KakaKiiza 2010 February 16 Mpaka leo 2019 February 16!

KakaKiiza

JF-Expert Member
Feb 16, 2010
11,135
2,000
Wadau Naomba nitoe yangu Machache.
Kwanza niwashukuru wote wadau wa JF na Uongozi mzima wa JF kwa kazi kubwa mnayoifanya hapa katika kuiendeleza Jamii Forum The Great Thinker si jambo rahisi kwani nichanga moto nyingi mnakutana nazo kutokana na masika kwani kila masika na nzi wake.
Nakumbuka mwaka 2006. Nilijiunga na JAMBO FORUM Nikatumiwa na mwaliko wakuudhuria kongamano katika Hotel ya Kifahari ya nyota Tano iliyokuwa ikijulikana kama SHERATON HOTEL sikuweza kuhudhuria kutokana na mimi kuwa mbali na Dar-es-Salam hivyo sikufanikiwa kuja. Mbali na kujiunga siku nyingi nikaja kupoteza account yangu! Ndiyo baadae 2010 February 16. Nikajiunga tena hadi hivi leo.

MAFANIKIO.
Nimefanikiwa kufahamiana nawatu wengi sana hivyo kwangu naishukuru JF sana mpaka leo naendelea kufahamiana nawatu wengi japo siyo kama zamani,pia uongozi wa JF FOUNDERS Naushukuru kwakuweza kufahamiana nao nawashukuru sana hata kipindi nilipopatwa na Msiba mzito wakuondokewa na Mwenza miaka 8 iliyopita walihakikisha wanakuwa bega kwa bega na mimi kwakipindi chote cha Msiba Asante Uongozi wa JF FOUNDERS and whole Manegement you was so humble to me!.
Pia marafiki ndani ya nchi na nje ya nchi walinifariji wengine walihakikisha wananipigia simu kuniconfort kila mara hata kwenye Skype, kipindi hicho WhatsApp hakuna!
Siwezi kutaja mmoja mmoja kwa kueleza mafanikio bali kikubwa wengi tumeendelea kushirikiana!
Kisa Kimoja niliweka tangazo la kazi Jamaa mmoja akaomba akiwa nje ya nchi,bahati nzuri akapata tukawa naye ofisini siku moja akaja katika dawati langu akakuta nimefungua JF akachungulia username akasema kumbe wewe ndiye KakaKiiza ?nikamjibu ndiyo akasema nashukuru kazi hii nisingeipata kama siwewe kuituma JF Wakati huo tukiwa washikaji na tumeendelea kushirikiana kwa kila kitu hivyo haya yote nimafanikio.
Naomba leo niishie hapa.
Niwashukuru wote tuliojuana kupitia hapa JF Kwani niwengi hivyo nivigumu kumtaja mmoja mmoja!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
146,220

Hongera sana kaka na shukrani kwa mrejesho huu.. Nautambua weledi wako kipindi chote nilichokuwepo hapa.... Nakiri nimejifunza mengi toka kwako kwakuwa wewe ni mtangulizi wangu JF... Long live KakaKiiza

Jr
 
Mwifwa

JF-Expert Member
Apr 3, 2017
35,399
2,000
Wadau Naomba nitoe yangu Machache.
Kwanza niwashukuru wote wadau wa JF na Uongozi mzima wa JF kwa kazi kubwa mnayoifanya hapa katika kuiendeleza Jamii Forum The Great Thinker si jambo rahisi kwani nichanga moto nyingi mnakutana nazo kutokana na masika kwani kila masika na nzi wake.
Nakumbuka mwaka 2006. Nilijiunga na JAMBO FORUM Nikatumiwa na mwaliko wakuudhuria kongamano katika Hotel ya Kifahari ya nyota Tano iliyokuwa ikijulikana kama SHERATON HOTEL sikuweza kuhudhuria kutokana na mimi kuwa mbali na Dar-es-Salam hivyo sikufanikiwa kuja. Mbali na kujiunga siku nyingi nikaja kupoteza account yangu! Ndiyo baadae 2010 February 16. Nikajiunga tena hadi hivi leo.

MAFANIKIO.
Nimefanikiwa kufahamiana nawatu wengi sana hivyo kwangu naishukuru JF sana mpaka leo naendelea kufahamiana nawatu wengi japo siyo kama zamani,pia uongozi wa JF FOUNDERS Naushukuru kwakuweza kufahamiana nao nawashukuru sana hata kipindi nilipopatwa na Msiba mzito wakuondokewa na Mwenza miaka 8 iliyopita walihakikisha wanakuwa bega kwa bega na mimi kwakipindi chote cha Msiba Asante Uongozi wa JF FOUNDERS and whole Manegement you was so humble to me!.
Pia marafiki ndani ya nchi na nje ya nchi walinifariji wengine walihakikisha wananipigia simu kuniconfort kila mara hata kwenye Skype, kipindi hicho WhatsApp hakuna!
Siwezi kutaja mmoja mmoja kwa kueleza mafanikio bali kikubwa wengi tumeendelea kushirikiana!
Kisa Kimoja niliweka tangazo la kazi Jamaa mmoja akaomba akiwa nje ya nchi,bahati nzuri akapata tukawa naye ofisini siku moja akaja katika dawati langu akakuta nimefungua JF akachungulia username akasema kumbe wewe ndiye KakaKiiza ?nikamjibu ndiyo akasema nashukuru kazi hii nisingeipata kama siwewe kuituma JF Wakati huo tukiwa washikaji na tumeendelea kushirikiana kwa kila kitu hivyo haya yote nimafanikio.
Naomba leo niishie hapa.
Niwashukuru wote tuliojuana kupitia hapa JF Kwani niwengi hivyo nivigumu kumtaja mmoja mmoja!

Sent using Jamii Forums mobile app
Juhudi zako za kuleta uzi wa mademu wakali humu tunazitambua sana

Hongera sana kwa uzalendo wa kutusafishia macho kwa muda wowote.

Hongera zaidi kwa kuwa member active kwa muda wote tangu 2010 hadi sasa, maana bila ninyi member active JF isingeweza kufika hapa.

Sisi ni JF, JF ni sisi.
 
Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
146,220
2,000
Juhudi zako za kuleta uzi wa mademu wakali humu tunazitambua sana

Hongera sana kwa uzalendo wa kutusafishia macho kwa muda wowote.

Hongera zaidi kwa kuwa member active kwa muda wote tangu 2010 hadi sasa, maana bila ninyi member active JF isingeweza kufika hapa.

Sisi ni JF, JF ni sisi.

Jr
 
James Comey

JF-Expert Member
May 14, 2017
5,299
2,000
Wadau Naomba nitoe yangu Machache.
Kwanza niwashukuru wote wadau wa JF na Uongozi mzima wa JF kwa kazi kubwa mnayoifanya hapa katika kuiendeleza Jamii Forum The Great Thinker si jambo rahisi kwani nichanga moto nyingi mnakutana nazo kutokana na masika kwani kila masika na nzi wake.
Nakumbuka mwaka 2006. Nilijiunga na JAMBO FORUM Nikatumiwa na mwaliko wakuudhuria kongamano katika Hotel ya Kifahari ya nyota Tano iliyokuwa ikijulikana kama SHERATON HOTEL sikuweza kuhudhuria kutokana na mimi kuwa mbali na Dar-es-Salam hivyo sikufanikiwa kuja. Mbali na kujiunga siku nyingi nikaja kupoteza account yangu! Ndiyo baadae 2010 February 16. Nikajiunga tena hadi hivi leo.

MAFANIKIO.
Nimefanikiwa kufahamiana nawatu wengi sana hivyo kwangu naishukuru JF sana mpaka leo naendelea kufahamiana nawatu wengi japo siyo kama zamani,pia uongozi wa JF FOUNDERS Naushukuru kwakuweza kufahamiana nao nawashukuru sana hata kipindi nilipopatwa na Msiba mzito wakuondokewa na Mwenza miaka 8 iliyopita walihakikisha wanakuwa bega kwa bega na mimi kwakipindi chote cha Msiba Asante Uongozi wa JF FOUNDERS and whole Manegement you was so humble to me!.
Pia marafiki ndani ya nchi na nje ya nchi walinifariji wengine walihakikisha wananipigia simu kuniconfort kila mara hata kwenye Skype, kipindi hicho WhatsApp hakuna!
Siwezi kutaja mmoja mmoja kwa kueleza mafanikio bali kikubwa wengi tumeendelea kushirikiana!
Kisa Kimoja niliweka tangazo la kazi Jamaa mmoja akaomba akiwa nje ya nchi,bahati nzuri akapata tukawa naye ofisini siku moja akaja katika dawati langu akakuta nimefungua JF akachungulia username akasema kumbe wewe ndiye KakaKiiza ?nikamjibu ndiyo akasema nashukuru kazi hii nisingeipata kama siwewe kuituma JF Wakati huo tukiwa washikaji na tumeendelea kushirikiana kwa kila kitu hivyo haya yote nimafanikio.
Naomba leo niishie hapa.
Niwashukuru wote tuliojuana kupitia hapa JF Kwani niwengi hivyo nivigumu kumtaja mmoja mmoja!

Sent using Jamii Forums mobile app
Hongera sana mkuu...

Mambo yasiwe mengi, mengi yasiwe mambo
 
princemikazo

JF-Expert Member
Jan 10, 2019
2,215
2,000
Pamoja sana mkuu...Ila jambo kubwa la kukushukuru ni lile la kuanzisha ule uzi wako wa "Uzi wa kutupia picha yoyote ya Demu mkali"Huu uzi never expired aiseeh!na kila siku unazidi kuwa mpya.Sijui uliwaza nn?anyway Shukrani mkuu
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom