Kaka yake Gaddafi anasema Libya imekuwa gofu na inanyanyasika baada ya uvamizi wa NATO

Erijo

JF-Expert Member
Dec 28, 2015
453
379
Binamu wake Muammar Gaddafi anayeitwa Ahmed Gaddaf Al-Dam amesema Libya imekuwa Gofu baada ya uvamizi wa majeshi ya NATO. Ikumbukwe kuwa umoja wa kujiami wa nchi za magharibi (NATO) uliivamia Libya na kufunga anga la Libya, hali iliyopelekea kushindwa vibaya kwa majeshi ya serikali ya Libya, na kupelekea kifo cha kudhalilishwa kwa aliyekuwa kiongozi wa taifa hilo.
============

According to Muammar Gaddafi’s cousin, Ahmed Gaddaf Al-Dam, the West used warships and missiles to protect bandits who now rule Libya. The NATO intervention plunged the country in a "vassal humiliated condition."

Ex-general Ahmed Gaddaf Al-Dam, cousin of toppled Libyan leader Muammar Gaddafi, in an exclusive interview with RT told about the situation in Libya after the regime change in 2011.

According to him, after the coup Libya, once a prosperous and safe country, was turned into ruins, and many people had to flee their homes.

"Libya was one of the leading nations in Africa and had a solid international reputation. After the coup the country became a vassal and was humiliated. Its future is now determined from abroad. We went through pain, tears, many deaths and moral losses. And now, five years later, we’re witnessing the results of a NATO-backed revolution," Gaddaf Al-Dam said.

The only goal of the NATO intervention was to kill Muammar Gaddafi. At the same time, Gaddafi did not have power because power belonged to the people, including public congresses and committees, he underscored.

"There was no dictator or tyrant in Libya. The people were able to change anything they did not like. They have money and weapons," the former general pointed out.

Now Libya has turned into a "hotbed of racketeering and global mafia," he added. Groups of gangsters controlled by the West came to the country and are ruling it.

"Terrorists were travelling to Libya by plane, covered by the West. Western warships and missiles protected those terrorists were coming to Libya in 2011, pretending to be real Muslims," he said.

Gaddafi's Brother: Libya Ruined and 'Humiliated' After NATO Invasion
 
Kwa yule tu ambaye hakuwahi kuishi Libya na anaijua ama kuiskia Libya toka nje ndio anaweza kuona labda Gadaffi alikuwa muungwana lakini la hasha ,ni mengi yalitokea enzi za utawala wake kwa mtu aliyeishi Libya atakubaliana na Mimi.
 
Mkuu we ungetoa tu ushuhuda tukisubir wenzio wanaweza wasije
 
Haitakaa itokee
Wao wana akili sana wazungu
Sisi tusiojielewa afu maskin bado tunagombana wenyewe kwa wenyewe
Haitokaa itokee nini wewe,wakati magaidi juzi tu wameua watu 120 Paris na lile tukio la kwenye gazeti chaz hebo!
 
Haitokaa itokee nini wewe,wakati magaidi juzi tu wameua watu 120 Paris na lile tukio la kwenye gazeti chaz hebo!
Sawa wenyewe mashambulizi ni kutoka kwa magaidi ila wenyewe kwa wenyewe hawawezi kugombana kama tunavofanya sisi WAAFRICA
 
Ule mgogoro wa Balkan walikuwa hao wazungu au siwo ? Kuna kundi la magaidi wanotaka kujitenga Ufaransa / Uhispania wanaitwa ETA, pia hao wafaransa kuna kundi la wassi ila ni dogo wanataka uhuru wa visiwa chao cha corsica, bila kusahau kama wacatani wa Ufaransa kule Perpinyà/Perpignan nao hawajataka tu kulianzisha. Bila kusau kule Ireland ya kaskazini kuna IRA ambao wanapigana dhidi ya uiingereza . mfano hai na mpya ni Ukraine.... Wazungu wepi unozungumzia wewe Babu jp ?
 
Binamu wake Muammar Gaddafi anayeitwa Ahmed Gaddaf Al-Dam amesema Libya imekuwa Gofu baada ya uvamizi wa majeshi ya NATO. Ikumbukwe kuwa umoja wa kujiami wa nchi za magharibi (NATO) uliivamia Libya na kufunga anga la Libya, hali iliyopelekea kushindwa vibaya kwa majeshi ya serikali ya Libya, na kupelekea kifo cha kudhalilishwa kwa aliyekuwa kiongozi wa taifa hilo.

source: Gaddafi's Brother: Libya Ruined and 'Humiliated' After NATO Invasion
sudani nayo ilivamiwa na nato?
burundi nayo nato wamevamia,kongo
 
Huwa nafurahi mabomu yakianza kurindima Paris,na wafaransa wasikie uchungu wa yanayowakuta watu wa Libya
Paris wanaonewa Bure mchawi wa mashariki ya kati na nchi za Afrika ni Marekani. Wanawazungushisha watu mikono na Alana za v wakiwaaminisha kwamba mtu akikaa muda mrefu lazima atolewe madarakani hata kama anafanya vizuri eti ili demokrasia ionekane! Haya sasa hayo magofu na miili iliyooza na wakimbizi wa kumwaga ndio demokrasia? Watu tuache kucheza midundo ya demokrasia za mmarekani Wakati kwao zimewashinda.
 
Libya kaiharibu gadafi mwenyewe. Angekubali kutoka kwa amani Libya saiv ingekua ni demokrasi kama Tunisia. Uroho wa madaraka umemponza yeye na Libya nzima
 
Walibya walikuwa wanazungusha mikono na kuonesha alama ya V wakati wanamtoa Colonel.
Walichokiomba Mola wao kawajibu! NATO ni Jipu na Mtumbuaji hajazaliwa

Duh, Nimecheka sana...Nimekaa Libya ya Ghadafi for at least ten days. Wale jamaa walikuwa mbinguni namna Ghadafi alivyokuwa anawapa mahitaji muhimu kama maji, umeme, kazi, vyakula na hata mahari kwa vijana wa kiume wanaotaka kuoa. Maduka ya Tripoli yalikuwa yamesheheni bidhaa ambazo ni quality kutoka ulaya na hasa Italy na Turkey. Lakini walikuwa wanamiss kitu kimoja nacho ni uhuru wa kutoa mawazo...wakadanganywa na propaganda za Marekani na nchi za ulaya wakamtoa Ghadafi na kumuua. Sasa wanajuta, Libya hakuna nchi tena...ni magenge ya watu yaliyopo huko.
 
Mkataa pema....................
 
Walibya walikuwa wanazungusha mikono na kuonesha alama ya V wakati wanamtoa Colonel.
Walichokiomba Mola wao kawajibu! NATO ni Jipu na Mtumbuaji hajazaliwa
Mbona waziri wenu wa mambo ya nje awamu ya nne alipata mgao wa kumsaliti gadafi? Unajitoa ufahamu tu
 
Back
Top Bottom