikuwa na kashfa kuoa na kuacha na hata mke wake wa pili alikuwa mke wa mtu, lakini alioa na kuzaa naye mtoto mmoja halafu wakaachana na sasa mwanamke huyo ameolewa nchini Marekani.
Alisema pamoja na kashfa hizo wananchi wa nchi hizo hawakuangalia hayo na badala yake waliwachagua na kuwapa mamlaka ya kuwatumikia na wakafanya vizuri.

NA DR SLAA NAYE ATAFANYA VIZURI SANA AKIWA NA MAMAA JOSEPHINE TUMPE KURA ZETU BILA KINYONGO WAJAMENI....
 
Jamaa anamatatizo yule, akisahaulika anatafuta popularity faster, amekaa kibiashara zaidi....

Biashara? kwani ana share kwenye magazeti? Labda popularity! Lakini hata kama ana lengo hilo, alichofanya ni cha msingi sana. Siku zote tunalalamika kuwa WaTz wengi hawana ufahamu juu ya mambo ya elimu ya uraia na kwamba kwa ajili hiyo hawachukulii kwa uzito mkubwa mambo ya uchaguzi, leo Kakobe kafanya jambo jema kuwaelimisha na kuwasisitiza wakrito wake washiriki uchaguzi kikamilifu anarushiwa madongo. Ama kwa hakika watu wengine hawana shukrani. Au kwa kuwa ni Kakobe aliyefanya hivi? Kumbukeni mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni!
 
Watu wamekwenda kwa Mungu, itakuwa Wizara ya Mambo ya Ndani. Huyo Masha mwenyewe hana imani na JK wenu.

Kakobe namfananisha na Yohana Mbatizaji.

Bado Masihi mwenyewe hajatoa tamko.

Tulieni. The time is now

I do not like this! It sounds as the Voice of the Devil (Shaitani)!
 
Hivi si ni hawa maaskofu na makasisi waliotuambia kikwete ni chaguo la mungu? Au sio wao jamani? Mimi nashindwa kuwaelewa hawa wachungaji wetu!! Yaani mchungaji wa mungu anawashauri waumini tena ndani ya kanisa wampigie kura hata mzinzi ili mradi awe mchapakazi!!!!

Yaani kanisa limekosa mchapakazi ktk nchi yetu hii yenye watu milioni 40 ila linamuona mtuy mmoja tu ambae ni mzinzi ndio aje atuongoze!!! Kama viongozi wa dini wamefikia hatua hiyo ya kudharau maadili na kuamua kutuchagulia wazinzi ndio wawe marais wetu basi wa tz tutegemee serikali itakayo kuwa na viongozi wazinzi waliokufa kimaadili na matokeo yake ni kupata wabunge wazinzi na mwisho watapitisha sheria zote chafu zilizo kinyume na maadili yetu ya kiafrika na hata zilizo kinyume na maumbile ya kibinadamu!!!

Huyu kakobe amevuka mpaka na naishauri serikali yetu imfanyia uchunguzi wa haraka ili kubaini kama anahusika na kuwaharibu watoto wadogo ktk kanisa lake au kama ana uhusiano na mtandao wa wachungaji waliopatikana na kashfa za uzinzi huko marekani, na ulaya maana yeye mwenyewe amethibitisha kuwa wazinzi hawana makosa yoyote hata wanaweza kuwa viongozi wetu!!!

Hii ni kauli ya hatari sana tena ikitoka ktk mdomo wa mchungaji wa kondoo ndio kabisa!!! Ushauri wangu tena wa kutoka moyoni kwa waumini wa kakobe na wakiristo wote mpuuzeni huyu askofu maana amekufa kimaadili na sijui huko kanisani huwa anahubiri nini? Kakobe anataka kutugawa wa tz na kuleta chuki za kidini na kama wa kiristo wamefikia mpaka wana hamasishana ndani ya makanisa nani wampe kura zao basi wa tz kuna hatari inakuja huko mbele maana waislamu nao wakianza kuhamasishana ndani ya misikiti yao, basi huwenda vurugu za kidini zisiepukike ole wetu!!!!

Wana jf lazima mutumie bongo zenu na muache kauli za kishabiki na za kiitikadi badala ya kuweka maslahi ya nchi yetu mbele nyinyi ndio mmekuwa mstari wa mbele kuwaunga mkono akina kakobe na pengo badala ya kuwaepuka maana hawa viongozi wanataka kuleta fitina ktk nchi yetu, wao ni wachungaji tu wa kondoo na sio wanasiasa!! Kazi za siasa waachiwe vyama vilivyosajiliwa kisheria. Kama akina kakobe wanahamu na siasa si watoke ndani ya makanisa ili waanzishe vyama vyao au wajiunge na chama wakitakacho? Nani kawazuia?

Mwaka 1993 lyatonga mrema akiwa waziri wa mambo ya ndani alimuonya shehe maarufu wa msikiti wa mtoro marehemu shekh kassim bin jumaa asihubiri siasa msikitini na kama hataacha yeye mrema atakuja msikitini na kumvua joho lake na kumpiga magumi!!! Na kweli mrema alimpiga huyu shehe magumi(alimsweka jela na kumdhalilisha kimwili na kiakili mpaka shekh kassim alipoachiwa huru hakuwa tena mzima na hakuchukuwa muda akafariki)

sasa naishauri serikali yetu isifanye kama alivyofanya mrema bali hatua za haraka zichukuliwe kumdhibiti huyu mchungaji kwani akiachiliwa aendelee hivi mimi naamini atachochea na kusababisha machafuko ktk nchi yetu!!!
 
Kaka punguza ukali wa maneno niko chobingo NINASALI ROZALI YA MAMA BIKIRA MARIA

Suala la wakristo kushauriwa kusali Jumamosi ili Jumapili waende uchaguzini lililetwa humu JF lakini mkalipuuza kwa sababu aliyeandika ile article si askofu kama Kakobe.

Kakobe ni kiongozi wa kwanza wa dini kuukubali ushauri ule wa kusali Jumamosi.

Hebu tujikumbushe tulivyopuuza ushauri ule (Click Here)
 
Hivi si ni hawa maaskofu na makasisi waliotuambia kikwete ni chaguo la mungu? Au sio wao jamani? Mimi nashindwa kuwaelewa hawa wachungaji wetu!! Yaani mchungaji wa mungu anawashauri waumini tena ndani ya kanisa wampigie kura hata mzinzi ili mradi awe mchapakazi!!!!

Yaani kanisa limekosa mchapakazi ktk nchi yetu hii yenye watu milioni 40 ila linamuona mtuy mmoja tu ambae ni mzinzi ndio aje atuongoze!!! Kama viongozi wa dini wamefikia hatua hiyo ya kudharau maadili na kuamua kutuchagulia wazinzi ndio wawe marais wetu basi wa tz tutegemee serikali itakayo kuwa na viongozi wazinzi waliokufa kimaadili na matokeo yake ni kupata wabunge wazinzi na mwisho watapitisha sheria zote chafu zilizo kinyume na maadili yetu ya kiafrika na hata zilizo kinyume na maumbile ya kibinadamu!!!

Huyu kakobe amevuka mpaka na naishauri serikali yetu imfanyia uchunguzi wa haraka ili kubaini kama anahusika na kuwaharibu watoto wadogo ktk kanisa lake au kama ana uhusiano na mtandao wa wachungaji waliopatikana na kashfa za uzinzi huko marekani, na ulaya maana yeye mwenyewe amethibitisha kuwa wazinzi hawana makosa yoyote hata wanaweza kuwa viongozi wetu!!!

Hii ni kauli ya hatari sana tena ikitoka ktk mdomo wa mchungaji wa kondoo ndio kabisa!!! Ushauri wangu tena wa kutoka moyoni kwa waumini wa kakobe na wakiristo wote mpuuzeni huyu askofu maana amekufa kimaadili na sijui huko kanisani huwa anahubiri nini? Kakobe anataka kutugawa wa tz na kuleta chuki za kidini na kama wa kiristo wamefikia mpaka wana hamasishana ndani ya makanisa nani wampe kura zao basi wa tz kuna hatari inakuja huko mbele maana waislamu nao wakianza kuhamasishana ndani ya misikiti yao, basi huwenda vurugu za kidini zisiepukike ole wetu!!!!

Wana jf lazima mutumie bongo zenu na muache kauli za kishabiki na za kiitikadi badala ya kuweka maslahi ya nchi yetu mbele nyinyi ndio mmekuwa mstari wa mbele kuwaunga mkono akina kakobe na pengo badala ya kuwaepuka maana hawa viongozi wanataka kuleta fitina ktk nchi yetu, wao ni wachungaji tu wa kondoo na sio wanasiasa!! Kazi za siasa waachiwe vyama vilivyosajiliwa kisheria. Kama akina kakobe wanahamu na siasa si watoke ndani ya makanisa ili waanzishe vyama vyao au wajiunge na chama wakitakacho? Nani kawazuia?

Mwaka 1993 lyatonga mrema akiwa waziri wa mambo ya ndani alimuonya shehe maarufu wa msikiti wa mtoro marehemu shekh kassim bin jumaa asihubiri siasa msikitini na kama hataacha yeye mrema atakuja msikitini na kumvua joho lake na kumpiga magumi!!! Na kweli mrema alimpiga huyu shehe magumi(alimsweka jela na kumdhalilisha kimwili na kiakili mpaka shekh kassim alipoachiwa huru hakuwa tena mzima na hakuchukuwa muda akafariki)

sasa naishauri serikali yetu isifanye kama alivyofanya mrema bali hatua za haraka zichukuliwe kumdhibiti huyu mchungaji kwani akiachiliwa aendelee hivi mimi naamini atachochea na kusababisha machafuko ktk nchi yetu!!!
Post ndefu lakini hakuna substantial ndani ni majungu tu.
 
Takataka tupu hizi umeandika hapa.
 
Binafsi nakubaliana na kuomba madhehebu mengine pia wafanye kama Kakobe. After all we have nothing to loose kwa kutokwenda kanisani jumapili hiyo moja bali ikachaguliwa siku nyingine ya kuabudu.

Najua wengi wanasema kuna muda wa kutosha lakini sijui kama watu wanafikili vizuri. Ukweli ni kwamba hata kati ya waumini wa kikristo wako ambao watakuwa mawakala wa vyama na wasimamizi wa uchaguzi siku hiyo. Kwa hiyo basi ni vema kukawa na special mapumziko ili watu wajishughulishe na uchaguzi kikweli. Yaani wapate muda wakusimamia kura, kuwa mawakala n.k.

Bravo Kakobe. Nimependa sana maono na mapendekezo yako.

Wote tusisahau kutunza shahada zetu na kura zetu zote tunamrundikia Dr. Wilbrod Slaa
 
Nilisikia pia habari za huyu mtume Venon wa ATN alipokuwa Bukoba just two weeks ago akiendesha semina, aliishukia serikali wazi wazi mbele ya Mkuu wa wilaya ya Bukoba ambaye alikuwa amekaribishwa kufungua semina hiyo, kuwa ufisadi na ubinafsi wa viongozi wote wa kiserikali umesababisha ufukara na umaskini mkubwa kwa watanzania, maana kote alikopita ameona kwa masikitiko watanzania walivyo katika ufukara mkubwa na wa ajabu.

Hata yeye hakusita kutoa rai kwa wachungaji na wakristo waliokuwa wamehudhuria semina hiyo kuwa, waiadhibu serikali hii ya ccm kwa kumchagua Dr Slaa maana ameonyesha anahitaji kusaidia wanyonge. Alitetea sana hoja ya kutoa elimu na afya bure akichambua uchumi wa nchi unavyopotea kifisadi katika mali asili n.k. Aliwashangaa ccm kwa kusema kuwa haiwezekani wakati mapato yanayopotea katika maliasili zetu ni makubwa sana.

Alieleza jinsi nchi ambavyo pia imeanza kuonyesha ubaguzi wa wazi hata katika masuala ya dini kwa kuwanyima wakristo viwanja vya kujengea makanisa na shughuli nyingine za kijamii huku wakipewa waarabu na wahindi viwanja hivyo hivyo. Alitoa mifano mingi jinsi anavyokutana na vikwazo vingi katika kupata viwanja lakini baada ya muda mfupi ukuta viwanja hivyo hivyo vikiwa katika umiliki wa waarabu.

Aliwashangaa viongozi wengine wa Kikristo kwa uoga wa kutoweza kusema ukweli hadharani wakati ni haki yao kusema ukweli wanapoona nchi inakwenda kombo. Aliwashauri waseme wazi wazi mbele ya waumini wao yale wanayoona hayafai, na kusisitiza kuwa hata ikiwezekana wawashauri jinsi ya kupata viongozi bora badala ya kuwa waoga. Yeye binafsi alisema haogopi chochote wala mtu yeyote maana ni haki yake ya kikatiba. Kumbuka alikuwa akisema hivyo mbele ya mkuu wa wilaya.

Ilibidi mkuu wa wilaya aondoke kimya kimya bila hata kuaga maana aliona amewekwa kiti moto.

Napenda sana viongozi wa dini wa sampuli hii ya Venon na Kakobe. Tukiwa na viongozi wa aina hii Mungu wetu atasimama kupigana kwa ajili ya nchi hii iliyobakwa na wezi.

Wito wangu kwa Malaria sugu a.k.a njiwa a.k.a tandale one, ni huu, Chagua Dr wa kweli, Dr Slaa kuwa rais wa tano wa nchi hii.
 
Kwa upande wa waumini tumetatua tatizo moja la kura. Bado la kura za wana udsm ambazo zaweza fikia elf 5 hivi
 
mwaka 2000 licha ya lipumba kuwa na nguvu na mrema kuonekana hohe hae, yaani hana uungwaji mono mkubwa , kakobe alijitokeza kumnadi Mrema eti kwa sababu akitaka mabadiliko huku akiamini kwamba Tlp ilikuwa haina nguvu. kama kweli akitaka mabadilko kwanini asimuunge mkono lipumba wakati huo kuiondosha ccm?
jee kujitokeza tena kumuunga mkono dk slaa kwa madai ya elimu bure na matibabu bure huku ahadi kama hiyo ikitolewa na lipumba ya elimu bure tena hadi chuo kiku na afya bure

Watanzania wa mwaka 2010 siyo sawa na Watanzania wa mwaka 2000
 
Back
Top Bottom