kaka yetu wa copter tunduma, hebu mcheki huyu m-sweden anarusha kochi huku amekalia,

Philipo D. Ruzige

JF-Expert Member
Sep 25, 2015
7,452
2,000
Ila mbona jamaa wa tunduma alifanikiwa kurusha helicopter yake au hukuiona???
Kama hukuiona basi ni ile iliorushwa na rubani wa photoshop...
 

mxyo16

JF-Expert Member
Mar 29, 2011
1,243
2,000
Ila mbona jamaa wa tunduma alifanikiwa kurusha helicopter yake au hukuiona???
Kama hukuiona basi ni ile iliorushwa na rubani wa photoshop...
hahahaha, ndio namhamasisha hapa, huyu fundi mwenzie karusha kochi kwanza kabla ya kuunda kopta yenyewe, kajaribu kama mara kumi hivi mpaka kochi likanyanyuka hewani....aachane na fotoshop.
....na pia vyuma ni vingi sana kwenye kopta yake. Yaweza ikaja kua a flying death machine!! Atafute fibers, mafundi wenzake wanatengenezea maboti mitaa ya pwani ya dar.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom