kakakuona aonekana songea

fige

JF-Expert Member
Jul 4, 2010
375
61
idara ya maliasili mkoa wa ruvuma inamshikilia mnyama huyo anaesadikika kuwa na uwezo wa kubashiri mambo.mpaka sasa hamna mtu aliyetoa utabiri unaohusiano wa kuonekana mnyama huyo ila kuna dalili ya mvua kubwa kunyesha mjini hapo.
 
Hivi wewe unafahamu hili ni jukwaa la picha? acha blah blah
 
Ukimpiga picha haitoki!!!

pangolin.jpg

Ah wapi anatokea sana mtazame huyu, ila hahusiani na huyo wa kwa watani zangu,si unajua wangoni kamera mgogoro.
 
Bora mmeweka picha nilidhani shehe yaya kabadili jina..
 
Huyo mnyama/mdudu ni dili la kufa mtu Botswana, South Africa na Zimbabwe, yaani ukifanikwa kumfikisha huko wwe ni bilionea bila ufisadi
 
Kituko, kwa nini ni dili kwenye hizo nchi ulizotaja?
 
Back
Top Bottom