Kaka yake Lissu ajitosa kumtetea Said kubenea

technically

JF-Expert Member
Jul 3, 2016
11,975
48,841
Kesi ya Kubenea ambaye amepata dhamana Jana baada ya wakili maarufu Arusha ambaye Ni Kaka yake lissu kujitokeza kumtetea ipasavyo.

Hakika nimeona maajabu baada ya kumuona mwanaume akimwaga machozi

Kiukweli ujafa ujaumbika yale machozi hata Kama Kubebea ana makosa lakini ni ujumbe tosha Sana kwa watawala wa nchi hii.

Watu wote pia tutoke tutetee haki zetu kwani huwezi kujua zamu yako itakuwa lini?

Uwe CCM uwe upinzani inatakiwa kuwa makini Sana na utawala huu maana hatujuwi kesho wataamka na nani na kesi gani.

Hongera Kaka yake Lissu kwa kujitoa na kumtetea kubenea.

Mungu akubariki.
 
Samahani mkuu, cdm ikishinda na kuliongoza taifa hili la Tanzania, watu hawatafikishwa mahakamani kwa makosa waliyoyatenda?
Kwa makosa ya kweli siyo ya kubumba kama watu wanavyotengenezewa makosa ambayo hawajayatenda
 
Chadema wamejaa wabunge wahalifu tu

Lema tuliambiwa biashara yake, Mbowe tukaambiwa zote ni zile haramu naye kubenea ameiga maboss wake wa chama
Kuna mwingine pia anatuibia kama taifa anajenga hafi uwanja wa tai_mwewe kwao kwa pesa zetu
 
Wewe Kawe Alumni una mihemko ya hovyo sana. Kubenea yuko Chadema? Usiwe mjinga kiasi hicho, be wise ndugu!!!
 
Chadema wamejaa wabunge wahalifu tu

Lema tuliambiwa biashara yake, Mbowe tukaambiwa zote ni zile haramu naye kubenea ameiga maboss wake wa chama
Tuambie ya Kangi Lugola na tuhuma za ufisadi na uhujumu uchumi, alishtakiwa wapi kweli!!!! Hadi sasa yuko gereza gani(Mahabusu) maana ukituhumiwa tu kwa makosa hayo gezerani, na hakuna dhamana. Huyu na wenzake wako gereza gani tuwe tunapeleka chakula? Haki ipo? Mizani ya haki imeegemea upande sio? Maccm bwana huwa hayanaga kumbu kumbu y a madudu yanayofanya, ndo kusema nyani haoni.......
 
Usikurupuke. Soma ueleweswali. Nimesema kwa makosa waliyoyatenda. Kama mtu ametenda kosa unaitaje siyo kosa la kweli!!

Lakini pia una uhakika gani kama Kubenea kabambikwa hiyo kesi?
Like dissolves like! Kwa mwenendo wa serikali hii ya kuwabambikia watu makesi ya kubumba, Kubenea is not an exception. A country where all pillars of the nation are compromised, na Kubenea being a mpinzani, ni kesi za kubumba tu!
 
Uchubguzi wa HARAKA X 2 mpaka Nairobi wamefika kuthibitisha KOSA la
Kubenea.

Lisu ni miaka mitatu Sasa tangu ashambuliwe kwa RISASI NYINGI,

USHAHIDI WALA WAHUSIKA HAWAJAPATIKANA

KUNA HARUFU YA NIA OVU JUU YA KUBENEA.

TAFAKARI.
 
Tulisema toka mwanzo Lisu na Kubenea ni marafiki wakubwa na Lisu ndie alimshauri Kubenea amuwekea pingamizi mgombea wa Chadema Boniphace Jacob na tukasema humu kuwa hizo pesa Kubenea alizoshikwa nazo akivusha toka Kenya ni za Tundu Lisu alimtuma akamchukulie

Sasa hilo Kakaake Lisu kaagizwa amtetee
 
Hii haiwezi kuwa proof labda kwa watoto wa kindergarten
 
Kesi ya Kubebea ambaye amepata dhamana Jana baada ya wakili maarufu Arusha ambaye Ni Kaka yake lissu kujitokeza kumtetea ipasavyo.

Hakika nimeona maajabu baada ya kumuona mwanaume akimwaga machozi

Kiukweli ujafa ujaumbika yale machozi hata Kama Kubebea ana makosa lakini ni ujumbe tosha Sana kwa watawala wa nchi hii.

Watu wote pia tutoke tutetee haki zetu kwani huwezi kujua zamu yako itakuwa lini?

Uwe CCM uwe upinzani inatakiwa kuwa makini Sana na utawala huu maana hatujuwi kesho wataamka na nani na kesi gani.

Hongera Kaka yake Lissu kwa kujitoa na kumtetea kubenea.

Mungu akubariki.

Hii kesi ya kunenea ina walakini kidogo maana ukisoma mashitaka yanazungumzia kutakatisha pesa na kosa la kutakatisha pesa si halina dhamana sasa imekuwaje yeye akapata dhamana sijaelewa vizuri nia ya kunenepa hata kuhamia ACT ilikuwa nini ila ukimuangalia sana ni kama alishafika bei ila anazuga kwa kujiliza ili watu waamini kwamba nayeye ameonewa kumbe ni mchezo wa kutaka aendelee kuwa Afisa kipenyo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom