Kakobe: Hatuchagui malaika bali Rais; afuta Ibada za FGBF siku ya uchaguzi

Luteni

JF-Expert Member
Jan 9, 2010
2,274
301
Nadhani kuna watu wanafurahi Wakristo wengi wasipige kura, safari hii tumefanya juhudi nyingi; lakini NEC imeng'ang'ania, na hatuwezi kuacha kwenda kupiga kura kwani tunaweza kuchaguliwa kiongozi asiyefaa tukajutia kwa miaka mitano.

"Hivyo natangaza rasmi siku hiyo ya uchaguzi hakutakuwa na ibada katika makanisa yote ya FGBF, milango ya makanisa hayo siku hiyo ifungwe na ibada ya siku hiyo ifanyike siku ya Jumamosi," alisema askofu huyo.
 
Kakobe ananikumbusha kasheshe lake na Tanesco sijui haya ndiyo maandalizi ya kumalizia hasira au anataka kuwapa uhuru zaidi waumini wake sintojua.
 
if this is true then am happy.
 
Kakobe ananikumbusha kasheshe lake na Tanesco sijui haya ndiyo maandalizi ya kumalizia hasira au anataka kuwapa uhuru zaidi waumini wake sintojua.

Jamaa anamatatizo yule, akisahaulika anatafuta popularity faster, amekaa kibiashara zaidi....
 
Siamini kama hili ni swala la kutafuta umaarufu. alichokifanya ni sahihi sababu waumini wa makanisa yake wataamka wakijua siku hiyo kazi ni moja tu ya kupiga kura. kuliko wangetakiwa kuchagua waanze kipi kati ya kwenda kanisani na kwenda kituoni kupiga kura
 
Jamaa anamatatizo yule, akisahaulika anatafuta popularity faster, amekaa kibiashara zaidi....
Wewe ndiye mwenye tatizo. Amewashauri vyema waumini wake wakapige kura na ameondoa kikwazo ili wakashiriki tukio muhimu la kihistoria. Natumaini RC, lutheran na wengine watawaruhusu waumini wao wakashiriki kupiga kura bila ya kikwazo cha ibada.

Mungu ambariki Kakobe, maaskofu, wachungaji, mashekhe na maimamu wooote
 
Kuanzishwa kwa jukwaa la makanisa nafikiri wote watafanya kama Kakobe. Arusha wamekwisha toa waraka wa pamoja kwa waumini wao - RC, KKKT na TAG.
 
Jamaa anamatatizo yule, akisahaulika anatafuta popularity faster, amekaa kibiashara zaidi....

what do you mean?kuwaruhusu waumini kwenda kupiga kura siku ya uchaguzi amabayo itakuwa jpili ni kuwa kibiashara zaidi?iam missing a point here!!!
 
kakobe amesema kuana watu wanafurahia hali hiyo, ndio maana anachanganya habari, ccm mtajijua mwaka huu mmezoea dezo dezo maana watu hawanunuliki na wameandaliwa kupiga kura
 
Amuunga mkono Dr Slaa kwa afya na elimu. Endorsement hizi mhimu sana

jaji mfalili
mch kakobe
polls zote ikiwemo ya synovate
marando
wengine waoga tu ila wame endorse kimya kimya list continues
 
UBARIKIWE KAKOBE, PLZ UWASISITIZE HIYO SIKU WAJITOKEZE WOTE KUPIGA KURA, MAANA KURA MOJA INAWEZA KUMUWEKA MTU UMTAKAYE MADARAKANI.:becky:
 
Wewe ndiye mwenye tatizo. Amewashauri vyema waumini wake wakapige kura na ameondoa kikwazo ili wakashiriki tukio muhimu la kihistoria. Natumaini RC, lutheran na wengine watawaruhusu waumini wao wakashiriki kupiga kura bila ya kikwazo cha ibada.

Mungu ambariki Kakobe, maaskofu, wachungaji, mashekhe na maimamu wooote
kama mtu anataka kupiga kura anaweza tuu, KKKT na RC wana misa nyingi sana (tatu nakuendelea) na kila misa haichukui zaidi ya masaa 2 na zinaanza 12 asubuhi, so kusali sio kigezo labda kwa hao wanaosali asubuhi mpaka jioni
 
Jamaa anamatatizo yule, akisahaulika anatafuta popularity faster, amekaa kibiashara zaidi....

use you common sense when you try to post anything. Hata mimi ningekuwa kiongozi wa kanisa ningefanya hivyo hivyo.
 
Jamaa anamatatizo yule, akisahaulika anatafuta popularity faster, amekaa kibiashara zaidi....

Mara hii mpaka kieleweka baba!!! Na bado. Siku hiyo makanisa yote yanafungwa. Tumeshtukia Mbinu zenu baba.
 
ni mwaka wa mabadiliko,kakobe ameweka maslahi ya umma kwanza,sote tunajua kuwa sehemu pekee ya kujua mustakabali wa taifa letu ni kupitia uchaguzi mkuu,kakobe ameonyesha uzalendo mkubwa na anapaswa kuungwa mkono na makasisi wote kwa kufuta ibada za jumapili ya uchaguzi ili kuliponya taifa letu,tupo kwenye msiba mkubwa watanzania kutokana na ombwe la uongozi,hao makasisi wetu wasifute ibada tu za siku ya uchaguzi bali watoe pia elimu ya uraia ya kutosha kuelekea uchaguzi mkuu,huo utakua mchango wao mkuu wa kulinusuru taifa letu na ombwe la uongozi,mungu wabariki viongozi wetu wa dini,mungu ibariki tanzania
 
Nadhani kuna watu wanafurahi Wakristo wengi wasipige kura, safari hii tumefanya juhudi nyingi; lakini NEC imeng'ang'ania, na hatuwezi kuacha kwenda kupiga kura kwani tunaweza kuchaguliwa kiongozi asiyefaa tukajutia kwa miaka mitano.

"Hivyo natangaza rasmi siku hiyo ya uchaguzi hakutakuwa na ibada katika makanisa yote ya FGBF, milango ya makanisa hayo siku hiyo ifungwe na ibada ya siku hiyo ifanyike siku ya Jumamosi," alisema askofu huyo.

Alilofanya Kakobe ni jambo la maana na ameonyesha kwa kiwango kikubwa kuthamini kwake suala zima la Uchaguzi.Lakini huyo ni Kakobe pekee vipi makanisa mengine yatatoa fursa kwa waumini wake kwenda kupiga kura siku hiyo ya Uchaguzi?.
Hapa kuna tatizo,siku za baadaye inapaswa Tume ya Uchaguzi itafute siku neutral (Siku isiyokuwa ya Ibada) ili wananchi wengi waweze kwenda kupiga kura bila kutingwa na shughuli nyingine.Ijumaa,Jumamosi na Jumapili zote ni siku rasmi za sala/maombi kwa madhehebu mbalimbali.
 
safi sana baba askofu kakobe

huyu tuko nae chama kimoja cha chadema
 
Back
Top Bottom