ipyax
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 4,037
- 6,288
Pole sana chiefNah !!
it is very loud mkuu , inategemea tu masikio umeelekeza wapi.
Nimepoteza wengi sana na hii kitu , na hata mi mwenyewe nimenusurika kupotea mara kadhaa
Pole sana chiefNah !!
it is very loud mkuu , inategemea tu masikio umeelekeza wapi.
Nimepoteza wengi sana na hii kitu , na hata mi mwenyewe nimenusurika kupotea mara kadhaa
Dah .... isije kuwa baada ya kuambiwa ana corona...akapata hofu....kinga ikashuka....msukumo wa damu ukavurugika...akafariki...... wazo tu 😷Kaka yangu kafariki jioni hii kwa covid 19 hospital ya Bugando Mwanza hakika ni majonzi makubwa sana.
Alifikishwa hapo kwa matatizo ya uchovu tu na kwenda kucheki na hakupelekwa na mtu alienda akiendesha gari yake mwenyewe ila badae walimpima na kukuta ana corona akawekwa pale toka juzi Leo kazidiwa mchana Leo na jioni amelala akiwa bado ajawekwa kwenye oxygen.
Hakika ni majonzi makubwa.
He was a really man ameacha watoto wadogo na mke very sad indeed.
Chanjo ndo huugui sio?Pole sana mkuu. Kasema SSH wanaobeza jitihada za huu ugonjwa ni vile hawajaguswa.
Tupate chanjo wakuu ugonjwa udhibitiwe kwanza.
Mengine baadaye.
Angalieni huyu takataka ..Kikikupata kijimdudu kile ukipona uje hapa kutupa ushuhuda.Utakufa kwa hofu zako mjinga!
Machinga wa Kariakoo, Makondakta, bodaboda wangekuwa wanapukutika kama wangekuwa na mihofu kama yenu.
Mnakufa kwa hofu zenu wajinga!
Machinga wa Kariakoo, Makondakta, bodaboda wangekuwa wanapukutika kama wangekuwa na mihofu kama yenu.
Mkuu kama ilikufua vya kutosha itoshe kusema hivyo,lakini chanjo sio kinga ya kutopata corona.Mkuu, mimi nimepata hii kitu. Niliumwa homa kwa wiki nzima, siku ya 9 miguu ikaanza kuvimba moyo kwenda mbio na Kukosa nguvu, wife wangu ni daktar alipoona hivo akasema Twende hospital, kutoka nyumban mpaka Agha Khan mjini niliendesha mwenyewe gari. Nimefika pale Nipo na uchovu haswaaa na moyo kwenda mbio, kuchek SPO2 tayari ishashuka to 90%, pia breathing ipo ya fasta fasta . X-ray ikaonyesha mapafu yote yana pneumonia na pia CRP ipo juu. Nikalazwa na ikalazimu kuwekwa kwa Oxygen. Aisee nakuambia isikie Corona kwa watu, usiombe yakukute. Nawatizama sana wanaobeza chanjo na kuwasikitikia. Hakika hawajui walisemalo. And kwa taarifa tu, Nipo kwenye miaka ya 30’s sina sukari, pressure or any underlying disease but cha moto nilikipata. Over 7 days ndani ya Oxygen. Kwa hiyo nawashaur chukueni tahadhari Corona ipo na inaua sana na matibabu ni gharama sana.
God bless you.
Ndiyo,rafiki yangu Vick ndo mkewe.Nilikuwa msibani Jana.Sad,,,,frank amekwendaRafiki yangu wa kitaaa Frank amefariki jana hapo uyole kwa Covid19
Mkuu chanjo ni Kinga tosha ya Corona. Kuhusu waliochanja na bado wakapata; Kiutaalamu kuna Kitu kinaitwa seroconversion, Hii ni kwa kiswahili tunaweza sema ni kiwango cha utengenezaji wa Antibody maalimu iliyokusudiwa katika mwili baada ya kupata chanjo husika. Kwa kiingereza “In immunology, seroconversion is the development of specific antibodies in the blood serum as a result of infection or immunization.”Mkuu kama ilikufua vya kutosha itoshe kusema hivyo,lakini chanjo sio kinga ya kutopata corona.
Au huna taarifa kwamba hata waliochanja inawahusu bado??
Na inaonekana alikuwa na presha
Wewe kapime ujauzito!Poleni sana, leo mimi najisikia ovyo kweli nimetapika angalau najisikia nafuu sijui ndiyo yenyewe dah
Oh niliokupa eeh sweetWewe kapime ujauzito!
Sasa utanipaje ujazito halafu dalili zake uwe nazo wewe?Oh niliokupa eeh sweet
Ulivukaje mkuu?!Nah !!
it is very loud mkuu , inategemea tu masikio umeelekeza wapi.
Nimepoteza wengi sana na hii kitu , na hata mi mwenyewe nimenusurika kupotea mara kadhaa
Matelimika lini?Chanjo ndo huugui sio?