Kakamatwa live!!

Camera iwe yake au ya mume kuangalia pcha kwani unakatazwa? Na kitu kama camera si watu wanatumia wote? huyo mwanaume ni limbukeni, kwani kutembea nao ni lazima awapige pcha hao wanawake halafu bila kujali anarudi home na mipicha yake, kha! Mwambie aingie kwenye internet atafute mwanaume mzur ambaye yuko uchi au kakaa hata beach ampige picha halafu na yeye akiulizwa akatae katakata.
 
awe mpole za mwizi 40,kama jamaa hana hiyo tabia inawezekana labda ni rafiki yake aliazima hiyo kamera na kusahau kudelet hizo bad pic
 
Camera iwe yake au ya mume kuangalia pcha kwani unakatazwa? Na kitu kama camera si watu wanatumia wote? huyo mwanaume ni limbukeni, kwani kutembea nao ni lazima awapige pcha hao wanawake halafu bila kujali anarudi home na mipicha yake, kha! Mwambie aingie kwenye internet atafute mwanaume mzur ambaye yuko uchi au kakaa hata beach ampige picha halafu na yeye akiulizwa akatae katakata.

dada ya moto ni moto..! sio kweli gaga hapo atakuwa ameongea tatizo
 
Hivi camera ni vitu vya mumewe au ya familia???Kwanini kuangalia kwake ndo kuwe kavunja vows na sio mume kwenda kua na kufanya vituko huko????:twitch:

Akiweka picha za wanyama, mito, mapori hizo sawa kama interest zake ni picha binadamu ndio iwe kosa? Hiyo picha ya utupu ni kama avata ya mtoa mada au?
 
Anahaki ya kumpekua; kwenye sheria ya ndoa hakuna changu ni chetu sasa huyo dada alikuwa na haki ya kuangalia kamera ya mumewe. ila alichokikuta maamuzi ni juu yake
 
kukiwa na ubinafsi katika ndoa lazima kutokee matatizo kama haya,ndani ya ndoa ni sharing ya mwili,family na resources katika shida na raha,pia camera ni kitu cha kawaida sana ambacho huwezi kusema labda huyo mke akigusa ataharibu
ingekuwa ni baadhi ya office tools tungesema si vema kuzichokonoa unaweza kuharibu ama angeshika something kama silaha hivi ya mumewe ingekuwa amevuka mpaka lakini kwa kamera no! ni sehemu ya utaratibu wa ukaguzi kwa akina mama pindi wazee warudipo safari
 
aje kwangu nimtatulie hilo tatizo! Huenda hiyo ndiyo kazi ya mumewe inayompa kula
 
Ndoa, ndoa,ndoa, ni mdudu gani kaingia huko?? kila familia inalia.

huyo bidada ambane kisawasawa bwana mkubwa amweleze na siku nyingine akisafiri hakuna kwenda na camera, na asiache kumsachi hakuna privacy ndani ya ndoa
 
marufuku mke wangu kushika simu yangu na ya kwake sishiki....je kwanini asiweke security code na yeye? huyo anataka kummwaga hawezi kuacha live sukari mbele ya nyuki...lakini na yeye hajawahi kupigwa picha na husband wake jamani maana tuangalie pande zote haiwezekani wife aende moja kwa moja kwenye gallery na photo clips ok hapo sisi twamwangalia tu ama amsamehe au akimbie.....
 
Ndoa zina kazi!!Amuulize taratibu kwa upole labda atamwambia!Kama inaonyesha vitu vya mumewe vilikuwepo kwahiyo nae alikuwepo!Cha msingi ni kupata uhakika then aamue kama anaweza kusamehe na kusahau au kuachana nae!

mhh lyzz mambo ya ndoa ni magumu sana cha muhimu amuulize kama alitumia kinga.kuachana ni ngumu haswa ukizingatia kama wana watoto nk.hajasema kamani wakristo kama ndio wao ndoa haiwezi kuvunjwa kikanisa lakini kimahakama laima mke athibitishe uhalali wa hizo picha yawezekana katumia technlogia ya kisasa kuchanganya picha .kumpata na micha za utupu peke haitoshi kuvunja ndoa lazima kuwe na ushahidi mwinine wa kimazingira.
 
Back
Top Bottom