Kakobe apinga nyaraka za viongozi wa dini; akemea kauli ya Pengo

..kaakobe yupo live BBC sasa....anahojiwa.....sasa!!!

Namsikia live ..Ok! personaly sikubalianai naye katu..kwa namna fulani: Haina maana kuwa kwa kuwa sisi(TZ) tulifanya makosa ya kutoandamana kwa makosa yetu..HILO lifanye Kibaki awe sahihi!!! Not right at all!!! Kibaki is wrong haihitaji kupewa pongezi. Au unasemaje???
 
Nasema hivi; Nakubariana bae kwenye mambo mawili,
1.kwanza waTz na wana siasa wetu tuache unafiki (tutoe kibanzi kwenye macho yetu kwanza),maana tuyalekebishe yakwetu kwanza chaguzi zetu toka mwaka 1995 hazikua za haki bara na visiwani.Iweje leo tuone kwamba kibaki amefanya kosa lisilo sameheka na kushindwa hata kumpa salaam za pongezi wakati sisi ndio tumetengeneza hayo yaliyotokea huko kwa kutuma wale jamaa wawili.......wa tume yakule zenji na nanilihi......

2.kwa kuwakumbusha watawala na yeye yupo wakimtosa atawakosoa kama afanyavyo sasa.Yupo katika kutafuta kula yake na watoto wake (dili lake hilo kama la BOT kama likilipa)
 
mtupe muktasari basi wakimaliza maana wengine tuko mbali na radio

Nasema hivi; Nakubariana bae kwenye mambo mawili,
1.kwanza waTz na wana siasa wetu tuache unafiki (tutoe kibanzi kwenye macho yetu kwanza),maana tuyalekebishe yakwetu kwanza chaguzi zetu toka mwaka 1995 hazikua za haki bara na visiwani.Iweje leo tuone kwamba kibaki amefanya kosa lisilo sameheka na kushindwa hata kumpa salaam za pongezi wakati sisi ndio tumetengeneza hayo yaliyotokea huko kwa kutuma wale jamaa wawili.......wa tume yakule zenji na nanilihi......

2.kwa kuwakumbusha watawala na yeye yupo wakimtosa atawakosoa kama afanyavyo sasa.Yupo katika kutafuta kula yake na watoto wake (dili lake hilo kama la BOT kama likilipa)

Sanda!!: Thanxs so much for clarification! Ila nina nyogeza kidogo hapa. Kumpongeza Kibaki kwa sababu yeyote ile Haisadii kurekebisha makosa yake wala ya binaadamu yeyote! Kibaki amekosea na Tz tumekosea!! hakuna anaye qualify kusifiwa hapa kwa sababu yeyote ile.. Kumpongeza Kibaki kwa kile kilechotokea ni kukiuka ubinaadamu!!! Sawa: hata sisi tuna makosa!! Angesema yote aliyosema Lakini asingemalizia kwa kupongeza Makosa, Vifo na Machafuko yanayoendelea na kuumiza watu kadhaa wasiokuwa na Hatia yeyote ile..!!! Sijasema Tz sio wanafiki..But Unafiki wetu hautoi tiketi ya kumfanya Kibaki RIGHT kwa alichofanya! KIBAKI HAPASWI KUPONGEZWA..Na Tz tujifunze Kuhusu Unafiki na woga wetu!!Nimalize kwa hivyo:
 
Naomba kuuliza, Kakobe binafsi ameshwahi kufanya nini kulingana na hii hali ya bongo anayoisema kuwa ni sawa au ni mbaya kuliko ya Kenya?
 
He dared na akazimwa kwa nguvu za Mkapa kama Mwenyekiti wa CCM na Malecela kama Makamu na system nzima .Alichofanya watanzania wanajua he tried hard lakini hakuweza kufika kokote maana alikomaliwa na hata kuomba arudishe cheti cha kusajili Kanisa lake .
 
Wana JF

Kakobe ni opportunist ile mbaye - yeye limelight ndiyo ugonjwa wake. Kasoma Mkwawa, alikuwa mwimbaji wa Jazz Band ya shule, wanabendi wakiwa kina Lusekelo, Danford Mpumilwa, DCI Manumba na wengine wengi. Kaenda JKT, yeye hakubahatika kwenda UDSM ila ilienda Nairobi EAC chuo cha metrology, akapangiwa kazi Same, akatoroka kazi anaja Dar, akafungua duka la ku-du "Cassettes Edition Mulanga". Kakobe ni mwinzi mkuu wa miziki ya watu. Akafunga duka akaenda kusomea "Unabii" na mbinu za kupumbaza watu Nigeria. Karudi kaanzisha kanisa lake na amepata forum ya kujikuza na kutaka kutimiza hatima yake kujulikana na umma. Hivi Kakobe na mwanasiasa wa CCM wana tofoauti gani ? No difference - sawa na Nyani na Tumbili!
 
Hakuna lolote lile; Kakobe ni miongoni mwa wachungaji ambao wanasubiri wengine wawalishe kondoo na kufukuza wezi halafu yeye aje na kifimbo chake na kuwaongoza zizini mwake!

a. Ni lini Kakobe alisimama kutetea haki za wananchi?

b. Ni lini aliandamana na watu kuonesha kuchoshwa kwake na maovu?

c. Wakati wa sakata la Buzwagi Kakobe alikuwa upande gani?

d. Wakati tunapiga kelele kuhusu BoT yeye alifanya nini hata kuunga mkono?

Iweje leo baada ya wengine kufanya kazi aje yeye na kuvuna!? Kama kweli yeye si mnafiki ashike Bango na kuandamana kusema "Mkapa ahojiwe".. na asimame na Biblia yake mkononi na kusema Mramba ajiuzulu!
 
Demodrasia ya Ulaya--- fail now 300% nasema we dont need it- ila tatizo watu hawapendi kukubaliana na mimi! Nimesema sana mara nyingi!!!!!!

China --saa hizi watu wameshawekwa ndani na kuhukumiwa kupigwa risasi- sasa kama 130b imeliwa unatafuta ushahidi wa nini??????

Tunazidi kupoteza mda!!!!!!
 
A:
Hakuna lolote lile; Kakobe ni miongoni mwa wachungaji ambao wanasubiri wengine wawalishe kondoo na kufukuza wezi halafu yeye aje na kifimbo chake na kuwaongoza zizini mwake!

a. Ni lini Kakobe alisimama kutetea haki za wananchi?

b. Ni lini aliandamana na watu kuonesha kuchoshwa kwake na maovu?

c. Wakati wa sakata la Buzwagi Kakobe alikuwa upande gani?

d. Wakati tunapiga kelele kuhusu BoT yeye alifanya nini hata kuunga mkono?

Iweje leo baada ya wengine kufanya kazi aje yeye na kuvuna!? Kama kweli yeye si mnafiki ashike Bango na kuandamana kusema "Mkapa ahojiwe".. na asimame na Biblia yake mkononi na kusema Mramba ajiuzulu!

B:
Re: Kakobe is right, isn't he?
Hebu msome hap
Wana JF
Kakobe ni opportunist ile mbaye - yeye limelight ndiyo ugonjwa wake. Kasoma Mkwawa, alikuwa mwimbaji wa Jazz Band ya shule, wanabendi wakiwa kina Lusekelo, Danford Mpumilwa, DCI Manumba na wengine wengi. Kaenda JKT, yeye hakubahatika kwenda UDSM ila ilienda Nairobi EAC chuo cha metrology, akapangiwa kazi Same, akatoroka kazi anaja Dar, akafungua duka la ku-du "Cassettes Edition Mulanga". Kakobe ni mwinzi mkuu wa miziki ya watu. Akafunga duka akaenda kusomea "Unabii" na mbinu za kupumbaza watu Nigeria. Karudi kaanzisha kanisa lake na amepata forum ya kujikuza na kutaka kutimiza hatima yake kujulikana na umma. Hivi Kakobe na mwanasiasa wa CCM wana tofoauti gani ? No difference - sawa na Nyani na Tumbili!

THANXS ZALENDO + MMJ!!! Nilijua kuna kitu toka kwa huyu bwana HAKIJANYOOKA..So I still insist::::: Kumpongeza Kibaki kwa sababu yeyote ile Haisadii kurekebisha makosa yake wala ya binaadamu yeyote! Kibaki amekosea na Tz tumekosea!! hakuna anaye qualify kusifiwa hapa kwa sababu yeyote ile.. Kumpongeza Kibaki kwa kile kilechotokea ni kukiuka ubinaadamu!!! Sawa: hata sisi tuna makosa!! Angesema yote aliyosema Lakini asingemalizia kwa kupongeza Makosa, Vifo na Machafuko yanayoendelea na kuumiza watu kadhaa wasiokuwa na Hatia yeyote ile..!!! Sijasema Tz sio wanafiki..But Unafiki wetu hautoi tiketi ya kumfanya Kibaki RIGHT kwa alichofanya! KIBAKI HAPASWI KUPONGEZWA..Na Tz tujifunze Kuhusu Unafiki na woga wetu!!Nimalize kwa hivyo:
 
Baba Askofu yuko sahihi wengi waliomsikiliza akihojiwa BBC watakubaliana nami kuwa hayo yalikuwa madongo kwa serikali ya CCM,wanapaswa wampongeze maanake wao ndio mabingwa wa kuyafanya yote na zaidi ya yaliyofanyika huko KENYA na wakati mwingine wa-kenya wamefundishwa na CCM namana ya ku-doctor kura za wananchi,na namna ya ku-shoot to kill wananchi wanaoonekana kuandamana kwa amani au kuwapinga,mimi naunga mkono KIKWETE ampongeze tu kibaki. maana hata yeye kibaki alimpongeza bila kujali matatizo yaliyokuwepo.
 
Kwenye kutangaza kwamba Kibaki ni Rais wa wana Nyayo Kingunge alikuwa wapi ?Si alikuwa Kenya ?
 
[SIZE="4" said:
Echolima[/SIZE];125493]Baba Askofu yuko sahihi wengi waliomsikiliza akihojiwa BBC watakubaliana nami kuwa hayo yalikuwa madongo kwa serikali ya CCM,wanapaswa wampongeze maanake wao ndio mabingwa wa kuyafanya yote na zaidi ya yaliyofanyika huko KENYA na wakati mwingine wa-kenya wamefundishwa na CCM namana ya ku-doctor kura za wananchi,na namna ya ku-shoot to kill wananchi wanaoonekana kuandamana kwa amani au kuwapinga,mimi naunga mkono KIKWETE ampongeze tu kibaki. maana hata yeye kibaki alimpongeza bila kujali matatizo yaliyokuwepo.

yes Elichoma, you got him right!

Yaani nilipo msikiliza BBC, jamaa katumia mbinu ya kuanzia juu kwenda chini si juu chini!,

Kwa kifupi anawasuta CCM kwamba alo fanya Kibaki ndo huwa mnayafanya siku zote, acheni unafiki wakumuona yeye ni mdhambi kuliko nyinyi!
 
Askofu Kakobe amesema ukweli 100%.

Watanzania tuache unafiki na uwoga.
Ni lini CCM imeshinda kwa haki ZNZ na baadhi ya majimbo hapa Bara?, Watanzania tumechukua hatua gani?.

Mambo mangapi ya kishenzi yanafanywa na serikali lakini tunashindwa kukemea ama kuandamana?.

Wenzetu wakenya wameamua liwalo na liwe kwani wamechoshwa na upuuzi huo.

Tanzania iko haja kabisa ya vijana kuingia mwituni na kuibuka na kuanza mambo ya kosovo ama somalia.
 
Mitomingi

He dared na akazimwa kwa nguvu za Mkapa kama Mwenyekiti wa CCM na Malecela kama Makamu na system nzima

Zalendohalisi

Wana JF

Kakobe ni opportunist ile mbaye - yeye limelight ndiyo ugonjwa wake. Kasoma Mkwawa, alikuwa mwimbaji wa Jazz Band ya shule, wanabendi wakiwa kina Lusekelo, Danford Mpumilwa, DCI Manumba na wengine wengi. Kaenda JKT, yeye hakubahatika kwenda UDSM ila ilienda Nairobi EAC chuo cha metrology, akapangiwa kazi Same, akatoroka kazi anaja Dar, akafungua duka la ku-du "Cassettes Edition Mulanga". Kakobe ni mwinzi mkuu wa miziki ya watu. Akafunga duka akaenda kusomea "Unabii" na mbinu za kupumbaza watu Nigeria. Karudi kaanzisha kanisa lake na amepata forum ya kujikuza na kutaka kutimiza hatima yake kujulikana na umma. Hivi Kakobe na mwanasiasa wa CCM wana tofoauti gani ? No difference - sawa na Nyani na Tumbili!

Ndio uzuri wa JF, maswali na majibu kwa kumkoma nyani style, ahsante Zalendohalisi, una-fit kwenye top ten hapa JF! Keep it up!
 
Hapana mkuu ngoma hapa ni taifa letu, Kakobe siku zote yuko na viongozi wa CCM, majumbani mwao nimeshamuona mara nyingi sana, sasa leo akiongea hii lugha ya kujifanya mpinzani ninalewa, nilimuona kwenye shuguli moja nzito ya kigogo wa CCM kijijini tena akiwa amepewa gari maalum la serikali na yule kigogo na kukodiwa hotel ya gharama sana mjini kwa muda wote wa ile shughuli sasa anaposema yeye mpiznani na watu hapa wanauapanda mkenge hapa JF ndio ninalewa, sasa kama that is mwamba ngoma so be it mkuuu!

Ila bado ninaheshimu mawe yako kule juuu, lakini huwa ninafikiri kabla ya kandika na huwa nina sababu siku zote, isipokuwa mpaka ukiniuliza ndio uatjua, sina ngoma yoyote ya kuvuta hapa zaidi ya taifa! Sasa kusema eti alizuiwa na Mkapa na Malecela, ni pure understatement ya mwananachi asiiyeelewa kinachoendelea nchini mwake, huyu Kakobe ni tapeli na ni CCM.
 
Hata kama Kakobe naye ni mnafiki, anayosema ni ukweli mtupu na hatuwezi kuyakataa kwa vile tu kayasema yeye. Pia, hata kama hajawahi ku-step up na kukemea ufisadi na dhuluma Tanzania, hiyo haina maana hana haki ya kuzungumza dhidi ya mambo hayo kama na sisi tulivyo na haki ya kumwita yeye mnafiki. Bottom line: ukweli unabaki palepale bila kujali nani kauzungumza.
 
Mkuu nyani,

Heshima mbele, mti mbovu hauwezi kutoa matunda mema, ndio maana kina Mrema, wameshindwa wakati vijana wadogo kina Zitto, wana make a big difference kwa taifa letu politically kwa kuwa ni wapinzani wa kweli, wananchi wa bongo sio wajinga, ndio maana Mtikila na makelele yake yote hawamsikilizi maana wanajua kuwa ni mkenge tu, lakini akisema Zitto au Slaa, wanasikiliza na kuwaunga mkono mpaka kuwazomea viongozi wetu,

Yes, it makes a big different political message inatoka kwa nani mbele ya wananchi!
 
Zalendo halisi,

Samahani mkuu, hii ya kusomea Nigeria una uhakika nalo?

Maana mimi nafikiria kuwa fisadi mkuu hapa nchini na jamaa yangu mmoja anasema ukitaka kuwa fisadi either uibe BOT, Richmonduli, Ndege, IPTL, Kiwira etc, au uwe jambazi sugu na kuibia mabenki na kuuwa watu au uwe MCHAWI.

Sasa mimi nataka niwe MCHAWI ili mafisadi wakishaiba wawe wanakuja kwangu kuwafanyia mambo flani flani kisha nawadhulumu hela zote!

Halafu naanzisha miradi ya kuwasaidia wananchi!

Unaonaje hilo? nipe chuo na mahali huko Nigeria. Nitumie kwenye PM ikiwezekana.
 
Back
Top Bottom