Kakobe akemea ushoga - Uingereza watoa agizo sheria itengenezwe | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kakobe akemea ushoga - Uingereza watoa agizo sheria itengenezwe

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by werawera, Nov 6, 2011.

 1. w

  werawera Senior Member

  #1
  Nov 6, 2011
  Joined: Oct 5, 2010
  Messages: 138
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  Askofu Mkuu wa Kanisa la Full Gospel Bible Fellowship, Askofu Zacchary Kakobe; leo katika misa na ibada ametamka kwa nguvu na kukemea juu ya agizo la Nchi ya Uingereza juu ya Sheria ya kukubalika na kutambulika kwa MASHOGA katika nchi ya Tanzania.
  Vivyo hivyo Askofu huyu, ametoa rai kwa wanaharakati Tanzania kuandaa maandamano ya kupinga kutengenezwa sheria hiyo. Amesema wakati mzuri wa kufanya hivyo ni kwenye ziara ya Prince Charles na Mkewe Camilla. Vilevile amesema kwa wanaharakati kwamba wakiandaa maandamano hayo wampe taarifa na atakuwa kinara wa maandamano hayo.
  Pia amemwambia Rais Kikwete kwamba naye atoe tamko kuhusu hayo.

  Nawasilisha....
   
 2. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #2
  Nov 6, 2011
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,650
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Eddie Long Eddie Long Eddie Long....

  That's all I got to say!
   
 3. Mlachake

  Mlachake JF-Expert Member

  #3
  Nov 6, 2011
  Joined: Oct 13, 2009
  Messages: 2,923
  Likes Received: 630
  Trophy Points: 280
  yaani kila m2 anapinga hili. kama huku kijijini ni vichekesho tu. Wakulima wamepata habari iliyochakachuliwa eti lazima tunanihiiane ndo tupewe msaada.

  kila unapopit storry ndo hiyo
   
 4. macho_mdiliko

  macho_mdiliko JF-Expert Member

  #4
  Nov 6, 2011
  Joined: Mar 10, 2008
  Messages: 6,437
  Likes Received: 2,315
  Trophy Points: 280
  Aisee mkuu hii ni kali sana. Mbavu zangu.... mama wee
   
 5. w

  werawera Senior Member

  #5
  Nov 6, 2011
  Joined: Oct 5, 2010
  Messages: 138
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  Lazima tusimame kidete kupinga huu ujinga Si sote kwa pamoja Waislamu kwa Wakristo. Kwani vitabu vyote vya dini vinakemea uhuni huu
   
 6. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #6
  Nov 6, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,334
  Likes Received: 22,183
  Trophy Points: 280
  Kakobe, kama ulivyo mroga kwa maombi yako Ngeleja, naomba uuroge pia utawala wa Uingereza uache kutusakama na ushoga wake.
  Pia Kakobe naomba lile JESHI lako takatifu lililopigania umeme wa tanesco usipite kanisani kwako lije kwenye maandamano ya kupinga kuundwa kwa mswada wa sheria ya Ushoga
   
 7. K

  Kyoombe JF-Expert Member

  #7
  Nov 6, 2011
  Joined: Sep 23, 2011
  Messages: 653
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 45
  Tumekupata lakini Kakobe hana ibada ya Misa
   
 8. 3squere

  3squere JF-Expert Member

  #8
  Nov 6, 2011
  Joined: Aug 2, 2011
  Messages: 928
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Tupo pamoja baba askofu lakini tukumbuke kwa nguvu zetu atuwezi mpaka tuokoke tuweze kupambana na hii roho ya kishetani.
  Na ni ujumbe kwa kikwete kuombaomba uko ndiyo mtokeo yake ayo
   
 9. menyidyo

  menyidyo JF-Expert Member

  #9
  Nov 6, 2011
  Joined: Oct 9, 2010
  Messages: 1,339
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  katika vitu ambavyo Kikwete hawezi ni kushindwa kutoa matamko yenye maamuzi magumu. Amuige rais wa GHANA kasema yeye hawezi kufanya ujinga huo. Mbona wao EU ulaya hawaoi wake watatu watatu.... wanaponda.... cha maana sisi hatugeuzani na atakayekamatwa anageuza au anageuzwa TUWANYONGE tu.
   
 10. menyidyo

  menyidyo JF-Expert Member

  #10
  Nov 6, 2011
  Joined: Oct 9, 2010
  Messages: 1,339
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  tofauti ya misa na ibada ni nn vile?
   
 11. A

  ASKOFU MSAIDIZI JF-Expert Member

  #11
  Nov 6, 2011
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 209
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kauli ya askofu kakobe imenifurahisha sana hasa kipengere cha kumyaka rais jakaya kikwete atoe tamko juu ya kupinga ushoga.
  Kitendo cha kikwete kunyamaz kimya huku akiandaa mapokezi makubwa ya prince charles ni matusi makubwa kwa watanzania.

  Wakati wa rais nyerere , kulikuwa na mkukutano wa jumuiya ya madola kama huo lakini malkia wa uingereza alikuwa hataki kushikana mikono na marais wa afrika badala yake alikuwa anavaa gloves. Sasa ilipofika zamu ya nyerere , yeye alikataa kumupa mkono bali alimpa fimbo!!! Na hatua hiyo ilileta mtafaruku mkubwa , siku hiyoyo nyerere alikwenda chuo kikuu endbarg ku kupinga unyanyasaji wa marais wa afrika.

  Rais jakaya mrisho kikwete alipaswa kupinga suala la ushoga kulekule mbele ya waziri kameron na sio kumwachia membe anaweweseka hapa.

  Kitendo cha kikwete kunyamaza kimya kinatupa kujua kuwa tuhuma zake kuwa ni shoga ni za kweli!!!
   
 12. bampami

  bampami JF-Expert Member

  #12
  Nov 6, 2011
  Joined: Nov 5, 2011
  Messages: 4,854
  Likes Received: 1,296
  Trophy Points: 280
  Wewe ndugu,mwandishi karipoti taarifa, kiukweli kakobe hana misa nasi tumekuelewa kwa hilo.Lakini hoja ya utofauti wa misa na ibada nafikiri ufungue wall nyingine ili wataalamu waweze kujadili.Kwakuiintroduce hoja hiyo tutakuwa tunapoteza ujumbe.Mimi binafsi kama kutaitishwa maandamano ntashiriki na nikimwona huyo kakobe yupo ntafurahi sana kwani tunataka kufikisha ujumbe kwamba sisi hatutoweza kuendeshwa kiivyo kama ni misaada toka kwao basi.
  LAKINI USHOGA WA ENZI ZA SODOMA NA GOMORA HATUUTAKI UISHIE HUKO HUKO KWAO.
   
 13. Butola

  Butola JF-Expert Member

  #13
  Nov 6, 2011
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 2,221
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Kwani misa ni nini?na kwanini unadhani Kakobe hana hiyo ibada?naomba mwongozo mkuu wangu.
   
 14. L

  Liwengi Member

  #14
  Nov 6, 2011
  Joined: May 15, 2011
  Messages: 26
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Ninasikia taarifa za jujuu kuwa, zile nguzo zilizopitisha nyaya pale kwa Kakobe mpaka leo haziweza kupitisha umeme, je hizi ni habari za kweli?
  Mwenye taarifa kamili tafadhali!
   
 15. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #15
  Nov 6, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,334
  Likes Received: 22,183
  Trophy Points: 280
  Chezea katotoizi wewe?
  Tanesco wanalia
   
 16. AMINATA 9

  AMINATA 9 JF-Expert Member

  #16
  Nov 6, 2011
  Joined: Aug 6, 2011
  Messages: 2,132
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  ahhaaaaaaaaaaa kumbe na kwenu loh! mi kwetu wameckia kua kila familiya lazima imtoe mtoto mmoja wa kuime awe shoga ndio tupewe misaada basi ni tafrani kijiji kizima
   
 17. 3squere

  3squere JF-Expert Member

  #17
  Nov 6, 2011
  Joined: Aug 2, 2011
  Messages: 928
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Jamaa kaomba wazungu mwisho wamemwambia ashike ukuta macho yanamtoka na bado
   
 18. yutong

  yutong JF-Expert Member

  #18
  Nov 6, 2011
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 1,604
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Misa ni wakatoliki kaka
   
 19. Viper

  Viper JF-Expert Member

  #19
  Nov 6, 2011
  Joined: Dec 21, 2007
  Messages: 3,665
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  habari za mtaani tu .... umeme upo.... ukifika mwenge uliza umeme unafika haufiki
   
 20. K

  Kyoombe JF-Expert Member

  #20
  Nov 6, 2011
  Joined: Sep 23, 2011
  Messages: 653
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 45
  Misa ni adhimisho la Ekaristi Takatifu, mageuzo ya mkate na divai kuwa Mwili na Damu ya Yesu Kristu. Hii ni kwa Wakatoliki, Anglikana na Orthodox
   
Loading...